BONIE LAYKER

11.3K posts

BONIE LAYKER banner
BONIE LAYKER

BONIE LAYKER

@VIEW_Unlimited

SPORTS ANALYST. MEDIA PERSONNEL. ROUNDUP FOOTBALL NEWS. https://t.co/SmRHJxKiIt

SPORTS KING Katılım Mayıs 2019
312 Takip Edilen15.9K Takipçiler
Legacy (Fan)
Legacy (Fan)@LegacySiu·
Guess the player Very Hard
Legacy (Fan) tweet media
English
9.5K
709
13.3K
1.1M
BONIE LAYKER retweetledi
Serif
Serif@Sansserifv·
What is the name of that tool?
One@Termione

Amaze

English
633
515
4.7K
1.1M
BONIE LAYKER retweetledi
DML | DurableManLecture📃
DML | DurableManLecture📃@DurableMLecture·
Why She needs Negative Emotions to Fall in Love: 1) She's a Selfish Creature.
DML | DurableManLecture📃 tweet media
English
2
50
340
48K
Jashaki
Jashaki@Jashakiboy28·
@Lukala_Ngesse We nae ni matko tyu kumbe simba anamechi tarhe 3 na mashujaa akitoka hapo anacheza nusu fainali crdb na jkt trhe5 baada ya hapo ana mechi tarhe 8 na pamba then 11 na Kmc sasa hiyo ya trhe 10 may ya mwaka upi
Filipino
8
0
23
13.7K
Uncle G
Uncle G@Lukala_Ngesse·
HATUCHEZI FC , KIKO WAPI SASA🤣
Uncle G tweet media
Filipino
169
73
1.1K
160.8K
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
FULL TIME. YANGA 0-0 MC ALGER
BONIE LAYKER tweet media
English
0
0
0
328
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
RATIBA YA CLUB BINGWA AFRIKA. JANUARI 12,2025. Siku ya Jumapili Klabu Yanga Watashuka dimbani kusaka Alama 3 Ambazo zitawawezesha kuendelea kufufua Matumaini ya kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Mabingwa Afrika. Yanga watatupa karata yao Dhidi ya Al Hilal Kutoka Sudan 🇸🇩
BONIE LAYKER tweet media
Indonesia
0
0
1
291
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
🚨TRANSFER NEWS🗞 Klabu ya AS VITA inayoshiriki ligi kuu nchini Congo🇨🇩, imekamilisha usajili wa mchezaji ISMAIL MGUNDA, kutoka klabu ya MASHUJAA FC inayoshiriki ligi kuu nchini Tanzania. Usajili wa Mgunda ndani ya kikosi cha As Vita Club ni mapendekezo ya kocha Youssuf Dabo.👇
BONIE LAYKER tweet media
Indonesia
0
0
2
205
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
@Mkunga_Og Kinachonishangaza hadi wananwake nao wanaandika Comments 🤣🤣🤣
Filipino
0
0
2
987
Mr Health💊💉
Mr Health💊💉@ItsMrHealth·
Tusome Comments Za Wataalam Wa Mambo...💦
Mr Health💊💉 tweet media
Filipino
246
44
1.7K
293.1K
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
@Rydx_017 kwani Lift iko uwanjani Jamni🤣🤣😀 Tungeshinda mngesema mambo ya Lifti😁 Dah wabongo kwa Majungu
Indonesia
0
0
0
11
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Bonus Video 😂😂😂
Lietuvių
4
1
76
14.4K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Huuyu Mwamba Tunampa kazi ya usemaji wa WATANZANIA... AISEEE.. Kwa mechi ya leo, Kila nililokuwa nataka kulisema kailisema huyu jamaa... Hemb msikilize.... Video kwa Comments👇🏾
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
16
32
1.3K
172K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🇨🇮 | DAVILA MESSI KESSIE 🔜 SIMBA SC 🦁 . Wakati viongozi wa Simba wakihaha kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, tayari wameanza kumpigia hesabu winga shoto raia wa Ivory Coast 🇨🇮 D’Avila ‘Messi’ Kessie ambaye inaelezwa huenda mambo yakienda sawa atajiunga na miamba hiyo. . D’Avila kwa sasa anakipiga Inova Sporting Club Association ya Ivory Coast, huku nyota huyo akisifika kwa uwezo wa kucheza winga zote yaani kulia na kushoto ambapo msimu uliopita alifunga mabao 11 na kuasisti sita na kama akitua ataungana na Kramo Aubin aliyesajiliwa msimu uliopita, lakini hakutumika kwa sababu ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu, japo kwa sasa amepona.
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
40
29
1.1K
74.3K
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
