Mkongwe

6.4K posts

Mkongwe banner
Mkongwe

Mkongwe

@Ulaya122

Katılım Haziran 2018
1.4K Takip Edilen836 Takipçiler
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@Elsukay0 Ibrahim Rabbi huyu anazifuata habari huko huko juzi alitoka huko.
0
0
0
156
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@HildaNewton21 Huyo.Daniel Maftah aliwahi kugombea ubunge jimbo la karambo / Rukwa mwaka 2015 akashinda lakini akahongwa pesa akakubali kuwa ameshindwa raia wanam'mind kinoma
Filipino
1
1
6
2.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️TAHADHARI‼️ Wapendwa WANACHADEMA pamoja na Wapenda Mabadiliko wote popote pale mlipo. Nawaomba sana kuweni makini na hawa Vijana mnaowaona kwenye hizi picha. Huyu upande wa kulia anaitwa Daniel Naftal na huyu wa kushoto anaitwa Bruce Cuthbert, hawa watu wanajitambulisha kwamba wao ni Wanachama wa CHADEMA lakini kazi ambayo wanafanya ni ya kuhujumu CHADEMA. Hawa watu kwa kushirikiana na watu wa TISS kupitia ofisa wa TISS ambae anaitwa Frank Malaki mwenye namba za simu +255 742 007 799 wapewa fungu la pesa ili wapite huko Mikoani washawishi Viongozi wa CHADEMA kwenye majimbo, Wilaya, Mikoa na Kanda ili watangaze kujiuzulu nyadhifa zao kisha badae watangaze kujiunga na CCM au CHAUMWA. Wanaambia VIONGOZI wa CHADEMA kwamba CHADEMA inaenda kufutwa so bora wahame waende CCM au CHAUMA. Walianza kuwashiwishi Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa lakin hawakupata mtu, halafu kila wanapoenda kukutana na Viongozi wa CHADEMA wanaenda kama Makamanda kumbe wamebeba ujumbe wa MACCM. Walienda Kanda ya Kusini wakatoka kapa, Wameenda Kanda ya Kati wamepata Kiongozi mmoja ambae anatarajia kutangaza kuhama hivi karibuni maana kadanganywa, kaambiwa alete CV atatafutiwa kazi Serikali.😂 Sasa hivi wapo Kanda ya Kaskazini, wameweka kambi yao Arusha mjini na mpaka sasa tayari kuna Viongozi wa Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga wameshafikiwa lakin bahati nzuri Viongozi wetu wengi wamekataa na wamewambia hawa madalali kwamba katu hawawezi kusaliti Mapambano. Nawapongeza Viongozi wa maeneo yote ambao mmekataa pesa na ahadi za kutafutiwa kazi Serikalini kutoka kwa hawa Madalali wa Siasa. Viongozi wa CHADEMA ambao bado hawajafika kwenye maeneo yenu kaeni RADA mkiona tu sura zao kwenye maeneo wakija na story za kuwashawishi/kuwapa pesa ili mtangaze kujiuzulu wapeni HAKI YAO YA KIKATIBA ILI IWE FUNZO KWA MADALALI WOTE WA SIASA.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Filipino
62
222
932
74.7K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@huss_john98825 @lifeofmshaba Kulipa kodi hakukwepeki; kwanza uliponunua bando tayari umeshailipa kodi halafu kama unafanya biashara ndiyo kabisa kodi inakatwa indirect huwezi kuikwepa.
