DavY

996 posts

DavY banner
DavY

DavY

@_boi_dave

I mainly use this site to confirm I'm not the only one👀..that has a brain with many tabs open🤪

Katılım Eylül 2022
149 Takip Edilen52 Takipçiler
DavY
DavY@_boi_dave·
@LocalFundi_ Happy Birthday dada angu🥳🫶
English
1
0
1
153
DavY retweetledi
DavY
DavY@_boi_dave·
@NikoJMT Mkubwa hakosei - anajichunguza tu
1
0
0
16
YHWH
YHWH@NikoJMT·
"Tumeunda kamati ya uchunguzi"
GIF
Indonesia
1
3
9
294
DavY
DavY@_boi_dave·
@LocalFundi_ All in all…how can you make an institution to investigate something you ordered to go through😅 Naona kuna scapegoat anaangushiwa jumba bovu
English
1
0
0
33
DavY
DavY@_boi_dave·
@LocalFundi_ Ila bi maza na card ya kujikuta mama wa Tz 🚮 The audacity of even quoting the bible on a totally irrelevant topic 🏃‍♂️
English
1
0
0
33
DavY
DavY@_boi_dave·
@EsirEid @JumaAyoo Ata uko kukandamizwa kwenyewe kwa Media lini amewahi kuongelea 👀 When the blame game shifts wanatafuta kichaka cha kujitetea 🤦‍♂️
Indonesia
0
0
0
74
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
Internet imesharudi… Tuambie kuanzia irudi umereport kitu gani tofauti na makundi ya Yanga na Simba?? Haya kabla ya uchaguzi ulireport kitu gani kuhusu Haki za watu? Kutekwa,kumbambikiwa ma kesi ya ovyo hasa wapinzani… Leta kipande chochote ulichoreport live! Usijifiche kwenye kichaka cha internet
Indonesia
47
53
544
16K
Juma Ayo
Juma Ayo@JumaAyoo·
Mfano unatakiwa kuripoti live kutoka mtaani ,utaripoti vipi na hakuna internet? ...hiyo Live U utaitumia vipi field? Tumepitia Mengi sana kikubwa uzima.
Filipino
238
30
470
115.9K
DavY retweetledi
YHWH
YHWH@NikoJMT·
To all the people who lost their breadwinners. To all parent's who lost their bundles of joy. To everyone who lost their emotional supports. To all of us who lost our friends. May we find peace and comfort
English
0
13
35
687
DavY retweetledi
YHWH
YHWH@NikoJMT·
We shouldn't condemn the reporters and the workers but we sure as hell can condemn the media. While they were silenced. Why do they continue allow themselves to be used for damage control? One wasn't a choice but the other is.
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader@Wakazi