@FKihamu SIMBA kwa mwaka inaingiza zaidi ya Bilioni 6 kimataifa,kwenye ligi,TV rights na MBets,gates collections na percents ya Mauzo ya jezi. Alafu mkataba wa MO unasema Bilion 20 kwa miaka 10 means 2B per year. sasa akisema anapata hasara atuelezee anaipata pataje!?
Filipino
0
0
1
33
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Kwenye boti la Tajiri MO Dewji tutapanda watu wachache sana waliosikiliza Interview nzima na kumuelewa nini anamaanisha, Tajiri ambaye anamiliki Makampuni yalioajiri Watanzania zaidi ya 47,000 akiwa ni Muajiri wa pili nyuma ya serikali kwa kuajiri watu wengi unahisi anaweza kuongea kitu ambacho hakimake sense?? Wengine wanasema MO hana pesa ama anatoa kwa kinyongo lakini ni MO huyu ambaye amesaini Pledge ya Mabilionea duniani wapo 120 tu ambao wakiwa hai wanatoa sehemu ya Utajiri wao kwa Jamii kusolve matatizo mbalimbali, ni MO huyu ambaye amesaini pledge kuwa akifa basi 50% ya Utajiri wake wagaiwe kwa mifuko ya hisanj, mbona hatumsikii akilalamika huko? Kwenye mpira wa miguu ni ukweli mchungu kuwa Simba ni HASARA kwake! Tujiulize anatoa Pesa za usajili wa Wachezaji wa Kimataifa, wanaolipiwa nauli za kuja, malazi, usafiri, agent fee, vibali vya kazi, mishahara na bonus halafu WANAFELI, wanavunjiwa mikataba wanaondoka, Mlipaji ni MO! Mzigo wote kwake, hapo kuna faida ama hasara? Team hii inaenda Camp nchi mbalimbali, kwa Wanawake na Wanaume, kuna projects za vijana, gharama za usafiri wa ndege, bonus, kila kitu akaunti za klabu peke yake haziwezi kutoboa! Nani anayetoa mzigo? Jibu ni Mwekezaji, ni nani? Ni MO Dewji, ndio maana anasema kwa mwaka anaingia hasara ya Dola Million 4! Its true hesabu zinapigika na zinaeleweka. Mmesahau hapa kasajiliwa Aubin Kramo ni majeruhi, kosa la MO? Kasajiliwa Akpan kafloop ni faida ama hasara? Walikuwepo wakina Okrah wakafeli, wahesabu na Wachezaji wazawa waliofeli na kuondoka! Hujataja Makocha na Waajiri! Kuna faida hapo? Ni vile tu hatukubali ukweli mchungu. Timu haisajili Wanachama maana yake 49% zake tu ndizo zinafanya kazi, Mashabiki wao ni kununua jezi na uwanjani pekee, unatarajia asiingize hasara hapo? Kwanini tuchukie anaposema ni mali yake?Hata kwenye diin Mwanamke usiyemhudumia sio wako. Mpira duniani bado ni UFUKARA! Gharama ya kuifanya Simba kuwa timu kubwa ni lazima inampa hasara kubwa mno MO, kama ambavyo Roman Abramovich alivyopambana kuijenga Chelsea ilimbidi mpaka akafungue akaunti huko Virginia ili timu ipokee pesa ya zaidi na ameondoka ANAIDAI Chelsea. VISIT MOROGORO 🇹🇿
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
445
188
2.7K
222.3K
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
Inamaana Wachezaji wa TANZANIA Bila kuahidiwa zawadi yoyote wao hawawezi kucheza kwa Morali kwa lengo la kupambania timu ya taifaa.?
BONIE LAYKER tweet mediaBONIE LAYKER tweet media
Indonesia
0
0
0
263
hasheem ibwe
hasheem ibwe@hasheem_ibwe·
Huwezi Amini mwamba sheikh Dabo hakutakiwa kula hata krismas 😂😂😂😂
hasheem ibwe tweet mediahasheem ibwe tweet media
Indonesia
29
25
845
52.1K
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
Tazama Video: Marekani yatoa kanda ya video inayoonesha uchokozi wa ndege za kijeshi za China bbc.in/46S9Ae0
BONIE LAYKER tweet media
Indonesia
0
0
0
159
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
"Msimu ujao tutakuwa na timu 24 kwenye michuano ya African Football League, tutazipata kupitia viwango vya CAF pamoja na mafanikio yake katika ligi za nyumbani." - Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe
BONIE LAYKER tweet media
Indonesia
0
0
0
166
BONIE LAYKER
BONIE LAYKER@VIEW_Unlimited·
Watu 4 wamefariki na wengine 13 kujeruhiwa katika uwanja wa Kericho Green saa chache kabla ya sherehe za Mashujaa, baada ya kutokea mlipuko uliotokana na mwanamke mmoja aliyekuwa akiuza chai uwanjani hapo baada ya chupa ya chai kuanguka na kutoa mlio mithili ya bomu.
BONIE LAYKER tweet media
Indonesia
0
0
0
137