Filipino
0
0
0
9
John Huss
John Huss@huss_john98825·
@lifeofmshaba Yani mimi kuanzia sasa sitalipa tena kodi katika nchi hii siona maana tena yakulipa kodi. Kama kodi ninayolipa pesa yangu naipata kwa jasho afu wananibia hela yangu kwanini nilipe kodi bora tukae bila maendeleo tu hakuna ulinzi wa pesa zangu hii nihatar sna
Indonesia
4
1
6
1.4K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hii ishu ya kupiga hela ya uwanja Arusha ambao unajulikana kama Samia ilikuwa ni mchongo wa muda mrefu tu. Wakati Makonda anateuliwa, aliambiwa kuna kazi anakwenda kufanya kule Arusha. Kuna mtu amewahi kuona ni kazi gani alikwenda kufanya Makonda maalumu? Makonda alipofika Arusha, akatajirika, akawa anaishi hotelini na kubadilisha magari ya kifahari. Mnafikiria ile ilikuwa ni pesa ya Halmashauri? Na hakuna CAG report yoyote imeona? Kazi maalumu ilikuwa ni huo uwanja wa Arusha. Wakati Samia anaingia madarakani, alikuta kuna ujenzi wa uwanja Dodoma, Magufuli Stadium (Morocco spends $100 million to construct a stadium in Tanzania en.yabiladi.com/articles/detai…). Kulikuwa na mikataba tayari na mkandarasi alingia site na kusafisha uwanja. Hapo ndipo wajanja walipoingia kwa kusema unajenga vipi Magufuli Stadium usio na manufaa yoyote kisiasa kwako? Tukajenga uwanja mwingine, Samia Stadium huko Arusha. Huu, achana nao na usijengwe kabisa, hata Morocco tuwazingue. Pamoja na Morocco kuwa tayari kujenga, wakazinguliwa, maana kulikuwa na vita ndani ya kuua jina la Jiwe, lilikuwa too much kwa bibi Kizimkazi. Akaongea mwandishi mmoja kuandika kitabu cha "I am the State" kumchafua Jiwe. Hii project ilikuwa inasimamiwa sana na Msomali na Rostam, wakampiga sana Jiwe kwenye kitabu, na kufifisha maprojct yake yote aliyokuwa ameweka majina yake. Ndio dili la Arusha lilipoibuka. Changamoto inakuja kuwa kubwa zaidi, Bi. Kizimkazi ana uwezo mdogo sana. Waliomzunguka wanajiongeza sana kupiga pesa maana wameona kwa mwanae. Na hata ukiiba mbele yake hana uwezo wa kuona namba zinamzumbua sana. Hawezi kaa chini akaelezewa na kuelewa namna milioni 1 ilivyoibwa kwenye milioni 10, akaelewa. Incompetent wa kiwango cha lami, hata hii kuua watu kwa incompetence yake anafikiri Tanganyika ni kama kijiji, kwamba ukiua watu 1,000 basi kijiji kitapoa. Kwa kweli hii ni nchi kubwa yenye watu wa aina tofauti. Akiambiwa na waganga kuwa ana uaua, akiambiwa na waganga huyu ndio mwaminifu imeisha. Ndio maana kina Msigwa wamefanikiwa sana kuiba kupitia wizara ya michezo. Hata ile goal sikui la mama, kuna mabilioni yamepigwa. Wafanyabiashara wamepigiwa sana simu kuhusu mambo hayo. Kuna mechi zilikusanywa milioni 250, wakisaka milioni 20, salio linabaki, ni upuuzi mtu. Hakuna namna uwanja wa shilingi bilioni 187 unaweza kuwa bilioni 347 bila kuongezeka ukubwa, hata kama kungekuwa na makosa kiasi gani. Maana bilioni 100 inaweza jenga uwanja wa site ya kati. Kama ni ongezeko, labda ingekuwa kati ya 20 hadi 50 billion max. Hii ya kusifiwa na kupewa majina, ndiko wizi umefanyika. Yeye alimtu Makonda, na Makonda amefanya kama Duli Balali. Wameongeza cha juu cha kufa mtu, na boss wao amekula, ndio maana anaona aibu, anasema watajeni majina waone aibu. Waulizeni kwa nini wametelekeza uwanja wa Dodoma kama sio wizi ulikuwa unatengenezwa ni nini? kama Morocco wangejenga wa Dodoma hii deal ya Arusha ingekuwa ngumu sana kufanyika, wakaua uwanja wa msaada ili wachote mabilioni yetu watuibie yaani mtu yuko tayari kitu cha bure akipoteze kabisa ila aingia kwenye gharama ambazo amepanga kuiba. maana hizo za morocco ingekuwa ngumu kuiba si wanasimamia mradi wizi kwenye viwanja ni mchezo wa mabilioni ndio maana matajiri wako sana kwenye hii michezo na ukarabati wa mara kwa mara wa uwanja wa taifa
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Filipino
23
76
546
45K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@vistovic17 Bonifas Ambani umemsahau au ulikuwa hujazaliwa kipindi hivho?
