Sabitlenmiş Tweet
𝔞𝔦𝔨𝔞 𝖖𝖓 🥰
3K posts

𝔞𝔦𝔨𝔞 𝖖𝖓 🥰
@aikamacha17
Muuza Genge,, Shabiki wa @SimbaScTanzania || @FCBarcelona
Katılım Eylül 2024
238 Takip Edilen372 Takipçiler

@Therealngassa juzi nilinunua Box la Asas Fresh kwa Mangi 32000/=
Indonesia

@Eng_Matarra @master_plan9 @Mwinshehe07 wewe ulishika milioni 17, wakati umri wako ulikuwa bado ni wakumiliki million 1, 😂😂
Indonesia

@master_plan9 @Mwinshehe07 Niliona kijana wameuza nyumba na eneo la urithi kwa shirika fulani wakapata 600m+ lkn huwezi amini kijana ni mpigadebe hapo Banana Dar
Huyo hajui tu
Mimi nilivuna miti nikauza 17m zote zikaishia moyoni
Indonesia
𝔞𝔦𝔨𝔞 𝖖𝖓 🥰 retweetledi
𝔞𝔦𝔨𝔞 𝖖𝖓 🥰 retweetledi

#TajiriLaKihaya
Kwa Uzoefu wangu wa Kuzama Dm toka 2012 nlivyojiunga humu…
Ukiona DM ya mshikaji imevuja ya kukataliwa …. Faham kwamba zipo 5 ambazo kakubaliwa kwingine na hazijavuja na hazitawahi kuvuja!
Ukiona Kibungo kavujisha Dm akitongozwa… Faham kwamba zipo zingine 10 ambazo aliwakubali na kaliwa Tayari… na hatawahi kuvujisha…
Kwa mwanaume ni 1:5 kwa mwanamke ni 1:10.
Mwanaume huwezi kua na manzi humu bila kutake risk… lazima ukubali kukataliwa na Kibungo mmoja ukubaliwe na warembo watano…
Sikuzote ipo hivyo… kama unaogopa kukataliwa basi usitongoze!
Hakuna aibu katika kutongoza💯
Indonesia
𝔞𝔦𝔨𝔞 𝖖𝖓 🥰 retweetledi
𝔞𝔦𝔨𝔞 𝖖𝖓 🥰 retweetledi

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Wana Sayansi Walioenda Mwezini Mbona Wametumia Vifaa TOFAUTI Wakati wa Kwenda na Kurudi..?!
Mwenye Uelewa Afafanue Kidogooo..!!
#MeaMswahiliUPDATES

Indonesia
























