Sabitlenmiş Tweet
𝗚𝗶𝗻𝗶𝗺𝗯𝗶
13.9K posts

𝗚𝗶𝗻𝗶𝗺𝗯𝗶
@_ginimbi
Businessman | Investor | Motivational Speaker| —— Turning ideas into income Strategy • Growth • Discipline
Los Angeles, CA 🇺🇲 Katılım Kasım 2024
0 Takip Edilen3.5K Takipçiler

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses M. Kusiluka, Lukuvi amefariki dunia leo Machi 25, 2026 majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani pamoja na Watanzania wote kufuatia msiba huo mkubwa.
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele

Indonesia

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa Moyo.
Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka.
Marehemu Lukuvi alikuwa akihudumu kama Mbunge wa Isimani Mkoani Iringa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu wa shughuli za Serikali, pamoja na masuala ya watu wenye Ulemavu.
Rais Samia ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Familia ya marehemu, Ndugu, Jamaa, Wananchi wa Jimbo la Isimani na Watanzania wote kwa ujumla.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

KINACHOENDELEA CONGO KWA MIAKA KINAVYOHUSISHWA NA LAANA YA KIFO CHA LUMUMBA! ITAKUTOA MACHOZI :- youtu.be/RwOohQtE9mI

YouTube

Filipino

Serikali ya Senegal imetangaza msimamo mkali kuhusu sakata la kurejeshwa kwa Kombe la Africa Cup of Nations (AFCON), ikisema haitalirejesha kombe hilo hadi pale Court of Arbitration for Sport (CAS) itakapotoa uamuzi wake rasmi.
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kubadilisha picha yake ya wasifu kwenye mitandao ya kijamii—kitendo kilichotafsiriwa na wachambuzi kama ujumbe wa kisiasa unaoashiria msimamo thabiti wa taifa hilo katika mzozo huo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, Senegal tayari imeiandikia Confederation of African Football (CAF) ikieleza wazi kuwa haitarejesha kombe hilo hadi mchakato wa kisheria utakapokamilika. Kawaida, mabingwa wa AFCON hutakiwa kulirejesha kombe kabla ya kuanza kwa maandalizi ya mashindano yanayofuata.
Uamuzi huo unatazamwa kama hatua ya kipekee inayochanganya siasa, sheria na michezo, huku wachambuzi wakibainisha kuwa kuhusishwa kwa CAS kunaashiria dhamira ya Senegal kutaka suala hilo liamuliwe kwa misingi ya kisheria badala ya kiutawala pekee.

Indonesia