Indonesia
0
0
0
17
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
🚨WASHAMBULIAJI HATARI WAKIGINE KUANZIA 2010s 1.Meddi Kagere 🇷🇼 2.Emmanuel okwi 🇺🇬 3.Fiston Mayele 🇨🇩 4.Luis Miquissone 🇲🇿 5.Hamis Tambwe 🇧🇮 6.Donald Ngoma 🇧🇼 7.Hamis Kiza🇺🇬 8.Chris Mugalu 🇨🇩 …………..show more
BIGV 🎩 tweet mediaBIGV 🎩 tweet media
Indonesia
21
13
201
22.5K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@Lizzie36021 Juzi nilikuwa nasuruhisha hii issue jamaa alitualika kama jamaa zake wa karibu twende kwake hajapewa unyumba inapata wiki 3 kila akiomba anapewa visababu ambavyo havina maana .
Indonesia
1
0
3
313
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Kumbe unaweza kumuoa ukawa unaishi nae na bado ukanyimwa aaah kumbe kunyimwa is real😅😅😅😅
Indonesia
30
18
151
8.3K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Tokea ndugu zangu waislamu waanze funga yao mitaa imekuwa ina utulivu sana hata vibaka wamepungua,Allah Akbar🤲
Indonesia
19
10
104
4.4K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@Adventure_36 Yanga ndiye mwenyeji wa gemu akitaka anaweza kuipeleka mechi.hata Namtumbo huko na hakuna kitu mtaifanya Yanga
Indonesia
0
0
1
344
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
TFF lazima watueleze ni kanuni gani wametumia kupeleka mechi ya Darby Zanzibar, Lasivyoo HATUCHEZI hiyo Darby Simba shikirieni hapo hapo
Indonesia
56
36
686
25.5K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@moshijnr Safari hii hakuna kukimbia tutawachapa viboko washenzi nyie mumeshaamza visababu sababu vyenu .
Indonesia
0
0
6
1.2K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
🚨Bodi ya Ligi [TPLB] wamewaandikia barua Simba SC kwa kujibu barua yao kuwa Yanga SC ndio wenyeji wa mchezo na walipewa taarifa na wamiliki wa uwanja wa Mkapa kuwa siku ya Derby utakuwa na matumizi mengine hivyo walikuwa sahihi kutujulisha Uwanja mbadala na Ally Kamwe hana kosa
Moshi Jnr tweet media
Indonesia
45
17
642
30.3K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@PlanetFutbal Wameanza tena mambo yao shubamiti zao safari hii mtakatwa point 3 asubuhi tu😁😁😁
Indonesia
0
0
2
689
Futbal Planet ✴️
Futbal Planet ✴️@PlanetFutbal·
🚨 BREAKING: Klabu ya Simba SC wameiandikia barua Tanzania Premier League Board wakitaka ufafanuzi wa kuhamishwa kwa mechi kutoka Benjamin Mkapa hadi Amaan Stadium. Wamehoji kwanini taarifa ilitangazwa kwanza na Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, kabla ya Bodi yenyewe.
