𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑

18.4K posts

𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 banner
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑

𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑

@_Maxmily

God1st || Chelsea fan || Funny Account || The louder they complain, the more you know you are ahead || You are welcome...!!!

Tanzania Katılım Ocak 2025
518 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑
Hii ndio sababu mpira unapendwa zaidi duniani, nyumbu tuliwapiga.😂
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 tweet media
Indonesia
14
15
134
1.7K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Nimeuziwa nguruwe usiku maeneo ya dumila asubuhi bandani nimeingia nimekutana na kiboko nifanyeje 💔😭😭
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
50
35
250
14.7K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Tajiri wa Upendo 🕯️
Tajiri wa Upendo 🕯️@Luvandalugano47·
Hivi kweli dunia nzima tumeshindwa kutengeneza vyombo vinavojiosha vyenyewe kweli?
Tajiri wa Upendo 🕯️ tweet media
44
61
236
6.7K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
blas 
blas @_blasxc_·
Huyu msela saivi hapigi saidia fundi kweli?😂
blas  tweet media
Filipino
15
14
138
10.7K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Mimi naweza kunywa bia hata Creti zima halafu mimi ndio nikawabeba nyie🤒... Yeye baada ya bia moja na nusu😂💔👇.
The champ👑 tweet media
Indonesia
29
38
72
1.3K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
📢 WAKUU NAOMBA RETWEETS 🙏🏾🙏🏾 OFA OFA OFA! 🚀 Badala ya 110,000/= sasa lipa 100,000/= tu upate router yako leo! 💥 📶 25Mbps – 70,000/= (siku 30) ⚡ 40Mbps – 100,000/= (siku 30) Internet ya uhakika, kasi ya uhakika! Usikose! 🔥 📞 0693947007 💬 wa.me/255693947007 📩 DM: @amosrichar14147
Ambele Young tweet media
Indonesia
28
70
68
1.2K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷@waziri3wa_wapwa·
Uyu singo maza nimfanyeje?🤔...
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷 tweet media
Indonesia
30
26
77
2.5K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Isack Mathew Ilamlila
Isack Mathew Ilamlila@IsackIlamlila·
Hivi wale Wanawake wanaomeza Shahawa (Mbegu za Kiume) Hawajui Kama wanakula Watu? 😂😂😂
Indonesia
122
91
916
51.3K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@Mwangosijnr·
Broo Haijalishi Mwanamke Wako Ana Sali kiasi gani na ni Mpole Kiasi gani.. Ila Ukweli Halisi wa Mwanamke Wako Upo kwenye simu yake.
Filipino
32
61
273
8.6K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Isack Mathew Ilamlila
Isack Mathew Ilamlila@IsackIlamlila·
Mwenyezi Mungu, Akajaze hitaji la Mioyo yetu. Familia zetu zikajivunie uwepo wetu tukiwa Hai.. Amen 🙏
Isack Mathew Ilamlila tweet media
Indonesia
19
26
66
1.3K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Kila mmoja hufanikiwa kwa wakati wake kikubwa endelea kuamini katika mapambano yako Good morning wasakatonge wenzangu
Filipino
45
50
98
1.2K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
Mkushi
Mkushi@Mkushiiiiii·
Baraka ya kwanza kubwa kwa mwanadamu ni kuamka ukiwa mzima wa afya, Mengine yanatafata!
Indonesia
9
28
102
1.2K
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Good morning x family 🍀
PàChâ#1738 💫 tweet media
English
37
36
80
774
𝔾-𝕤𝕖𝕧𝕖𝕟 👑 retweetledi
𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 👑
Hadithi ya Lampard huko Coventry City ni hadithi ya mtu ambaye alikataa kuruhusu kukata tamaa. Chelsea haikufanya kazi Everton haikufanya kazi akaamua aanze upya Coventry city ikamwamini Sasa anawarudishia ndoto yao. Wakati mwingine unahitaji kurudi nyuma ili usonge mbele .🫵📌
𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 👑 tweet media
Indonesia
17
22
143
3.4K