TUSIWAHUKUMU MEDIA, NI WAHANGA WENZETU Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja Wa Mataifa (Antonio Gutierres) “WHEN JOURNALISTS ARE SILENCED, WE ALL LOSE OUR VOICES” tafsiri yake ni kwamba “Wana Habari wakinyamazishwa, sote tunapoteza Sauti zetu” Sisi tunawalilia wao kwa kupoteza sauti zetu, ila tunajisahaulisha kuwa WAMENYAMAZISHWA!! Kama ambavyo Telecom Companies ambazo mmezilipia Bando, na bado INTERNET ikakatwa! Au kama ambavyo Unalipia LUKU na bado UMEME unakatwa! Wanahabari hawajawa kimya kwa kupenda, hivyo tuwape some Grace, na kujivisha viatu vyao. Wamenyamazishwa kwa njia nyingi, na pengine vitisho ambavyo kibinadamu walishindwa kujizuia. In Journalism wanasema “Hakuna Habari kubwa kuzidi Maisha yako” so when your life is on the line inabidi uwe mpole… na tumeshuhudia kuwa Maisha ya watu hayajathaminiwa. Na isitoshe, WAPO waliojaribu kufanya kazi katika mazingira haya magumu, na wengine wakapatwa madhila kama raia wengine yalivyowapata. Kuna Journalist amepigwa risasi (Azam Media), wengine wamefariki (Clouds Media), na pia wengine wamekamatwa (Ayo TV). Bongo Five walikuwa na Journalist Ubungo wakati maandamano yanaanza wakitoa ripoti, DW Swahili walitoa Tathmini ya kinachoendelea. KAZI YAO NI NGUMU, na mara nyingi wanaweka maisha yao on the line ili tu waweze kutuhabarisha. Wameuwawa watoto wa chini ya 18 yrs, Vijana wa under 30 na hata Wamama na Wazee, sasa unadhani Wengejali wewe umevaa Vest ya PRESS, wakati kuna WanaCCM AMBAO WAMEPIGA KURA ASUBUHI NAO WAMEULIWA? Imagine Millard Ayo ana reporter wake allegedly amekamatwa na polisi hadi sasa, ila haja ripoti (unadhani ana uhuru kiivyo kweli, maana UTU ANAO NAMJUA VIZURI) Kumbukeni KHALIFA SAID Aliwahi kufukuzwa kazi na Kampuni yake ya Media, Sababu Kauli zake ziliwaudhi Watawala. Na ingawa mimi napenda Media kuajiri watu wenye Weledi na Media Ethics, ila Issue ya ITHIBATI ililetwa kama njia ya kuzibana media pia. Na cha ziada ni kwamba, baadhi ya media Inamilikiwa na Chama (Uhuru, Magic, Channel 10), Serikali (TBC), viongozi na makada wa Chama na Serikali, na Wapambe na Chawa (Wasafi, Crown). Media Independent za Wafanyabiashara wao wanaogopa kuwa sanctioned. Na Kingine, Hata hizo DeutcheWelle, BBC na Aljazeera, Citizen Kenya, etc ambazo zimekuwa ziki ripoti, content wamezitoa kwa Our people on the ground ambao wao hawana uhuru wa kutoa kwenye outlet zao. Bora wao hata walikaribu, wengine nyie ambao ndio sasa mnajitokeza kusema PRAY FOR TANZANIA, Mlienda SHOPPERS PLAZA mkanunua vyakula, mkajifungia ndani HAMKUANDAMANA wala KUPIGA KURA… Alafu ndio wakwanza kuwanyooshea vidole MEDIA; Mtu yeyote mwenye kufuatilia yanayoendelea nchini atasikitika na kuwaonea huruma Media ila sio kuwa CONDEMN. The Leader

English
1
8
22
1.1K
DavY retweetledi
🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲
"....Tunawaomba marehemu wote waliopoteza maisha kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, majeruhi na wote waliopoteza mali zao..." Proud Catholic, we stand for truth and not nonsense. Viva TEC
Filipino
8
111
446
11.5K
DavY retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@rusted_cleat·
Kwa Watanzania wenzetu waliopoteza maisha kwenye maandamano ya tarehe 29 pumzikeni kwa amani. 🙏🏼 Mwenyezi Mungu awatie nguvu familia, majeruhi pamoja ma wote tulioguswa. Damu yenu haitasahaulika, na sauti zenu zitaendelea kusikika. #VivaTanzania 🇹🇿🖤
Filipino
20
186
837
42.4K
DavY retweetledi
ERIC OMONDI
ERIC OMONDI@ericomondi_·
Silence is not an option.
English
38
525
3K
85K
DavY retweetledi
🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲
Pray for your friends, pray for your friends so much that God can even speak to you about their situations🙏🏾
English
0
6
19
559
DavY
DavY@_boi_dave·
@Believer2_0 Possible wanasubiri Kunduchi mall ifunguliwe
Filipino
1
0
0
28
DavY
DavY@_boi_dave·
@Believer2_0 Mi nadhani wape ushauri😂😂 waweke franchise- Bagamoyo Road
HT
1
0
0
23
.
.@utdcynical·
Amorim this is ALL on you.
English
31
91
1.1K
28.4K
(fan) Trey
(fan) Trey@UTDTrey·
PRAY FOR MAN CITY
(fan) Trey tweet media
English
4.5K
1.7K
39.2K
3.1M