Futbal Planet ✴️ tweet media
Indonesia
37
14
327
19.1K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
LISSU: Heche njoo unitembelee BWANA HECHE: Nikija wananizuia LISSU: Njoo wakuzuie tena
Eesti
23
376
2.1K
55.6K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 200 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi Coplo Vicent. Mhe. Lissu: waeleze wahesimiwa majaji kama kuna mtu yoyote alishuhudia ukiandiika hayo maelezo Shahidi Coplo Vicent : hakuna niliandika mm mwenyewe Mhe. Lissu: uliambiwa na OCS ukamkamate P9 kwamba anahamasisha watu kuchochea na kuzuia uchaguzi mkuu wa 2025, waeleze waheshimiwa majaji ulimkamata kwa kosa gani? Shahidi Coplo Vicent: wakati namkamata alikua hafanyi kosa lolote. Mhe. Lissu: waeleze majaji kama kwenye maelezo yako umetaja jina la mkuu wa kituo cha polisi Mwanjelwa? Shahidi Coplo Vicent : hapana Mhe. Lissu: kwenye maelezo yako umeeleza mahali popote kwamba huyu P9 alifanya makosa katika sehemu mbalimbali na majina yake? Shahidi Coplo Vicent ; hapana Mhe. Lissu : naomba kamusi, tuangalie neno “kijiwe” kwasababu umelitaja nataka tujue kijiwe maana yake nini kwa mujibu wa kamusi ya Kiswahili. Sasa jiji la mbeya lina vijiwe vingapi? Shahidi Coplo Vicent: sifahamu. Mhe. Lissu: waambie waheshimiwa majaji kama umetaja hivyo vijiwe? Shahidi Coplo Vicent : sijataja Mhe. Lissu: tarehe ya P9 aliyofanya makosa Shahidi Coplo Vicent : ni tarehe 5 april Mhe. Lissu: eleza kama umeeleza hayo kwenye maelezo yako. Shahidi Coplo Vicent : anasoma Mhe. Lissu: kwa akili yako hicho ulichosoma kinaonyesha alifanya makosa lini? Shahidi Coplo Vicent : Hapana Mhe. Lissu: waeleze waheshimiwa majaji kama kwenye maelezo yako umeeleza huyu P9 alikua anapanga njama na nani kwasababu njama haipangwi na mtu mtu mmoja? Shahidi Coplo Vicent : sijaeleza Mhe. Lissu: waeleze majaji kwa ufahamu wako kuna kosa la kuzuia uchaguzi mkuu usifanyike? Shahidi Coplo Vicent : kosa lipo Mhe. Lissu: kwa sheria gani au kwasababu wewe ni polisi. Shahidi Coplo Vicent : mm sijui lkn hapo kosa lipo Mhe. Lissu: acha ubabaifu nakuonyesha sheria ya uchaguzi wa rais, madiwani na wabunge ya 2024, hii haina sehemu yoyote kama hiyo unachokisema ni kosa, wewe unasemaje? Shahidi Coplo Vicent : mimi sijui. Mhe. Lissu : na kwenye sheria ya jinai Penal Code je? Shahidi Coplo Vicent: Kwenye Penal Code lipo Mhe. Lissu : waheshimiwa naomba shahidi asome hiyo sheria na atuonyeshe hilo kosa. Renatus Mkude: shahidi hii sheria ni ya kiingereza sasa utaweza kuona?🤣🤣 Mhe. Lissu: Naomba Penal code yangu tusipotezeane muda kingereza hujui na hilo kosa hutaliona. Mhe. Lissu : waeleze majaji baada ya kumpeleka P9 kituoni ulisema uliendelea na shughuli zako, waambie. Majaji kama unafahamu huyu P9 hajapelekwa mahakamani mpaka leo Shahidi Coplo Vicent : sifahamu Mhe. Lissu: utashangaa nikikwambia kwamba baada ya kukamatwa aligeuzwa kuwa shahidi katika kesi hii Shahidi Coplo Vicent : siwezi kujua. Mhe.Lissu: Je unafahamu kama P9 ni shahidi katika kesi hii na utashangaa nikikwambia hakufunguliwa mashitaka yeyote badala yake amegeuzwa shahidi katika kesi hii. Shahidi Coplo Vicent : sifahamu Mhe.Lissu: je unafahamu kosa ninaloshitakiwa nalo. Shahidi Coplo Vicent : ndiyo unashitakiwa kwa kosa la uhaini, kutokana na matendo yako. Mhe.Lissu: matendo yangu yapi. Shahidi Coplo Vicent: nayafahamu machache kutokana na kauli zako, ninazifahamu chache. Mhe.Lissu: mitandaoni kuna kauli zangu nyingi sana, kuna video nyingi mno ni zipi hizo chache unazozifahamu. Shahidi Coplo Vicent : yaani uchaguzi wa mwaka huu daaah!!!!! Mhe.Lissu: je umeiswailisha video hiyo ili Majaji waione Shahidi Coplo Vicent: hapana sijaiwasilisha. Mhe.Lissu: waheshimiwa Majaji kwa upande wangu sina maswali zaidi. Mhe.Jaji: upande wa mashitaka re-examination. Wakili wa Serikali: shahidi eleza onyo katika maelezo huwa inatumikaje. Shahidi Coplo Vicent : huwa inatumika kumuonya mtuhumiwa. Wakili: wewe unaruhusiwa kusaini mwenyewe. Shahidi Coplo Vicent: ndiyo naruhusiwa. Wakili: ni hayo tu mheshimiwa. Mhe.Jaji: shahidi unaruhusiwa kuondoka. Shahidi anavuta pumzi kubwa kisha anaondoka. Part 201 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Indonesia
32
438
1.2K
43.1K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@HildaNewton21 Lakini mbona TV na Redio zinaripoti mambo wayatakayo wao tu, sasa kwanini na huku kwenye mitandao wanataka waongelewe wao vile wanataka?
