Upendo Godfrey
2K posts

Upendo Godfrey
@UpendoGod
GOD First| Founder&CEO @nyumbanispices, Executive Secretary Twea Kibaha|Farmer|ARISE Alumn|AWE Alumn, SDGs 2,8,13&17. Gracias DIOS por todo en mi Vida😍🙏.





My guy Magesa Gamba battled hepatitis B. It was humiliating to see him in a shape of hopelessness and helplessness. Sikuwahi kujua msiba until I frequented ICU for my G. ‘Saini tuzime mashine maana ubongo ushakufa’ was unbelievable! Keep resting in power, my dawg Magesa🤲







Wape #UpendoWaYara mifugo yako! Kwa kuwapa KALORI 3000 ambayo ni molasis ya unga yenye ladha na halufu nzuri unayotakiwa kuchanganya kwenye chakula au maji ili kuongeza hamu ya kula au unywaji wa maji, kuongeza uzalishaji maziwa na kuimarisha afya ya mifugo yako. Changanya Kg 5 hadi 10 kwenye tani 1 ya chakula au Vijiko 5 hadi 10 vya chakula kwenye lita 20 ya maji. #YaraTanzania #Knowledgegrow #Mifugo #lisheboratokayara #UfugajiWaKisasa #Kalori3000








Panda bila wasiwasi, uotaji ni uhakika. YaraAmplix SEEDLIFT husaidia mbegu kufyonza unyevu kutoka kwenye udongo, hivyo huifanya mbegu kupasuka na kuanza kuota. Pia huwezesha mazingira rafiki ya udongo ili mbegu iote vizuri. Hata kama kuna ukame, joto kali, udongo wenye chumvi chumvi au hauna rutuba, mbegu bado inaweza kuota kwa usaidizi wa YaraAmplix SEEDLIFT. 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈: Tumia mbolea hii kwa kuchanganya na mbegu kabla ya kupanda ili ishikamane moja kwa moja na mbegu. Changanya Mls 6 hadi 8 ya YaraAmplix SEEDLIFT kwenye Kg 1 ya mbegu. Tumia sasa ukiwa unaelekea kupanda mazao yako. #MboleaNiYara #KnowledgeGrows #YaraTanzania #yaraamplixseedlift #kilimochamahindi
















