Sabitlenmiş Tweet
Abasi Nasri
36.9K posts

Abasi Nasri
@abasi_nasri
Always @liverpoolfan & @SimbaSCTanzania fan, content creator 🔥 🔥 ⚽
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2023
2K Takip Edilen2.4K Takipçiler
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi

Nimeona kelele nyingi ooh adhabu alopewa Diarra ni ndogo haistahili kwahio ile Mlopewa mashabiki wa 5imba mnaona kama instahili tena Bora Diarra ni mala yake ya kwanza mashabiki wa simba ni mala ngapi mmefanya kosa la aina hio hio why msifungiwe maisha.?
@fumbokhanJr


Indonesia
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi
Abasi Nasri retweetledi

Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰
Indonesia



































