ZD17KILLER♦
9.9K posts

ZD17KILLER♦
@ZeddySimon
Mwamba wa kaskazini💪💪 ACTIVIST Mwanaharakati#mpendahaki Mpenda demokrasia na Maendeleo ya watu 🎤✌✌ THE CONQUER ♦
Arusha, Tanzania Katılım Şubat 2021
1.1K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ZD17KILLER♦ retweetledi

Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour


Indonesia
ZD17KILLER♦ retweetledi

Haijalishi itachukuwa muda gani ila moja kati ya mistake tutaifanya ni ku give up kumtafuta mwana.
Zoezi la kumtafuta Ninja mitandaoni na Mtaani lisiwe na Kikomo, kikomo ni atakapopatikana. 🤝
#FREENINJA

Filipino
ZD17KILLER♦ retweetledi
ZD17KILLER♦ retweetledi

Naomba kwa umoja wetu tutembeze hii hashtag ifike viral hapa we repost alafu reply #FreeNinja
Filipino
ZD17KILLER♦ retweetledi

Hata yaliyotokea October 29 hayajaisha vizuri mmerudi Tena huku wakuu💔🙌damn mtupumzishe tu #FREENINJA #FREENINJA

Suomi
ZD17KILLER♦ retweetledi

ZD17KILLER♦ retweetledi

Inazidi kuwa noma mbona! #FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr
Nimeongea na Mama yake Damour Nyakairo almaarufu @Ninja_Damour amenithibitishia ni Kweli Damour alifatwa nyumbani kwao na kuchukuliwa na watu wasiofahamika. Wamemuangalia vituo vya Polisi karibu wamemkosa. Hii ndio taarifa niliyonayo kwa sasa.
Indonesia
ZD17KILLER♦ retweetledi

Free @Ninja_Damour hii nchi inaogopesha sana mamae💔 tupaze sauti kwa mwanetu awe huru wazee.

Indonesia
ZD17KILLER♦ retweetledi
ZD17KILLER♦ retweetledi
ZD17KILLER♦ retweetledi
ZD17KILLER♦ retweetledi
ZD17KILLER♦ retweetledi


🚨 Luis Enrique on criticism about 5-4 result: “You shouldn't respect all opinions… because if it's a shitty opinion you shouldn't respect it”.
“There will be people who like to play football this way, which is the majority, and here I include myself, and others who don't like to play like that”.
“I don't care about those opinions. What we show is that most people who love football enjoyed it and that's the important thing”.

English
ZD17KILLER♦ retweetledi


@FabrizioRomano Funny how arsenal fans analyse elite games like they've been in one recently.

English

Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo:
1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili.
2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko.
3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu.
4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani.
5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika.
6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa.
7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

Indonesia

















