Makamu wa Rais Tanzania

732 posts

Makamu wa Rais Tanzania banner
Makamu wa Rais Tanzania

Makamu wa Rais Tanzania

@VPTanzania

Ukurasa Rasmi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tanzania Katılım Nisan 2024
4 Takip Edilen524 Takipçiler
Makamu wa Rais Tanzania
Muungano wetu ni wa kipekee na wa kihistoria ambapo unachagizwa na matukio ya furaha na umoja ikiwemo michezo. Miaka 62 ya Muungano wetu ni ushuhuda wa amani, umoja na mshikamano wa kweli. *Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi* Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Indonesia
0
0
0
20
Makamu wa Rais Tanzania
Ninaungana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi na kutwaa Ubingwa wa Kombe la Muungano 2026. Hongera kwa wachezaji, benchi la ufundi na kwa timu zote zilizoshiriki mashindano haya.
Makamu wa Rais Tanzania tweet media
Filipino
1
0
0
27
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Ukumbi wa Mabele mkoani Dodoma, ambapo ni mgeni rasmi katika kilele cha Tuzo kwa wanawake waliofanya vizuri katika sekta mbalimbali maarufu Malkia wa Nguvu kanda ya kati, zinazoandaliwa na Clouds Media Group.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
0
53
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makubaliano hayo yamefanyika wakati wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.
Indonesia
0
0
0
17
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishuhudia utiaji Saini wa kuondoa hoja ya Uingizaji wa Sukari kutoka Zanzibar katika Soko la Tanzania Bara katika orodha ya hoja za Muungano.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
1
1
0
41
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
1
41
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikata utepe kuashiriauzinduzi wa Afisi ya Uhamiaji, Wilaya ya Kati, Mkoa waKusini Unguja, Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 24 Aprili 2026.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
1
54
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Afisi ya Uhamiaji, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 24 Aprili 2026.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
0
41
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
DONDOO; Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Maabara za Sayansi na Skuli ya Kilimo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 62 ya Muungano.
Indonesia
0
1
0
61
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakati wahafla ya Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Maabara za Sayansi naSkuli ya Kilimo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 62 ya Muungano.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
0
43
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kwaajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Maabara za Sayansi na Skuli ya Kilimo.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
0
26
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, marehemu Bernadin Francis Mfumbusa, mara baada ya Ibada ya kumuaga iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba , Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
1
74
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Ibada ya kumuaga na kumuombea Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, marehemu Askofu Bernadin Francis Mfumbusa, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba , Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
0
55
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba , Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, kushiriki Ibada ya kumuaga na kumuombea Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, marehemu Askofu Bernadin Francis Mfumbusa.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
2
62
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea nakuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Lukuvi, katika mkazi yao Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, leo tar 16 Aprili 2026.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
1
66

72
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza naMabalozi Wateule wanaokwenda kuiwakilisha Jamhuri yaMuungano wa Tanzania katika Mataifa mbalimbali, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu, Chamwino MkoaniDodoma, leo tarehe 13 Aprili 2026
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
2
76
Makamu wa Rais Tanzania
Makamu wa Rais Tanzania@VPTanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakati waufunguzi wa Kongamano la Vijana katika Kumbukizi yaMiaka 104 ya Kuzaliwaa Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, lilofanyika katika Ukumbi waChimwaga mkoani Dodoma leo tarehe 11 Aprili 2026.
Makamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet mediaMakamu wa Rais Tanzania tweet media
Indonesia
0
3
5
276