
TricyLove🦁
221.4K posts

TricyLove🦁
@amprincess9
CALL ME FAVOUR | Social Media Manager | Enterprenuer trainer & consultancy | @TricyDagaa_ | @lfc & 🦁 | Wife & Mother | Deuteronomy 28:1-19 |






Huyu baba ndio maana akija kwangu akiondoka harudi anaondoka kama hakuacha mke dar imagine toka nimeanza kupika saa tatu asubuhi mpaka sasa sijaivusha hata mboga huku watu wengine washakula wakasahau naona aibu 😔


Ukitaka Tukosane Useme Vibaya Uislam. Tunakosana Mazima Ata Kama Ni Ndugu Yangu, Ata Kazini Kwangu Waislam Wananafasi Kubwa Sana Ata Wakikosea Huwa Nakuwa Mwepesi Kuwasamehe. Ewe Ndugu Muislam Muone Muislam Mwenzio Kama Ndugu Yako, Usimtenge Kama Huwezi Kumsaidia Basi Muombee🙏🏿




Appreciation Tweet To @Finah_Business Nmemuonaga Huku Tangu Kipindi Anashona Zile Carpets. Binti Anajua Kusaka Hela Huyu .Wewe Ni Mwanamke Nangai Jirani ❤️❤️



















