Ulombo Musa

21.6K posts

Ulombo Musa

Ulombo Musa

@UlomboMusa

Katılım Ocak 2025
1.5K Takip Edilen114 Takipçiler
Ulombo Musa retweetledi
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Wakati mkishadadia habari ya udaku, kesi ya mgawanyo wa mali imefutwa rasmi, haki imeshinda alhamdulillah, ngoja nikanywe soda pale HQ
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊  tweet media
Indonesia
4
31
160
3.2K
Ulombo Musa retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam imeifuta kesi mgogoro wa mgawanyo wa rasimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kati ya Tanzania Bara na Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa leo Mei 28, 2026 na Jaji David Ngunyale wakati akisoma uamuzi wa mapingamizi ya CHADEMA ambapo pia ameamuru kila upande ubebe gharama zake wenyewe. Jaji Ngunyale amesema baada ya kupitia hoja za pande zote mbili, Mahakama imejiridhisha kuwa hati ya madai ilikuwa na mapungufu ya Kisheria kwa sababu haikutaja tarehe rasmi ambayo mgogoro huo ulianza. Kesi hiyo ya madai Namba 8323 ya mwaka 2025 ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Saidi Issa Mohamed pamoja na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
0
4
19
979
Ulombo Musa retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
VIDEO: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kuifuta rasmi kesi iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati ya Tanzania Bara
Indonesia
1
21
114
3.1K
Ulombo Musa retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mahakama haziwi huru kwa kusahihisha madhara yaliyokwisha kutokea, uhuru wa kweli wa mahakama hupimwa kwa uwezo wake wa kuzuia dhulma kabla haijavaa sura ya sheria. Haki inayochelewa baada ya uharibifu kutokea si ushindi wa sheria, bali ni ukumbusho wa udhaifu wa taasisi zilizopaswa kulinda haki tangu mwanzo.
Indonesia
5
52
217
3.8K
Ulombo Musa retweetledi
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
“Kazi ya viongozi wa dini si kuwa tawi la serikali. Na kazi ya serikali si kuwa mmiliki wa dhamiri za viongozi wa dini. Mamlaka zinahitaji kusikia ukweli hasa ule wasioutaka kusikia. Kwa sababu history inaonyesha: taifa huwa hatarini sana pale ambapo: watawala wanataka kusikia sifa pekee, na viongozi wa dini wanaogopa kusema ukweli., badala yake wanakuwa public relations officers wa serikali .” Rev Peter Msigwa
Indonesia
11
36
143
2.3K
Ulombo Musa retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
TAARIFA KWA UMMA
Brenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
7
48
150
1.8K
Ulombo Musa retweetledi
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Mahakama zinazoendeshwa kwa remote sio Mahakama. Serikali ikitaka kufungia chama wanafungia, serikali ikitaka kuachia chama kufungwa kwa sababu ya pressure Mahakama inaachia. Mahakama ni lazima zijikite kutafsiri sheria sio namna ya kupunguzia dola pressure Kwa vyovyote iwavyo, ukiondoa Ikulu, Polisi, Tume ya Uchafuzi, Msajili, CCM, Mahakama inatakiwa kubeba lawama ya moja kwa moja kwa kuwezesha mauaji ya October. Kwa kutotimiza wajibu wao.
Indonesia
2
34
122
3.3K
Ulombo Musa retweetledi
Patrick Ole Sosopi
Patrick Ole Sosopi@PatricOleSosopi·
Kwishaaaa habari yenu😂 Kiko Wapi Sasa nyie wasaliti na waliowatuma? Chadema ni Mpango wa Mungu✌🏽💪🏽
Patrick Ole Sosopi tweet media
Indonesia
5
26
113
1.5K
Ulombo Musa retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Leo tarehe 28 Mei 2026 Mahakama Kuu Masijala ya Dar es salaam imetoa uamuzi na kukubaliana na hoja Chama kwamba kitendo cha waleta madai kushindwa kuonesha lini hasa madai yao yalianza kinainyima mahakama nafasi ya kujiridhisha kama kweli inayo mamlaka ya kusikiliza madai husika. Kufuatia hali hiyo, kesi hiyo namba 8323/2025 imefutwa rasmi leo.
Indonesia
2
34
113
2.2K
Ulombo Musa retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Kesi ya mgawanyo wa mali ya Chadema imefutwa na Mahakama.
Filipino
5
34
231
4.3K
Ulombo Musa retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Kesi hii ya Said Issa Mohamed na wenzake ilikuwa ni kesi ya kutengenezwa na mfumo." Mhe. @amanigolugwa
Indonesia
6
73
274
3.3K
Ulombo Musa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
What are you whining about Kombo? What new lie were you caught in ? Be specific what “misinformation” is circulating on social media? You think that only Tanzanians specifically CCM understand Kiswahili? You lie in Kiswahili and spin in English! It’s not gonna work! 😁 Acheni milio! Unafikiri hawajui Kiswahili duniani! Mnatukana na kubeza wafadhili kwa Kiswahili alafu mnawadanganya kwa lugha laini Kiingereza! Dunia ya leo ni kijiji! Na bado! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
27
73
249
9K
Ulombo Musa retweetledi
sultan
sultan@chapanombombwi·
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Mei 28, 2026, imeifuta rasmi na kuiondoa mahakamani hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya bodi ya wadhamini pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Kesi hiyo ilikuwa inahusu madai ya usawa katika mgawanyo wa mali za chama kati ya Tanganyika na Zanzibar. Tunaenda kama hatutaki @TunduALissu aachiwe tufanye siasa za hoja huu si muda wa kutishiana na polisi✊🏽
sultan tweet media
Indonesia
2
9
40
1.6K
Ulombo Musa retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo Mei 28, 2026 imeifuta rasmi kesi ya Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu mgawanyo wa mali za chama Kesi hiyo ndiyo iliyotumiwa na maccm kuzuia shughuli za CHADEMA kwa siku 310
Mwinshehe 🕊️ tweet media
Filipino
12
48
182
3.5K
Ulombo Musa retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Yani Trump kawagusa kidogo tu wauaji wa Oktoba 29, leo wamefuta kesi ya Mgawanyo wa mali za Chadema na sitashangaa mwezi ujao wakifuta kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu maana sasa hivi wamebanwa kwenye kona hawana pa kutokea. Wanahaha kujinasua ila uzuri tuliwaonya tangu siku ya kwanza lakini walishupaza shingo sasa kinawaramba.😂😂😂😂
Indonesia
22
88
543
12.6K
Ulombo Musa retweetledi
Chriss fundi CDM
Chriss fundi CDM@ChrissFundi·
Mashetani wamewekwa sehemu moja
Chriss fundi CDM tweet media
Indonesia
1
4
25
474