Dr. Yasini Mustafa Joshua
816 posts

Dr. Yasini Mustafa Joshua
@YasiniMustafa
Medical Doctor, MSc. Diabetes (USW), Internal Medicine Resident (Alexandria University), Type 1 Diabetic, and techpreneure
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2013
353 Takip Edilen359 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@IAmHaule Chief hii namba mbona imekaa kama tambo za chief wa Taifani😎😂
Indonesia

Kichina ..
Kuna mtu ni Kama winga wa Madlili ya kichina , Wanamuita Sheby yupo Buguruni Madenge Pale .
Anafunga hadi 40M+ kwa mwezi kwa kutafsiri tu Kiswahili kwenda kichina .
Sean 🦩@iboysean
Mwaka huu nataka kujifunza lugha mpya, Nijifunze lugha gani wakuu?
Indonesia

@DrStrangejm Kwenye kila shilingi mbili utakayo’piga’ hapo shilingi moja weka akiba
Huku kwq mama nq mtoto hakuchelewi zege kukulalia😎
Indonesia

GP okota ujuzi kwa 350K
Ongea na management ya hospitali..vichwa vya obs vipitie kwako..or make it a side gig😀
Muhimbili University@muhimbiliuniver
📢 Applications are now open for the upcoming Obstetric Point-of-Care Ultrasound (O-POCUS) Short Course! 🗓 Date: 15th to 19th June 2026 📍MUHAS Don’t miss this opportunity to enhance your clinical practice with expert-led sessions and real-time scanning experience. 🔗 Apply now through the application link below. utafiti.muhas.ac.tz/surveys/?s=RCJ… ✍️Application Deadline: 10th June 2026 #ObstetricUltrasound #O-POCUS #MedicalTraining #UltrasoundCourse #MaternalHealth
Indonesia

@SagiraW Tunaongeza vyeti
Hatuongezi shule
Soko linalipia vyeti halilipii shule
Nenda na soko ndugu mganga
Filipino

Ukipita nae round kama junior anakwambia pale Taifani kwa mwezi hamnahna 7-8M na hapo mambo yakiwa mabaya😂
Ndugu zanguni, pesa ni kama mimba. Tusipoona tumbo, tutaona pua, au miguu au kutema mate😄
Muajiri mkuu anakupa 7-8M monthly then unashida vijiweni Mbagala Rangi Tatu? 😂
Muone shati zake za drafti mbili kama muuza maziwa tushakukariri hata ukiwa mbali. Hata kama hushobokei magari makubwa ndio uweke mafuta ya vibaba kwenye hiyo IST?
Hiyo Tecno Y3 badilisha cover na protector basi😂 - maokote yakutanane ndugu speahalisti
No body cares, you just lying to yourself😎
Indonesia

Imagine investing 70 Billion-Tsh to only get 3% return, not even beating inflation! - capital allocation is a special skill. @MushiAlbert
English

@Isayadicksonjr Jibu sahihi ni kwamba
Pesa ya kumuona daktari tunachukua (tunapewa)
BUT sio madokita wote wanachukua (wengi ~90% hawapati fursa hii)
Na tunaochukua hatuchukui yote (just %) na sio kwa kila mgonjwa.
Uongo kwangu mwiko mwana TANU chipukizi.
Maelezo mengine ni kuongopeana.
Indonesia

@FrankFedric @swahilitimes Jibu sahihi ni kwamba
Pesa ya kumuona daktari tunachukua (tunapewa)
BUT sio madokita wote wanachukua (wengi ~90% hawapati fursa hii)
Na tunaochukua hatuchukui yote (just %) na sio kwa kila mgonjwa.
Uongo kwangu mwiko mwana TANU chipukizi.
Maelezo mengine ni kuongopeana.
Indonesia

@FrankFedric @swahilitimes Unataka nitoe siri ya kambi?
‘Madokita’ wanaopata airtime ya camera ni top 1% ambayo ukweli ni kwamba hii hela wanachukua japo sio yote. Ndio maana maelezo yao ya kukanusha hayaeleweki
Then kuna 99% ya madokita hawajawahi kuiona hii hela ila hawana sehemu ya kujielezea
Indonesia

@FrankFedric @swahilitimes Mbunge: madokita wanachukua hela
Dokita: Uongo huo hatuchukui hata mia
Msemaji wa madokita: Unajua maslahi £&@ffhsysyshhsjsu
Mbunge: Unachukua huchukui?
Msemaji wa madokita: Unajua hii sichukui peke yangu, let us define consultation fee. No unajua nesi anakupima presha😂😂😂
Indonesia

@FrankFedric @swahilitimes Ambiguity
Sometimes kukanusha ama kukubali hakuna maslahi kwako so unaliacha suala likielea ili kila mtu atafsiri kivyake
Ulitaka waziri aseme pesa ya kumuona daktari inalipwa kwa control number na inachukuliwa na serikali na sio daktari?
We kuweza?😂
Indonesia

@swahilitimes Daktari uko sahihi lakini Hili swali liliulizwa bungeni, Waziri wa Afya alitakiwa kulijibu Bungeni…Likitoka kwako Daktari inakua kama mnajitetea
Indonesia

@IAmHaule Wilaya nzima wewe ndio top, na waganga wenzio wawili watatu wote wafawidhi
Unaitwa bwana mganga😂
Unatibu Malaria na “yutiai”
“Siza” za kutosha
Bia za bure, totoz kula kugalagaza
Usipoguswa begani, ndio basi tena
Mfawidhi kila ukilala ndoto ni teuzi ya DMO au mratibu TB😂
Indonesia

@Isayadicksonjr @FrankFedric @fredkavishe 900 itapendeza unaanzia wapi kununua hisa?
Watoto wapate utapiamlo kamla hujapata gawio😂
Indonesia

@FrankFedric @fredkavishe @Isayadicksonjr Sina gawio brother
Hata wewe nlipokuahauri kufuga mdudu niliweka disclaimer kwamba ni haramu😎
Indonesia

@Maryftaddoh Nyumbani Kamachumu and Mpimbwe lakini unaishi Dar mwaka wa ngapi huu?
Huna nongwa katika hilo
Ila nikitoka Dar nkavuka mpaka nongwa ni kama zote.
Au nyumbani unamaanisha nini? Ni Dar au Kamachumu?
Dar sio mwisho wq chochote,
Kama ulivyotoka kamachumu, just keep moving
Indonesia

@Hon_KibayasiF Senior wa Tamisemi anapush LC300
Binafsi au ya ofisi?
Nadhani you are no familiar with local government politics.
Hata kama una uwezo wa kiununua, you won’t, and if you do, huyo ajira mpya sidhani kama atakukuta kazini. Utakua umepisha uchunguzi au uchunguzi ushakuondoa.
Indonesia

@Narrowbeeflying Kuna sababu ‘chungu mzima’ kwa nini mtu anaweka pesa bank - just kuweka is one of them.
Mfano: wapi napeleka statement ya M-WEKEZA kama collateral ya mkopo au Visa ya kuingia au kuishi nchi fulani?
Now you know, sababu zingine next time ukiuliza ntakupa😎
Indonesia

@RamadhaniRupia @Positivenga1 Hizi data za inflation ta 3.2% mnatoa wapi?
😂😂😂

@Positivenga1 Let's say they give you 12% annum, plus 3.2% inflation . Unabakiza kama 8%. Sio mbaya sana ukicompare na saving acc.
English








