Women in Climate Tanzania

208 posts

Women in Climate Tanzania banner
Women in Climate Tanzania

Women in Climate Tanzania

@WomenInClimate_

Fueling Women for Climate Action in Tanzania |Grassroot Engagement |Green Communities🌱|#mwanamkethabiti Hub ♻️ Empower Women, Save The Earth!

Tanga, Tanzania Katılım Mart 2023
213 Takip Edilen75 Takipçiler
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
We joined regional changemakers to strategize on increasing public finance for agroecology through digital advocacy & social movements. From hands-on training to policy-focused action plans we’re driving change for a sustainable, just future! #womeninclimatetanzania
Women in Climate Tanzania tweet mediaWomen in Climate Tanzania tweet media
English
0
1
1
43
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
Many women and girls are forced to walk up to 5 km or more, daily for water, exposing them to violence and exploitation. Displacement caused by extreme weather events further exacerbates these risks, especially in temporary shelters where access to basic services is limited. 2/3
English
1
0
1
11
Women in Climate Tanzania retweetledi
HabariLeo
HabariLeo@HabariLeo·
MWANADIPLOMASIA kijana kutoka Tanzania, Sylviabay Kijangwa amechaguliwa kuwa mjumbe wa WiseYouth, chini ya Baraza la Wazee Afrika lililopo chini ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika akiiwakilisha Kanda ya Afrika Mashariki. Mtanzania huyo ambaye pia ni mwanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi atachangia katika kuzuia migogoro, upatanishi, na kushirikisha vijana katika juhudi za kujenga amani barani Afrika. Uteuzi huo unathibitisha nafasi yake muhimu kama mwanadiplomasia kijana mwenye uzoefu katika masuala ya kijinsia, mabadiliko ya tabianchi, migogoro na usalama, na kumuweka mstari wa mbele katika kukuza uongozi wa vijana na amani endelevu barani Afrika. Soma zaidi: habarileo.co.tz #HabariLeoUpdates
HabariLeo tweet media
Filipino
0
2
9
706
Women in Climate Tanzania retweetledi
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
3. Katika mjadala wa ajenda za COP29, viongozi wa nchi, serikali, taasisi za kimataifa na washirika wao wameendelea kujadili viwango vya utekelezaji wa miradi ya kaboni chini ya Kifungu cha 6.4 cha Mkataba wa Paris. 1/2👇 #Elimikawikiendi
Indonesia
1
8
12
458
Women in Climate Tanzania retweetledi
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
5. Katika mkutano wa COP27 mwaka 2022, nchi wanachama zilikubaliana kuanzisha Mfuko wa Upotevu na Uharibifu ili kusaidia mataifa yaliyoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi. 1/2 👇 #ElimikaWikiendi
Indonesia
1
6
9
464
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
8.Tanzania ktk #COP29 imeonesha nia ya kuchangia katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kutunza na kuimarisha eneo lake la hkt mil 48.1 za hifadhi ya misitu yenye uwezo wa kuhifadhi kaboni sawa na 2% ya jumla ya kaboni duniani #Elimikawikiendi
Indonesia
0
6
7
484
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
9. Tanzania inatekeleza mkakati wa kupikia wa nishati safi salama na nafuu pamoja na mpango wa usaidizi wa kupikia Nishati safi wa wanawake wa Pan-African ambao unahitaji usaidizi wa kifedha wa takriban dola za kimarekani bilioni 4 kila mwaka ifikapo 2030. #Elimikawikiendi
Women in Climate Tanzania tweet mediaWomen in Climate Tanzania tweet media
Indonesia
0
5
7
469
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
10. Maazimio ya COP29 yamesisitiza haja ya mshikamano wa kimataifa ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi huku nchi tajiri zikiimizwa kuchukua jukumu kubwa Zaidi katika kuunga mkono nchi maskini. #Elimikawikiendi
Indonesia
0
6
7
331
Women in Climate Tanzania retweetledi
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
Hata hivyo, katika mkutano wa COP29, majadiliano yalihusu utekelezaji wa mfuko huo, ikiwemo masuala ya uendeshaji, vyanzo vya fedha, na jinsi msaada utakavyotolewa kwa nchi husika. 2/2 #ElimikaWikiendi
Indonesia
0
6
9
427
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
6. Lakini pia katika Siku ya Jinsia ya #COP29, tarehe 21 Novemba viongozi wamejadili umuhimu wa mipango ya kijinsia na uwazi ili kuhakikisha kuwa wanawake wanapata rasilimali zinazowawezesha kukabiliana na changamoto za hali ya hewa. #Elimikawikiendi
Women in Climate Tanzania tweet mediaWomen in Climate Tanzania tweet mediaWomen in Climate Tanzania tweet media
Indonesia
0
6
8
511
Women in Climate Tanzania
Women in Climate Tanzania@WomenInClimate_·
7. UNICEF imeripoti kuwa mabadiliko ya tabianchi yanadhuru ustawi wa watoto bilioni moja kwa kuwaweka katika hatari ya magonjwa ya kuambukiza, kukwamisha elimu yao na kuwanyima lishe bora wanayohitaji ili wakue vizuri. #Elimikawikiendi
Women in Climate Tanzania tweet mediaWomen in Climate Tanzania tweet mediaWomen in Climate Tanzania tweet media
Indonesia
0
5
9
503