
@thereallizberth @cw_pedro Wewe Dada soma history za waarabu walikuwa wana mummify maiti., Uislam ndio kitu Kiliwabadilisha, Jamani Uislam uliwakuta waarabu wana mila Zao hata wao waliziona Mpya..!! Hadi Mtume Muhammad ﷺ kwenda Madina/Yathrib 622 CE alirudi na kuvunja masanam,
Filipino