Indonesia
0
0
1
86
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 19, 2026 Jana tuliishia Part 195 so leo tunaendelea na-; Part 196 Majaji na mtuhumiwa ndio wanaingia ndani ya Chumba cha Mahakama almaarufu Ukumbi Na. 1 hapa Mahakama Kuu. Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, John Heche alifika mapema sana hapa Mahakamani majira ya saa 3 asubuhi. Jaji anamuita kalani asome namba ya shauri anasoma hapa. Jaji anasema Wakili wa Serikali unasemaje? Anasimama Renatus Mkude anatambulisha kikundi chake cha kila siku anachoshirikiana nacho kuiwakilisha Jamhuri. Mshitakiwa anasema yuko tayari pia. Jamhuri wanadai wanamambo mawili. 1. Notice of additional substance of Evidence chini ya kifungu cha 308 (1) Taarifa ya ushahidi wa ziada. 2. Jambo la pili Mwenendo wa shauri linaloendelea na kauli zinazotolewa kuhusu mashahidi wanaotoa ushahidi Mahakamani. Anasima Mh. Tundu Lissu kurespond kwenye hayo Mambo mawili yaliyosemwa na Mawakili wa Serikali. Kuhusu hiyo Notice yao utaratibu wa kisheria hauruhusu. Anasimama Katuga anasema mtuhumiwa afate utaratibu kwamba mawakili wa Serikali wameregister Notice Hivyo jukumu lake ni kujibu kuwa mtuhumiwa yupo tayari kusikiliza? Mhe. Lissu anasema kama wameleta notice basi wafahamu kwamba nitakua na lakusema baada ya submission yao. Waendelee tu sitaacha kitu, wajue hilo. Majaji wanashauriana kwa muda mrefu kidogo hapa, tunasubiri nini kitakachoendelea. Mhe.Jaji: tunajaribu kuangalia kama hii notice iko ndani ya mfumo na tumeona ni kweli iko ndani ya mfumo. Katuga: tunaomba tuisubmite kwanza ili tuweze kumuombea shahidi tuliyenaye leo kwa sababu shahidi tuliyenaye leo si miongoni kati ya mashahidi tuliowaombea. Mhe.Lissu : kiutaratibu ili waweze kusubmit notice ni lazima wafate utaratibu kwa sababu hawajafuata utaratibu tuendelee na mashahidi waliopo. Mhe.Jaji: tutaendelea na mashahidi waliopo lakini hatuwezi kuacha notice hii bila kuizungumzia ili iweze kuingia kwenye utaratibu wa Mahakama, wakati tukiendelea na mashahidi waliopo kesho tuweze kuanza na hii notice. Mhe.Lissu: siku ya jana tuliambiwa Shahidi aliyepaswa kuendelea ambaye ni mpelelezi Mkuu alipata msiba hivyo ataendelea leo, sasa wanatwambia kuwa huyu shahidi wanayemuombea notice anayo maelezo ya ziada ni kwa nini tusiendelee na mashahidi waliopo kwanza wakati wakifuata utaratibu. Katuga: wameshimiwa Majaji naomba tuendelee na submission ya hii notice kwanza kabla ya kuendelea kusikiliza mashahidi wengine ili tujue kama tutaruhusiwa kumleta huyu Shahidi. Majaji wanaendelea kujadiliana hapa. Mhe.Jaji: kwa sababu tayari tunao mashahidi wengine hii issue ya notice ibaki reserve isubirie kwanza tutaizungumzia baada ya kumaliza mashahidi waliopo, hivyo tuendelee na mashahidi waliopo kwanza. Mkude: Mhe.Jaji tunaomba tuadress mambo yanayoendelea katika premise ya mahakama kuhusu mashahidi kabla hatujaendelea. Mhe.Jaji: mshitakiwa ameomba kujua ni mambo gani hayo, yasijekuwa mambo ya kutupotezea muda yanayohitaji tuanze kuandika rulling kwanza na kutuzuia kuendelea. Wakili Mkude: mheshimiwa Jaji kuna mambo yamekuwa yakiendelea na mshitakiwa amekuwa akiadress baadhi ya mambo. Tangu kesi ianze kuna mambo yamekuwa yakijadiliwa kuhusu mashahidi wanavotoa ushahidi wao, katika mitandao ya kijamii mambo yamekuwa yakizungumzwa namna mashahidi wanavotoa ushahidi wao, wengine wakiitwa waongo, hatukatazi kureport muenendo wa kesi lakini usiathiri proceedings. Kifungu 114 cha Penal Code. Kwa kifupi hawa jamaa hawataki mashahidi na ushahidi wao uzungumzwe nje ya Mahakama. Hawataki habari za kwamba mashahidi ni waongo. 