samwel Rashid

9.1K posts

samwel Rashid banner
samwel Rashid

samwel Rashid

@Wakanda_republi

| Holding a Football coaching license | Radio & Tv sports analyst at EASTAFRICA RADIO & TV| Certified information technology technician #Iringa's finest

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2022
1.2K Takip Edilen2.5K Takipçiler
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
WALEVI WA ILE BAR wanadai kuwa AZAM TV imesomba watangazaji wengi kutoka radio kubwa, muongoni mwa watangazaji wakubwa ni Jabir Saleh(KuviChaka) kutoka EFM na Ibrahim Kasuga kutoka EATV/Radio. Walevi waongo sana sio watu wa kuwaamini😂😂
SANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
25
42
923
41.4K
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
Match imebalance vizuri sana!! Battle ya Midfield mpaka sasa ni 50/50 kilichobaki kuamua hii game ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja!! Ndio maana unaona muda mwingi watu wanajaribu kidribble sababu tayari mabench ya ufundi wamepean game kali.
Indonesia
2
1
43
1.6K
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
Kuna siku nipo na dogo mtoto wa mama yangu mdogo she was 7 yrs muda huo. Tukaenda kutembelea kaburi la bimkubwa wangu. Ile feelin za kummiss mama chozi likanitoka!! Siji kusahau dogo alinifata akanikumbatia! Sijawahi pata feelin kama ile maishani.
Filipino
3
1
19
1.1K
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
@INFLUENCERjr @neymoo_ Simba na Yanga sio team za Tanganyika tu kaka. Hata ZNZ wapo mashabiki wao. Nauli ya DSM - MWANZA nikubwa kuliko DSM - ZNZ na watu huwa wanaenda.
Filipino
0
0
0
27
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
@neymoo_ Zanzibar capacity yake ni 14k na unaona ni sawa mashabiki wa kutoka Tanganyika wasafiri mpaka Zanzibar kwenda kucheki game? Wangapi wanamudu?
Indonesia
2
0
1
655
samwel Rashid retweetledi
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
@Elsukay0 @Mwangosijnr Kiemba lakini wakanda anakuja kwa kasi sana
Indonesia
0
1
3
197
samwel Rashid retweetledi
Myahudi 🇹🇿
Myahudi 🇹🇿@MyahudiOG·
@Elsukay0 Sitaki kumshushia heshima Kiemba, ila ukimpa sikio @Wakanda_republi utajua anakuja kwa kasi sana kwenye kuchambua vizuri mpira
Indonesia
0
1
4
263
samwel Rashid retweetledi
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Kati ya Samwel Rashid wakanda na Amri kiemba yupi ni mchambuzi mkali hapa unaondoka na nani?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet mediaEL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
30
16
113
5.6K
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
Wanangu yule mzee wa SISU ni muuaji😀. Wale NAZI’s wamekufa vibaya sana kwenye movie zake.
Indonesia
0
0
17
880
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
@TzFootballers @BracuszCadabra 😀😀Hapa kaka wengi sana mikono watainua. Dogo karudishwa 10 saivi hana touch nyingi kwenye gozi, halafu muda mwingi anacheza huku analiangalia goli.
Indonesia
0
0
9
665
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
Backline ya Azam ipo FLAT & wameachana GAP kubwa ambalo Yanga wanapitisha mpira na kukimbilia hapo. Kasi yao ipo chini wakipoteza mali wanajikuta wapo disorganised coz Yanga wanaukimbiza zaidi mchezo. Wanataka kupita katikati ambapo Yanga wapo wengi wanaishia kuwa dispossessed
Filipino
2
0
42
893
samwel Rashid
samwel Rashid@Wakanda_republi·
Narudia tena hii kauli. Wanangu iwapo huna permanent job na umefanikiwa kujimake kidogo, invest kwenye simu nzuri , laptop kali na internet. Hii combo kwa Gen hii ni moja ya kitu muhimu sana. Simu inaweza kukufungulia Dunia kwa namna kubwa sana. Invest in tech accessories.
Indonesia
6
36
339
8.1K