Antonio
1.9K posts

Antonio
@anthoneosoul
Hijo del hombre.
Nairobi, Kenya Katılım Mayıs 2023
579 Takip Edilen413 Takipçiler

@ItsLeecapalot Na wewe unamwambia ndio afanye nini..si yeye anajua ako na ukimwi😂
Filipino

@eleven_KE Kulewa gani mzee mimi venye husahau ata nikirudi nikiwa sober bado nduru nitapiga
Indonesia

@Za_Kimotho Mmenotice ukiwa na pesa ya kununua dawa kunguni zinakusamehea kidogo unajiambia ata iyo dawa hunuka vibaya acha utulie kidogo lakini ngoja iyo pesa iishe😂
Filipino

@Mkuruweng_ Wewe saa mbili unafanya nini kwa kiti si uende uko nje bana
Indonesia

@SosPmugacia Hiyo mimi huwa sifanyi bana nilirealize ukimshika kwa watu ndio boys wanaona uko very insecure and trust me watakukulia😂
Filipino
Antonio retweetledi

























