Sabitlenmiş Tweet

Naomba leo tuzungumze kuhusiana na #bitcoin. A thread 🧵
Bitcoin ni hela kama hela nyingine isiyo na usimamizi wa mabenki na serikali.
Unaweza kutuma na kununua bidhaa
yoyote bila makato ama uratibu wa benki yoyote ama pesa za mitandao ya simu
Indonesia













