Wilfred Kidao retweetledi

HISTORIA IMEANDIKWA : Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalumu wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serengeti Girls wamealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika India mwaka huu. @serengetigirls

Indonesia










