BIG MEECH 🦅

5.3K posts

BIG MEECH 🦅 banner
BIG MEECH 🦅

BIG MEECH 🦅

@TopBoe_

“Hip-hop head. No cap, just context.” @dizastavina

never broke again estate Katılım Mart 2024
315 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
BIG MEECH 🦅
BIG MEECH 🦅@TopBoe_·
🧵 DIZASTA VINA: Anayeandika kwa maumivu, anasikika kwa roho. Usimsikilize Dizasta ukiwa kwenye haraka. Huyu ni msanii wa kusikilizwa kwa utulivu, kama unapitia ukurasa wa diary ya mtu aliyeshuhudia maumivu. Ukiwa mwepesi, utampita. Ukiwa mzito, atakugusa.👇
BIG MEECH 🦅 tweet media
Indonesia
53
59
402
48.5K
BIG MEECH 🦅 retweetledi
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Kuna malegend kweli humu ndani??! 😁
BARÇAGUY tweet mediaBARÇAGUY tweet mediaBARÇAGUY tweet mediaBARÇAGUY tweet media
Filipino
207
184
1K
96.5K
BIG MEECH 🦅 retweetledi
Mpwa_OG 🇩🇪
Mpwa_OG 🇩🇪@tommytraveler21·
Bi mkubwa Leo ananipigia simu napokea anasema "Kwa iyo umempa hongo MUFTI ili Eid Mosi iwe sambamba Na Birthday yako, mtoto mbinafsi wewe" Nitaanza kucheka tu kama mwehu🙌
Indonesia
1
5
29
774
Akili
Akili@Akilnyingi·
Mimi na akili zangu timamu nimeapa sitakuja kutumia huu mtandao @airtel_tanzania @Airtel_Tz hata familia na kizazi changu nitapiga marufuku kutumia huu mtandao maisha yao yote💔💔💔🚮 Umenikosesha 400k nitalipa nini kodi kmmke 😭😭😭🚮🚮💔💔 @airtel_tanzania @Airtel_Tz
Akili tweet media
Indonesia
32
8
80
6.8K
BIG MEECH 🦅 retweetledi
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Nakumbuka chuoni nishawahi kuachwa ghafla nikahisi dunia imefika mwisho.Masomo hayapandi,usingizi hauji,hamu ya kula hamna halafu kila kitu kinakera ila kwa wana najisifia kwamba mapenzi hayanipelekeshi. Nikaja kuheal kimaajabu sana ila ile feeling ya kuachwa ni ya kipekee 😂😂
Indonesia
5
11
41
866
Baritone Tz
Baritone Tz@Baritone_Tz·
@TopBoe_ Nakuja na 👇 Singasinga Mex Cortez & Mawenge
Indonesia
1
0
0
10
BIG MEECH 🦅
BIG MEECH 🦅@TopBoe_·
Nikiwaletwa 👇 Nikki Zohan Dizasta One Wewe utamleta Nani? 😄
Polski
18
4
41
1.8K
BIG MEECH 🦅
BIG MEECH 🦅@TopBoe_·
Kuna Demu mmoja hivi alikuja Geto Jana, tulivo maliza Kufanya utaratibu Wote, Ghafla Demu akauliza kwanini unaazima Geto la Watu? Mimi kivipi ? Kwani Geto la nani?. Manzi uyo kwenye picha ukutani ni nani?. Nacheki ukutani Kumbe kaona picha ya Dizasta vina 😂😂😂😂
Indonesia
0
0
4
180
BIG MEECH 🦅 retweetledi
Dizasta Vina
Dizasta Vina@dizastavina·
"Whatever luck I had, I paid for in sweat, concentration, and time. I didn't become a world champion; I worked to become one." Chuck Norris
Dizasta Vina tweet media
English
2
8
20
113
Mpwa_OG 🇩🇪
Mpwa_OG 🇩🇪@tommytraveler21·
@TopBoe_ Mi nikadhani hizi mambo kila mtu afanye tufurahie kumbe wanataka kufunikana...?
Indonesia
1
0
0
3
BIG MEECH 🦅 retweetledi
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Ni muda wa jamii na media kuacha kuchanganya HIP HOP na RAP. hivi ni vitu tofauti kabisa. Contradiction ipo hapa: Sio kila anayerap ni Hip Hop artis. Wasanii kama Lunya, Moni, young D, conboi, wako kwenye angle ya RAP. Sikumbuki Kama washawai kuwa hip hop artist.
Indonesia
8
4
25
1.9K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Hivi huyu msanii kuna nyimbo hata moja ameshawahi kushilikishwa na msanii mwenzake yoyote wa hiphop ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
24
18
77
2.6K