UTT AMIS

88 posts

UTT AMIS

UTT AMIS

@UTT_AMISTZ

UTT AMIS is a fund management company that deals with establishing, launching and managing collective Investment Schemes.

57MR+9RG, Sukari House, Second Katılım Mayıs 2024
2 Takip Edilen780 Takipçiler
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tumejadili kwa kina masuala yafuatayo: -Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS? -Faida zipi mtu anazipata anapowekeza? -Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
UTT AMIS@UTT_AMISTZ

twitter.com/i/spaces/1mrGm…

Indonesia
1
1
6
539
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tutajadili kwa kina masuala yafuatayo: -Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS? -Faida zipi mtu anazipata anapowekeza? -Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
UTT AMIS tweet media
Indonesia
0
0
10
867
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
UTT AMIS ina mifuko 6 ya uwekezaji. Kila mfuko una malengo yake, vigezo vyake na faida yake kulingana na uendeshaji wa mfuko huo. Wasiliana nasi au tembelea ofisi zetu kupata elimu na ushauri juu ya mifuko hii ya uwekezaji. #UTTAMIS #investing #uwekezaji #akiba
UTT AMIS tweet media
Indonesia
0
0
7
473
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
Katika dunia ya kisasa, mabadiliko ya soko la uchumi na mzunguko wa fedha huchochea hali ya wasiwasi kwa watu wengi, hasa linapokuja suala la uhifadhi wa thamani ya fedha. Wasiliana nasi kupata ushauri na usaidizi zaidi wa uwekezaji kupitia mifuko ya pamoja ya UTT Amis. #UTTAMIS
UTT AMIS tweet media
Indonesia
0
0
9
313
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
Wekeza kila mwezi kupata faida ya pesa yako kupitia mifuko ya pamoja ya uwekezaji.
UTT AMIS tweet media
Indonesia
0
0
4
260
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
Taarifa ya thamani ya mifuko ya uwekezaji Tarehe 21 Mei, 2025. Taarifa hii hutolewa kila siku kupitia tovuti yetu : uttamis.co.tz
UTT AMIS tweet media
Indonesia
0
1
7
242
UTT AMIS
UTT AMIS@UTT_AMISTZ·
Kwa nini uwekeze na UTT AMIS ? Kwa Mwaka wa Fedha Ulioanzia Julai 2023 na kuishia Juni 2024, Mifuko a uwekezaji wa pamoja inayosimamiwa na UTT AMIS ilitengeneza Faida ya zaidi asilimia 12%.
Indonesia
0
0
4
229