Mike
4.2K posts

Mike
@_mike2019
Teacher (chem,IT), IT expert, electrician, husband to Georgina, father to Allan.
Zanzibar South and Central, Ta Katılım Nisan 2019
942 Takip Edilen643 Takipçiler

@_mike2019 @MendradMlelwa @EduTalkTz Nimekujibu hivyo ili iwe rahisi wewe kuelewa ya kuwa Mungu baada ya kumfukuza Shetani, shetani akasema anachukua watu wa Mungu wamfuate yeye, Mungu akasema huwezi akijua watu wake wanamtumikia Mungu kwa njia ya Yesu na Roho Mtakatifu.
Indonesia

Kama Mungu ndio alimuumba mwanadamu na kumleta hapa duniani, ni wajibu wake kumpatia mahitaji yake ya msingi pasipo sharti lolote.
Mwanadamu hapaswi kumwomba Mungu chochote kile, anapaswa kudemand haki yake; anapaswa kumtaka Mungu atimize wajibu wake.
Fikiria hivi, kama Mungu aliamua mwenyewe kumleta mwanadamu duniani pasipo kumshirikisha, kwa nini aombwe kuprovide mahitaji?
Sio wajibu wa wazazi kuhakikisha watoto wanakula, wanakunywa, wanalindwa dhidi ya magonjwa na kutibiwa, pamoja na kukua katika mazingira sahihi?
Kama Mungu hakuwa tayari kukulinda dhidi ya magonjwa, njaa, na mengine yote, alikuleta duniani ili iweje? Kwa nini asingekuacha huko ulikokuwa?
Anaposhindwa kutimiza wajibu huu, sio common sense kumkosoa vikali kabisa kwa ukatili na neglect?
Kwa nini mwanadamu alazimike kumwomba Mungu chochote kile ikiwa hakumwomba kumleta duniani??🤔
Indonesia

@EduTalkTz Hii kule rombo tulikua tunafanya sana sijui ni nini kilikuja kuingia hapo walahi skuiz hamna tenaa
Indonesia

@EduTalkTz Bora mara kumi lijengwe kanisa ili watu wafundishwe kumwabudu Mungu na kutenda mema, pengine watamkuta huko mbinguni, watasalimika.
Kuliko kuchezea pesa kujenga Shule, alafu kuanza kufundishana, idadi ya miguu ya panzi, viwiliwili vya siafu na uhamiaji wa wangoni. 🚮🚮
Indonesia

@LembrusMchome Amani ipi hiyo ilitaka kuhatarishwa boy? Nchi hii watu wana hofu tuu na woga lakin hamna amani kwa sababu ya uoga wa watawala. Kama wasipojirekebisha kuna siku ujasiri utaishinda hofu na hapo hatutakua na taifa tena. Mzaha mzaha hivihvi mbuzi alimpand mamake na akapata mimba
Indonesia

@VictorNjau15 @MendradMlelwa @EduTalkTz Bado huo ni mfano uliko katika reality babuu. Leta mifano ya kiroho kulingana na hoja iliyopo
Filipino

@_mike2019 @MendradMlelwa @EduTalkTz Ni sawa na mwalimu wako wa Bondia akufundishe akupe mbinu zote za kufanya ambayo anaamini ukifuata vizuri unashinda pambano lolote, wewe unaleta uvivu ufuati masharti then unaenda unapigwa badala urudi kufanya mazoezi uliyoambiwa unataka mwalimu akamuue bondia mwenzio
Indonesia

Huu mkeka bado unapumua
Fortunatus Buyobe@fbuyobe
Msechu yupo studio Muda si mrefu atatudondoshea “hit song”
Indonesia

@EJ_Mwita Mambo meengi pengine yoote uliyoyaweka moyoni hayana impact yoyote kwenye dunia hii. Uruhusu sasa ubongo uwajibike ipasavyo ili yaliyopo moyoni yalete maana. Vyote ulivyoviandika hapa ni hadithi tuu na hauvijui hata kidogo. Usiseme umesoma bibble iliyoandikwa na binadamu
Indonesia

Onesmo upo brilliant sana kwenye mambo ya kidunia lakini umefumbiwa hata usione na kuelewa mambo ya Mungu kwakuwa wewe mwenyewe umeufanya moyo wako kuwa mgumu, Jiachie,mtafute Mungu na umruhusu akufunulie mambo aliyoyaficha kwako hata usielewe, Otherwise Hutoelewa chochote ndugu.
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
Swali: Ni sahihi watoto kuruhusiwa kusoma biblia pasipo kuchuja maudhui kama yale ya ngono au hata mauwaji?🤔 Ni sahihi watoto kuwa exposed kwenye mada za kumwaga nje, kubaka, mtoto kufanya ngono na wazazi, kuuwa kwa sababu ya ngono, etc?
Indonesia

@VictorNjau15 @MendradMlelwa @EduTalkTz Sasa kwanini Mungu amfukuzie duniani kwa watu wake anaowapenda sana badala ya kumuua? Au Mungu hatupendi? Au Mungu "wetu" ni Mungu wa majaribu?
Indonesia

