Yesaya Software 🇹🇿

5.1K posts

Yesaya Software 🇹🇿 banner
Yesaya Software 🇹🇿

Yesaya Software 🇹🇿

@YesayaSoftware

Jina langu ni Yesaya, ninafundisha programming kwa kiswahili, naendesha majadiliano kuhusu TEHAMA, nafanya livestreams na kuhost podcast ya Yesaya Software.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2011
812 Takip Edilen3K Takipçiler
Yesaya Software 🇹🇿
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware·
So AI inaandika code, then nimeiambia itest applications kwenye UI hatua kwa hatua. Niko pembeni naangalia tuu
Indonesia
1
1
4
231
Yesaya Software 🇹🇿
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware·
@John_zedev Nimejibu ila ngoja niweke kwa ufupi. Ukilipa huduma USD kwa USD unasave 10k, ukilipa huduma TZS kwa USD unatumia extra 10k.
1
0
1
7
The Godfather
The Godfather@John_zedev·
@YesayaSoftware Swali langu limejikita kwenye hiyo 270K vs 280K Ufafanuzi wako bado sijauelewa yaani una save vipi 10k?
Indonesia
1
0
1
13
The Godfather
The Godfather@John_zedev·
Mimi sijaelewa... Ukiweka 270,000 kwenye akaunti yako ya selcom na kuihamisha into USD unapata $100 (Ambayo ndio unalipia ✅). Ukitaja kulipia kwa kutumia account nyingine mfano Mpesa Visa Card au Card ya bank inabidi ulipie 280k? Pia forex inaingiaje hapo?
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware

Nataka kulipa $100 kwa online service, natumia @SelcomPesa. Nina account ya $ na ya TZS. Nikiweka 270,000/- kwenye account ya $ napata $100. Nikitaka kulipa kwa accoint ya TZS nitalipa 280,000/-, na save 10,000/-. Challenge soko la Forex hawafanyi kazi weekend… Nasubiri.

Indonesia
1
0
3
113
Yesaya Software 🇹🇿
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware·
Nataka kulipa $100 kwa online service, natumia @SelcomPesa. Nina account ya $ na ya TZS. Nikiweka 270,000/- kwenye account ya $ napata $100. Nikitaka kulipa kwa accoint ya TZS nitalipa 280,000/-, na save 10,000/-. Challenge soko la Forex hawafanyi kazi weekend… Nasubiri.
Filipino
1
0
12
716
Yesaya Software 🇹🇿 retweetledi
academia.asoft
academia.asoft@academia_asoft·
Ni tukio gani hautalisahau uliwai kufanya wakati ukiwa shule? #MaishaYaShule
Indonesia
1
1
3
91
Michael Baruti
Michael Baruti@MichaelBaruti·
Kuna namna FIFA kampendelea Argentina, ndiyo maana England akaachia zile goli mbili ili Mbuzi aende final
Indonesia
21
11
221
8.4K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Team Morocco lazima Tuwe team Spain
Indonesia
1
0
17
1.3K
Temidayo
Temidayo@thisistemidayo·
France 2-0 Spain England 4-1 Argentina
English
22
4
65
13.3K
Michael Baruti
Michael Baruti@MichaelBaruti·
😂😂😂😂 “FIFA imefanya mpango, Ufaransa atoke ili Messi achukue tena ndoo”
Indonesia
3
0
25
1.3K
Yesaya Software 🇹🇿
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware·
Anthropic wamerejesha Claude Fable 5 — modeli ya kwanza ya daraja jipya la "Mythos" — baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na maagizo ya udhibiti wa mauzo ya nje ya Marekani. Ni modeli yenye nguvu zaidi inayopatikana kwa umma sasa, hasa kwa kazi ndefu za uandishi wa programu
Yesaya Software 🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
0
1
190
Yesaya Software 🇹🇿 retweetledi
Anthropic
Anthropic@AnthropicAI·
We’ve received notice that the Department of Commerce has lifted export controls on Claude Fable 5 and Mythos 5. We'll begin restoring access tomorrow, and will share an update soon. We’re grateful to our users for their patience, and to everyone who worked with us on redeploying the models.
English
4.1K
12.9K
84.7K
15M
Yesaya Software 🇹🇿
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware·
Kabla sijaanza kujaribu Claude Fable 5, imesepa 😭😭😭
Eesti
0
2
7
541
Yesaya Software 🇹🇿 retweetledi
Haulay
Haulay@Positivenga1·
I’m happy to share that the Central Bank of Tanzania (BOT) @BankOfTanzania has granted @SwahiliesPay our own Payment Service Provider (PSP) License. Over the past few years, we have worked with more than 15,000 SMEs through bookkeeping and embedded finance solutions. This license now allows us to build and launch our own financial products directly with licensed partners, while also serving businesses with higher transaction volumes. We are getting back to work, focused on building bigger things for businesses across Tanzania and Africa!
Haulay tweet media
English
24
61
245
13.7K
Yesaya Software 🇹🇿 retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeipa kampuni ya Swahilies Company Limited @swahilieshq leseni ya kutoa huduma za kifedha na malipo Nchini Tanzania. Kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikitoa huduma mbalimbali za kidijitali kupitia majukwaa yake kama @KuzaBusiness, imesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma zake kwa lengo la kuchochea ukuaji wa biashara za kidijitali Nchini. Akizungumza baada ya kupewa Leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Swahilies Company Limited John Haule, amesema, “tunaishukuru Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote cha mchakato wa kupata leseni hii, tunaamini hii ni hatua muhimu kuelekea kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma za malipo Nchini Tanzania,” amesema John Haule. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
4
17
210
35K