@abdimunai
426 posts

@abdimunai
@abdimunai
Artist @radiocitizenfm. #DriveOnReloaded /Inspector Mwala, Citizen TV
Nairobi, Kenya Katılım Temmuz 2020
17 Takip Edilen3K Takipçiler
@abdimunai retweetledi

Swala Kuu: Mke wangu anadai yakwamba lazima watu wangu wapige simu kwanza ili waje kututembelea je, ni sawa?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Indonesia
@abdimunai retweetledi

Hewani ni #DriveOnReloaded ukiwa na @sellyamutabi na @abdimunai karibu tueleke nyumbani kwa utaratibu.Unatupata ukiwa wapi?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne

Indonesia
@abdimunai retweetledi

County ya Nairobi yajipanga kununua mashua (boat) zitakazo saidia wakati wa Elnino.Unakubaliana?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Indonesia
@abdimunai retweetledi

Karibu ndani ya #DriveOnReloaded ukiwa na @sellyamutabi na @abdimunai unatupata ukiwa wapi?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne

Indonesia
@abdimunai retweetledi

Karibu ndani ya #DriveOnReloaded na leo hii @abdimunai amesema yakwamba hatishiki.Unatupata ukiwa wapi?
@sellyamutabi @abdimunai
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne

Indonesia
@abdimunai retweetledi

Swala Kuu: Ni miezi tatu tangu mke wangu ajifungue na anasema anataka kurudia maisha yake ya awali ya "sherehe" je,ni mapema sana ama ako sawa?
@sellyamutabi @abdimunai
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Indonesia
@abdimunai retweetledi

Watu wajitokeze walete aibu na waandamane kupigania haki zao sasa hivi.
@OgalTina @abdimunai
#DriveOnReloaded #RadioNumberOne
Indonesia
@abdimunai retweetledi
@abdimunai retweetledi

Matumaini yetu kwamba umekuwa na siku njema yenye fanaka na karibu kwenye Alhamisi ya mahojiano. Unasikiliza show ukiwa wapi na kumbukumbu yako ni gani?
#DriveOnReloaded / @OgalTina @abdimunai

Indonesia
@abdimunai retweetledi

Hii ni tabia chwara sana. Kama unahandle chakula usafi wako wa mwili n muhimu sana. @OgalTina @abdimunai
#TabiaChwara
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Indonesia
@abdimunai retweetledi




