AK⁴7

26.3K posts

AK⁴7 banner
AK⁴7

AK⁴7

@_kinggeofrey

I follow my own path🕊

Tanzania 🇹🇿 Katılım Nisan 2018
2.6K Takip Edilen5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
We are guardian angels of Galaxy
AK⁴7 tweet media
English
9
3
34
2.2K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Unavyozidi kuwa mtu mzima ndio unagundua namna this failed nation inazika ndoto nyingi za Vijana.
43
172
1K
14.8K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Throw back kabla sijaanza kuuza perfume nilikuwa nauza Kambale
John kalage 🇹🇿 tweet media
Indonesia
18
45
477
11.4K
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Somebody told me I'm not serious because I seem to laugh every time that I'm not yet matured, I replied, You are the one who gets Old, I'm 34 yrs, The middle of life stage font ruins my happiness, allow me to enjoy the core of life to the fullness!
English
0
0
1
12
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
This is what we call life When It feel rejected by 99 people Don't feel guilty, Enjoy and feel blessed with 1 who is sent by God to stand on your side! No matter what, Choose to be Happy! Head up and keep your smile active always
English
0
0
1
12
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Mmekuja kuongea na sisi Vijana mmetumwa na Mungu au Serikali? 😅😅😅
Suomi
0
0
2
10
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Mbona toka uchaguzi uishe hatuzioni mtaani? 😅
AK⁴7 tweet media
Indonesia
0
0
0
20
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Mungu nisaidie niwe na roho ngumu kama Huyu jamaa, Like 2azo la Kujiua lisiniijie tena Amen
AK⁴7 tweet media
Indonesia
0
0
0
12
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
@MarekaMalili @mankadolly Au siku umdanganye Boss wako Niko hapa Boss dakika moja ntakuwa nimefika ndo utaelewa njiani kuna dharura na changamoto kedekdede
Filipino
1
0
0
9
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ukiwa na haraka barabarani ndio siku utakutana na vikwazo vyote vya kukuchelewesha mpaka nafsi yako ikiri kwamba hizi haraka hazina maana tena. Sijui nimeeleweka?
Indonesia
7
26
183
2.9K
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Wafalme wenzangu Ukibahatika kuwa karibu na Mtu aliefanikiwa (Tajiri) Hata mama una shida jikaze usimuombe hela au kumtangazia shida zako Hawa watu ndo maana wanajitenga na masikini tunalia shida sana. Piga story, Mshauriane, Mpeane mawazo mapya, Mtiane moyo nk Punguza njaa,
Indonesia
0
0
0
13
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Mwanamke Jitahidi unapofanya appointment na mtu kuonana nae jitahidi hata kwa kukopa huko jilipie nauli. Inaongeza thamani sana na kuonyesha Unakitu cha ziada cha kutoa kwenye Ukaribu wenu nje ya doggy style. (Sex)
Indonesia
0
1
3
65
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
@kasesco_tz Tofautisha Wapemba na Waarabu. Dubai, Abu Dhabi Wanaishi wana TAG?
हिन्दी
0
0
3
287
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kwanini sehemu walipoishi waarabu hakujawahi kuwa na maendeleo..?🤔
kasesco☆ tweet media
Indonesia
73
41
364
18.5K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Njooni Mwasonge.
Lubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet media
Eesti
4
19
81
3.2K
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
@millardayo @kilepi_tweve Israel akipotea raia mmoja Jeshi zima huelekeza nguvu huko kupata majibu US ilituma na kurisk ndege 8 za kivita na wanajeshi 50 Operation ya kuokoa watu wawili Malawi watu 50+ wamepotea majibu ndo haya eti hata Ulaya wanapotea, Ushirikiana nk Ndo maana sisi Nchi sio Taifa aise
Indonesia
0
0
1
17
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema suala la upoteaji wa Watu linaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za Kijamii zinazolikumba Taifa pamoja na Dunia kwa ujumla akisisitiza kuwa uzito wa tatizo hilo ndiyo sababu limepewa kipaumbele maalum katika uchunguzi wa Tume hiyo. Jaji Chande ameeleza kuwa takwimu za Kimataifa zinaonesha ukubwa wa tatizo hilo ambapo mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani umebainisha kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024 zaidi ya Watu 284,000 wameripotiwa kupotea Duniani kote hali inayodhihirisha kuwa suala hilo si la Nchi moja pekee bali ni la Kimataifa Aidha, ameongeza kuwa hata katika Nchi zilizoendelea Barani Ulaya pamoja na Marekani bado matukio ya Watu kupotea yanaendelea kuripotiwa akitaja mifano ya Nchi kama Ubelgiji na Uholanzi, huku akibainisha kuwa sababu za upoteaji hutofautiana kulingana na mazingira ya kila Nchi jambo linalohitaji uchambuzi wa kina kabla ya kufikia hitimisho. Akizungumza Aprili 28, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), Jaji Chande amesema "suala la upoteaji linatukera sana, ndiyo maana tumeweka kama moja ya vyanzo vya masuala ya Kijamii, pia ni changamoto Duniani kote, Mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani unasema kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024, zaidi ya watu 284,000 waliripotiwa kupotea Duniani, hata Ulaya, Watu wanapotea, Ubelgiji, Marekani, Uholanzi na Nchi nyingin, sababu zinatofautiana, hivyo kila Nchi ina vyanzo vyake, kuna viashiria takribani 74 vya aina ya Watu wanaopotea Duniani, hivyo ukitaka kuelewa kwa undani lazima ubainishe chanzo cha kila tukio.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
187
6
213
47.8K
AK⁴7
AK⁴7@_kinggeofrey·
Kabla hujaheshimu watu na kutaka na ww uheshimiwe 1. Unavaaje? 2. Unaongeaje? Watu wanapokuona na kukusikia kwa mara ya kwanza hukuweka kwenye nafasi unayostahili kulingana na vitu viwili hapo juu
Indonesia
0
0
1
12
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Nickname ya HIV hapo mtaani kwenu mnaita jina gani. Sisi: NGWENGWE..😅
Filipino
67
32
185
11.4K
Nuru🌹🌹
Nuru🌹🌹@nuru_yumyum·
Good morning Africa, good morning friends ❤️🌞
Nuru🌹🌹 tweet media
English
106
48
689
11.8K
Mponda
Mponda@MpondaSabinus·
Good morning Farmer.
Mponda tweet media
English
12
16
89
982
Mponda
Mponda@MpondaSabinus·
Good morning from Mbinga Ruvuma.
Mponda tweet media
English
55
66
658
13.6K
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Mke wako akiwa na boss wake kazini kwao😂😂
Brave man tweet media
Filipino
17
18
107
2.8K