UCSAF-Tanzania

948 posts

UCSAF-Tanzania banner
UCSAF-Tanzania

UCSAF-Tanzania

@UcsafT

Universal Communications Service Access Fund ( UCSAF)was established to facilitate access to communication services. For more information call 0800110700

Dodoma, Tanzania Katılım Şubat 2021
14 Takip Edilen1.4K Takipçiler
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika.
UCSAF-Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
60
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
JINSI YA KUPIGA KURA Skani ama tumia link hii👇kujisajili na kupiga kura. itu.int/net4/wsis/stoc… KIPENGELE CHA MRADI: AL C2. INFORMATION INFRASTRUCTURE JINA LA MRADI: RURAL TELECOMMUNICATION IN ZANZIBAR- ▶️Kisha VOTE FOR THIS PROJECT.
UCSAF-Tanzania tweet media
Slovenščina
0
0
0
60
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika. #MawasilianoKwaWote #Commucation4All
UCSAF-Tanzania tweet media
Indonesia
1
1
0
47
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mwanza. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea. #Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania tweet media
Filipino
4
2
2
54
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Kagera. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea. #Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania tweet media
Filipino
0
2
5
104
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mara. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea. #Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania tweet media
Filipino
0
1
1
42
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akitoa zawadi ya kompyuta mpakato (laptops) kwa wanafunzi 31 walioshiriki katika mafunzo ya Wasichana katika TEHAMA, 2025 kitaifa katika hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Aprili 16, 2025.
UCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
1
50
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), akifanya ukaguzi wa ubunifu wa kiteknolojia uliofanywa na wanafunzi walioshiriki mafunzo ya TEHAMA kwa wasichana 2025, yaliyofanyika katika ukumbi wa AICC, Jijini Arusha.
UCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
50
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), akifanya ukaguzi wa ubunifu wa kiteknolojia uliofanywa na wanafunzi walioshiriki mafunzo ya TEHAMA kwa wasichana 2025, yaliyofanyika katika ukumbi wa AICC, Jijini Arusha.
UCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
44
UCSAF-Tanzania
UCSAF-Tanzania@UcsafT·
2. Mhe. Silaa ameyasema hayo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya Wasichana katika TEHAMA 2025, yanayoratibiwa UCSAF kwa lengo la kuhamasisha wasichana kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM).
UCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet mediaUCSAF-Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
44