Otange Obazee retweetledi

Silent killer ni emotional abuse. Kuna watu hawatukuguza na ngumi ama teke lakini ile pit utarushwa mentally & emotionally, kutoka labda coffin or divorce. Check on your pals who cut you completely off after leaving the soko, sometimes they are avoiding arguments not their pals.
K.T£E🎩🔱@Richiemash_
Abusive relationships huwa sad sana mahn. Na hii yote huanza na mtu kukushoutia. Before you realise slaps and from there hakuna going back..things get ugly.
English
































