Because you assaulted a fellow Tanzanian, we as Tanzanians are now launching a campaign to expel all South Africans from doing business in Tanzania, as retaliation for what you did to our brother.
@SportsarenatzTz Ni muda sasa wakina Damaro na Keyeke wapewe nafasi Stars si walipewa uraia au....maana hawa wakina fei wnaaperfom club kwasabab kuna upinzani wa kigeni wakiletewa na stars pia waraimarika labda
⌛:FT
Mchezo umemalizika uwanja wa Pele, 🏟️ Kigali ni LIECHTENSTEIN🇱🇮 wanaofanikiwa kupata ushindi mbele ya TANZANIA🇹🇿
🇹🇿 TANZANIA 0️⃣-1️⃣ LIECHTENSTEIN 🇱🇮
@Chahali Black hate on black is historical ndo maana Colonialism was smoothly invented Africa huku Songea wanapigana Majimaji war kule Kilimanjaro Chifu Mangungo anapewa kioo anasign kuuza ardhi, huku Iringa Chief Mkwawa anapambana kule wanawauza wenzao 🤦🏾♂️
Huyu ni kijana wa Kitanzania anayetafuta ridhki yake huko Afrika Kusini. Unfortunately, hao Wasauzi wamekuwa wabaguzi hatari zaidi ya hawa tulio nao huku nchi za Magharibi.
Hawa washenzi wamesahau mchango wa Tanzania katika mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Makaburu nchini humo. Kichekesho ni kwamba sifa kuu ya Makaburu ilikuwa ubaguzi kama wanaofanya hawa weusi zama hizi.
Wakati kwetu Moro tuliwahifadhi pale Mazimbu, Idara ya Usalama wa Taifa (ilipokuwa Idara ya Usalama wa Taifa kweli sio hii ya watekaji na waf*raji iliyotekwa na abduli 😡) iliongoza vita ya kijasusi ya frontline states dhidi ya Shirika la Ujasusi la Makaburu (BOSS) na kushinda.
Situation huko Sauzi is expected to get worse baadhi ya chifu mmoja wa Wazulu kutoa hotuba kali kuhamasisha vita dhidi ya wahamiaji.
instagram.com/reel/DWYv1_xjL…
@Chahali@YouTube Kuna watu Prominent ambao watatikisa meza during uchaguzi CCM for 2030 na ili lisijirudie kama 2015 inabidi watu wenye power mapema waanze kupunguzwa maana by 2030 itakua too late and too obvious. Nchimbi kaona legacy ya Lowassa ilivyofutika nchini na aliahidiwa kuwa P, kashtuka
@Chahali@YouTube There's a pattern currently kwa kila kifo kikitokea
1.Kiongozi anasema "marehem" hakua na ugonjwa wowote
2.Kiongozi anasema jana tu niliongea nae na alikua sawa
NB: Nashangaa Samia anatajwa kwenye misiba "tunashkuru Rais Samia alimpa nafasi kwenye baraza lake" guys MSIBANI🤔
@mTusiOriginal Sasa yule mzee badala ajielezee anaanza kusema baba ake alipigania ukombozi na Nyerere inasaidia nini, kila mmoja akija na rekodi ya ukoo wake si itakua Nepotism hiyo sio haki sasa
Mtoto wa seif:Nimezulumiwa mali ya baba yangu
Lukuvi: sema shida yako nitaondoka sitaki makaratasi.
Mtoto wa seif: Nimeshida kesi mahakama zote lakini nimezulumiwa arithi baba yangu aliyo nunu 8000.
Lukuvi : Sema shida yako
Hivi huwa mnatuona kama mavi🚮🚮
Jamaa kafariki akiwa na miaka 70' kwenye miaka yake yote aliyoishi miaka 31 alikuwa mbunge kwa malipo yanayolipwa hapa Tz kwa wabunge kuanzia posho na mshahara anagusa 1b kila muhula jamaa kwa haraka kapiga 6b kumbuka alikuwa na waziri pia😁🙌
Ukiziangalia Simba na Yanga kwa juu juu, unaweza kudhani ni team zinazofanana kila kitu kama wanavyoitwa Mapacha wa Kariakoo ila kwenye swala la Carrier na kuruhusu wachezaji wake kukua Simba na Yanga ni Mbingu na Ardhi,. Simba walimuacha Samatta aende akiwa wa moto, Ramadhani singano , Kina Kibu D na Ahoua wameondoka kiroho safi na wengine wengi, Ila upande wa Yanga ni tofauti Mayele nusu wamtoe roho, Guu likawa la bia mayele kaenda kupona kwa mwampooo😂💔🐸.
@SwahiliRealTalk Kwanini mchezaji akitoboa watu wanataka arudi kucheza Simba na Yanga kwamba ndo mafanikio ya soka au, wakina ajibu wana vipaji walibaki nchini mkawabeza walitakiwa waende ulaya hawa wapo nje mnasema warudi bongo 🙆🏾♂️
NEW CLEMENT MZIZE IN TOWN: vilabu vya Tanzania shtukeni mapema, hapa pichani kuna pesa, mshambuliaji kijana mwenye exposure ya kucheza soka la kimataifa katika umri mdogo sana, Morice Sichone kwa sasa yupo Gulf united ya UAE 🇦🇪, amecheza Zambia lakini pia ana National team Cap👇
🚨Klabu ya Yanga SC imeliongeza jina la Kiungo Mshambuliaji Stephane Aziz Ki kusajiliwa ili kuboresha eneo la Ushambuliaji kuelekea msimu ujao na tayari mchakato wa kupitia mkataba wake na Al Ittihad SC ya Libya umeanza ili kumrudisha mchezaji huyo
🚨🇸🇳 Mshambuliaji wa Club Brugge, Mamadou Diakhon amekataa wito wa kuchezea timu ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21 na badala yake amechagua kuichezea Senegal katika ngazi ya kimataifa.
Ametangazwa katika kikosi cha Senegal kwa ajili ya mapambano ya kimataifa👇
@EduTalkTz Jipe mfano unafuga kuku 5000 kila siku kuku wengine wanaona unakuja unakamata kuku 100 unauza siku nyingine unachinja kuku 200 hawa wengine wanawaza kama sisi kuku wote sawa mbona wengine wanachinjwa na kuchukuliwa kimabavu...ndo utajijibu vizuri📌
Swali kwa “watu wa Mungu.”
Hivi Mungu ambaye ndio mgawaji wa riziki anajisikiaje anapoona mamilioni ya watoto wanaishi maisha ya tabu na mateso kiasi hiki?
Kwa nini aliamua watoto wa Mwigulu na Samia waishi kama malaika lakini hawa waishi kama mashetani?
🚨Mshambuliaji kinda toka Tanzania 🇹🇿 anayecheza Manchester City academy everson nyasulu (14 YRS) ameendelea kuonyesha kiwango bora sana kwenye kituo hicho cha kulea vipaji kiasi cha kufanikiwa kupata tuzo ya mchezaji bora wa academy hiyo.
Kwasasa Tanzania inafanya vizuri👇
@Chahali Mama anajua kwa uovu alioufanya by either way ameteteresha muungano na uko hatihati kuvunjika kwahyo anataka akitoka aiache znz iwe inaanza kujitegemea kiuchumi at least gap liwe 60%-40%🤦🏾♂️🙆🏾♂️