Eduardo
6.6K posts

Eduardo
@_alexer09
electrical & electronics engineer



SIASA ndo inaamua bei ya mafuta iwe shingapi, na kwenye hii issue waathirika sio wale wanaotembelea PRADO 150 au V8 za Serikali wanazowekewa mafuta Bure. Tunaoathirika ni wananchi wa chini asee, Wese Kutoka 2800 Hadi 4200, imepanda 1400 within 2 a two months 🚮💔

Serikali ipunguze kodi kwenye Mafuta kwa muda wa miezi sita kuondokana na azma hii Kasumbalesa Zambia umbali wa km 1980 kutoka Dar port bei ya Mafuta iko chini Sababu kuna tozo wamepunguza. Hatuwezi endesha nchi namna hii mfumuko wa bei utakuwa Mkubwa zaidi.

Kutana na tonie profesa content creator wa tiktok na IG. Kwa wasiomjua huyu jamaa anafanya content za kuwa pombe kalia yani spirit ,konyagi nk.....amepost IG akiomba msaada hali yake ya kiafya sio nzuri na ameanza kuvimba uso 🙌🙌 wakuu pombe kali sio nzuri

Nipo natafakari hili buku nipande boda, au nitembee nilinywe fanta orange ya baridi?



