@VictorNjau15 @MendradMlelwa @EduTalkTz Kama Mungu huyohuyo aliyevileta vyote hivyo (malaika, Yesu, roho mt. Na Bikira maria) alimshindwa sisi tutamuweza?
Indonesia

@GeorgeMwiga3 @EduTalkTz Dunia iliumbwa na nani? Au neno umba kwako unalitafsiri vipi?
Indonesia

@_mike2019 @EduTalkTz Ulichokiandika kinaenda kinyume na hicho kinachowafanya muhoji uumbaji. Kweli Dunia ni real na binadamu ni real. Kwa msingi huo source ya dunia ni real na siyo ndoto. Reality comes from a reality. Dunia iliumbwa na watu waliumbwa. Nje ya hapo ni ujingaujinga tu.
Filipino

@Kajjomma @AfyaCentreCrew Huyu Mungu unayemsema umefundishwa miaka ya juzi tuu ili iwe rahisi kutawaliwa na wazungu na waarabu. Imani za kweli ni zile za babu na bibi zetu zilizokuwepo tangu kale. Toka utumwani boy
Filipino

@AfyaCentreCrew Hizi upuzi za sijui traditions nilizikataa and now I can see the difference! As a person unafaa ufikirie on your own sio based on old imaginary nonsenses without necessary impact
Amini vitu za Mungu pekee sio za watu🤧🤧
Indonesia

@the_dreamer308 @EduTalkTz Haya maandiko uliyoyaweka moyoni badala ya akilini ndio yanakutesa. Kwa uhalisia tuu ndege huamka mapema sana kujitaftia malisho yao, sio wote hurudi salama kwa sababu wengine hukutana na viumbe wengine na kuliwa. Hii ni nature ya viumbe vyote. Usikariri. Elewa
Indonesia

@EduTalkTz Hoja nzuri saana mwalimu. Ila hapa maandiko yanasema. Mathayo 6:26
"Waangalieni ndege wa angani, hawapandi, hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, ninyi si bora kuliko hao?"
Filipino

@the_dreamer308 @EduTalkTz Hayo maandiko umeyatoa wapi? Yameandikwa na nani? Kwa lengo gani?
Filipino

@twiiter_B @NMweusi85571 Heri mvuta bangi mwenye akili zake timamu kuliko asiyevuta mpumbavu kama ninyi
Indonesia

@GeorgeMwiga3 @EduTalkTz Hiyo UTUPU ni jambo lakufikirika tuu kwa sababu wakati wa utupu unaousema hakukua na chochote. Nani alithibitisha hilo? Nakukumbusha yakuwa Dunia ni real. Usiniletee habari za ndoto hapa
Indonesia

@_mike2019 @EduTalkTz Hadi leo sayansi hii inayowapa kiburi cha kuhoji uumbaji, haina majibu wala mfano wowote kutengeneza kitu ambacho kinajichakata chenyewe kutoka kimiminika haki kuwa yabisi. Hakuna.
UTUPU haiwezi kutuletea uwepo wa chochote.
Indonesia

@GeorgeMwiga3 @EduTalkTz Dunia ni real. No metaphyisics in life. Watu ni real, maisha ni real, kuzaliwa ni real na kufa ni real. Sperm sio kimiminika kama unavisema ni viumbe hai katika form hiyo. Mambo yote katika roho ni yakufikirika tuu na hayana impact yoyote katika uhalisia
Indonesia

@_mike2019 @EduTalkTz Kama kuumba unakuchukulia kwa kuona kitu kimesimama na siyo muundo wa mchakato unaopelekea matokeo ya kuonekana kwa kitu basi lazima uje na msimamo huu. Lakini binadamu kama alivyo ni fully functional system perfectly engineered to reproduce itself. Uumbaji siyo ufinyanzi kaka.
Indonesia

@EduTalkTz @Msakatonge18 Mental liberation is not only spending 7yrs,4yrs, 2yrs and then 3++ years in school and University. Hii ni namna pia yakujaribu kufungua bongo zilizozongwa na abnormal entropy kujaribu kuwaza nje ya box. Nafkiri wakat wa kujibu hoja za namna hii unapaswa ujiweke neutral kwanza
Indonesia

@Msakatonge18 Nilichokiandika ndio imani yangu! Labda wewe ndio unapaswa kuniacha niamini ninachokiamini?🤔
Indonesia

@GeorgeMwiga3 @EduTalkTz Wewe uliumbwa au ni matokeo ya mbegu za baba yako na mama yako waliokutana kimwili zikatengeneza huyo wewe? Hoja yake inahitaji ubongo kutolea majibu sio moyo brother. Achana kwanza na ulichokaririshwa unaweza kuleta hoja ya msingi kabisa
Indonesia

@EduTalkTz Labda kama hukubali kwamba uliumbwa. Ila kama unakubali kuwa uliumbwa basi huwezi kuona shida ya kuomba kwa aliyekuumba maana anajua njia zako na uwezo wako wa kuhimili kila litakalokukuta. Kuomba msaada wake ni kuonesha kuwa kuna mambo yapo juu ya uwezo wako.
Indonesia








