Victor Mgawe
5.2K posts









"Niliahidiwa nitakwenda kugombania jimbo la Nungwi, Zanzibar nitapewa fedha za kugombea kuanzia kampeni na mwisho wataongea na mfumo ili niweze kuwa mbunge, lakini sipo tayari kuhama Chadema." Abdilahi Fadhili







BTW mnatakiwa mjue hili, kila siku Mwenyekiti anayokaa gerezani anapewa offer, ambazo zote amekataa, wakati anahamishwa gereza alipielekwa kwenda kushawishiwa akubali kuachiwa kwa ahadi kuaa ccm watabadilisha katiba kuruhusu GNU yeye awe waziri mkuu akagoma! Ndo akapelekwa Ukonga


Pamoja na Vikwazo wanavyopewa CDM Bado unapata nguvu ya Kukejeli? Walikua wafanye mkutano uwanja wa Kilombero wakanyimwa ila Bado watu wakawafata huko sehemu ingine

Hii ndio Arusha? I mean Arusha tunayoijua?


Mwaka 2019, Maalim Seif alipojiunga na ACT Wazalendo, Msajili wa Vyama vya Siasa alikataa uteuzi wake na viongozi wengine kushikilia nafasi mbalimbali ndani ya ACT Wazalendo kwa hoja kwamba hawakuteuliwa na Halmashauri Kuu. Hatukukubaliana na hoja zake. Lakini, tuliamua kuimaliza mechi hiyo "kibingwa". Tuliitisha kikao cha Halmashauri Kuu upesi na kuwateua watu walewale aliowakataa. Mchezo uliishia hapo.








Madeleka ni Polisi na itabaki kuwa hivyo