😂😂 yaleyale ya kutaka kesi iwe gizani kwa kila kitu. Hata hii kuripoti tu wanaona wananchi mnafaidi sana, wanataka Mahakama izuie. Part 197 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba repost yako.
Filipino
43
420
1.1K
43.8K
kobiko
kobiko@iammwanjala·
Mhe. Lissu: sina shida na wewe unajua hilo,maana sipigi watu. shahidi wa kibox : hata mimi sikuogopi. Mhe. Lissu: mbona umejificha huko kwenye kibox kama kweli huniogopi? 😂😂
kobiko tweet media
Indonesia
11
18
249
16.1K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@samatimemagari Hii Kluga new Model kwa Dar ni bei gani bei ya Yard siyo kumvua.mtu.
Indonesia
0
0
0
1
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
Simply wasiliana nasi Link kwa Bio and we will assist you accordingly.. . Natumaini umejifunza kitu Kama jibu ni ndio basi usisahau Ku RT na wengine wapate haya madini.. . Na pia kama hujatu follow gonga follow chap ili uendelea kuwa wa kwanza kupata madini kama haya.. . Asante
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
10
23
112
0
Samatime Car Dealers Co Ltd
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari·
Toyota Kluger aka Mkali Wao.. . Kluger [The smartest & Brave one] inajulikana pia kama toyota Highlander.. . Ni moja ya mid-size crossover SUV kutoka Toyota ikitumia platform sawa na Camry na cousin yake Lexux RX/Toyota Harrier.. . Kluger mpaka sasa ina generation nne..
Samatime Car Dealers Co Ltd tweet media
Indonesia
55
192
361
0
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga@ezekiel_kamwaga·
Actually, Tanzania hali ni tofauti na inavyoelezwa humu. Ukitaka kupewa nafasi na serikali unatakiwa uipige mawe kisawasawa🤣🤣. Kusifia hakujawahi kulipa. Wewe angalia bungeni na kwingine. Nyie mnaopiga spana ndiyo actually mnaotafuta uteuzi🤣🤣
Mido@ludovicRigongo1

@ezekiel_kamwaga We Bonge nyanya... Wakufikirie kwenye nafasi zao unawapambania sana hata Kwa vitu vyeusi tiiiii... Ww unavifanya kuwa vyeupe. Kifupi unauza UTU wako ili uwafurahishe

Indonesia
4
0
2
475
takadinie
takadinie@takadini_23·
Huyu agness anasema anakupigia hupokei simu zake ila alitaka kusema haoni siku zake toka mmelala wote
takadinie tweet media
5
9
31
871
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@tazamaMbali Hujaongelea faini za kulipa baada ya kulisha mashamba ya watu😁
Indonesia
1
0
1
609
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
Kati ya mifugo yote mbuzi ni rahisi sana kufuga na ukapata faida. Ukinunua mbuzi wachanga wa 1M na kuwalisha vizuri baada ya miezi 6 unapata 3M bila usumbufu. 90% ya chakula cha mbuzi ni nyasi na majani ambayo yanapatika bure. Mbuzi haugui hovyo. Soko la mbuzi ni kubwa.
Indonesia
27
22
423
26.5K