Samuel

292 posts

Samuel banner
Samuel

Samuel

@asiyefaa

God⇨Family⇨Cars •Ex spy•Civil technician•car enthusiast🚘 A dad•Husband to be• I simplify cars

Katılım Aralık 2025
175 Takip Edilen32 Takipçiler
@Nyigu_@08
@Nyigu_@08@marko_michael4·
@millardayo Mchezaji wa kwanza kutoka Africa mashariki kucheza ligi kuu england 😂😂 Mbwana Samatta nae kacheza Huyu ni wa ngapii sasa!
Indonesia
7
0
2
941
millardayo
millardayo@millardayo·
Kiungo wa zamani wa Kenya na Vilabu vya Tottenham na Southampton Victor Wanyama leo ametangaza rasmi kustaafu kucheza Soka akiwa na miaka 34. Wanyama amecheza Soka kwa miaka 19 akiwa amewahi kuzitumikia timu za Beerschot ya Ubelgiji, Celtic ya Scotland, Southampton na Tottenham Hotspurs za England, CF Montreal ya Canada na Dunfermline ya Scotland. Victor Wanyama ameacha rekodi kadhaa ikiwemo mchezaji wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kucheza EPL. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
18
22
921
34.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma, John Nchimbi, ameishauri Serikali kuangalia upya matumizi ya magari yenye matumizi makubwa ya mafuta, hususan aina ya V8, akisema si kila Mtumishi au Kiongozi anapaswa kutumia magari ya aina hiyo. Kauli hiyo ameitoa April 2, 2026, wakati akichangia mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2026/2027, iliyowasilishwa Bungeni jijini Dodoma. Katika hoja yake, Nchimbi amesema matumizi ya magari ya gharama na yenye kutumia mafuta mengi yanapaswa kupunguzwa kwa Wabunge, hasa kwa maeneo yenye barabara nzuri na safari zisizohitaji magari ya nguvu kubwa, akisisitiza kuwa magari ya kawaida na yenye matumizi madogo ya mafuta yanaweza kutumika kwa ufanisi bila kuongeza mzigo wa gharama kwa Serikali. Aidha amesisitiza kuwa magari ya V8 yanafaa zaidi katika mazingira maalum kama maeneo yenye changamoto za miundombinu, safari za mbali au kazi zinazohitaji uwezo mkubwa wa gari, lakini si kwa matumizi ya kawaida kila mahali, huku akishauri magari hayo yazimwe pindi yanapokuwa Bungeni ili kusaidia kuokoa mafuta. Aidha, Mbunge huyo amesisitiza umuhimu wa nidhamu ya matumizi ya rasilimali za umma, akieleza kuwa udhibiti wa matumizi ya magari ya gharama kubwa unaweza kuwa sehemu ya mkakati mpana wa kubana matumizi Serikalini. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Filipino
17
11
324
30.6K
Nipashe Tanzania
Nipashe Tanzania@Nipashetz·
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, akimpongeza Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kupokea taarifa ya uteuzi akiwa ndani ya treni ya SGR walipokutana wakielekea Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi jana usiku. Jana Aprili 2,2026 Rais Samia Suluhu Hassan, alifanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri kwa kumteua Prof. Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu. Imeandikwa| Mwandishi Wetu Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari
Indonesia
65
13
160
85.2K
FOT
FOT@MagoigaS·
@millardayo Kumbe nchimbi mwanae mbunge
Filipino
6
0
1
922
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@millardayo Kwahiyo anataka viongozi wetu watutembelee mikoani na halmashauri na Toyota Passo? Note: Tanzania ni nchi kubwa sana hivyo basi viongozi lazima wawe na magari imara na salama kwao kiafya ili waweze kutembelea utekelezaji wa sera na miradi mbalimbali mikoani na halmashauri.
Indonesia
9
0
3
1.4K
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Hii ni kama Movie sasa kuhusu wakina Angela Kizigha na familia yake nzima ya Mzee Charles Kizigha,mkongwe wa tasnia ya habari ya Bongo pale Daily Mews.SIKILIZA 1. _Bongolanderz_ wasiomjua Bi Angela Kizigha, huyu ni binti ya Mzee-Mzima Charles Kizigha, aliyekuwa Kigogo _Daily News_ enzi za Mwalimu. 2. Huenda Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, angekuwa amedanjishwa 1983 kama si Charles Kizigha! 3. Wahaini, akina Zacharia Hanspope na wenzie 19, walipanga kumdanjisha Bwana Julius Januari 9, 1983 kwenye kanisa la St Peter's, Oysterbay. 4. Mkiambiwa Pombe ina madhara kuliko faida, mkaage kwa kutulia. Miongoni mwa wahaini hao wakawa wanakodi taxi ambayo mara nyingi Charles Kizigha ndio alikuwa akiikodi pia. 5. Siku moja, taxi driver akamwambia Charles Kizigha "Kuna Mijamaa ina mbumba za kufa mtu nimeanza kuipeleka maeneo mbalimbali na huwa haibishi nikiitajia bei. Kila yakilewa yanamkosoa sana Rais Nyerere na kusema siku zake zimefika, sijui wana mpango gani". 6. Charles Kizigha akawezesha wahaini hao kunyakwa kama kuku wa mdondo! Walienda kukutania nyumba moja pale Kinondoni, mamwera wakawaingilia! Komandoo Tamimu akaruka ukuta akawa anakimbia kuelekea Kawawa rd. Akadandia pick up iliyokuwa na bia, akaanza kurushiana na mamwera ambao walimdanjisha! Kwahiyo familia ya Angela Kizigha ni familia konki sana katika siasa za Tanzania,pamoja na hilo moja ambalo Mzee wa Atikali katukumbusha, lakini pia familia hii ina damu ya kiukombozi kwani waliweza kupambania Nchi ya Tanzania na Viongozi wake na ndio maana Maadam Angela Charles Kizigha amekuwa akiaminika "nyakati" zote kwa kuipambania Tanzania kama ilivyokuwa kwa wazazi wake,kwa wanaojua historia ya Tanzania yetu nadhani wanatikisa vichwa. Sina shaka kuwa Makala hii fupi inaenda kuziba pengo la taarifa kwa wale wanaodhani kuwa Maadam Angela Kizigha ni mtu wa kuja tu ndani ya Taifa hili. Msipende kuwachukulia poa poa watu msiwajua.
Indonesia
17
15
17
2.8K
Tujifunze silaha za kivita.
Tujifunze silaha za kivita.@SeekNaturalLife·
Nimejikuta namchukia askari yeyote ninayekutana nae haijalishi ni WA zimamoto au jeshi, and am going further thinking of robering them and take SMGs😒😒😒
Filipino
21
23
239
7.3K
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Kwenye zile Amri Kumi za Mungu ipi haujaivunja mpaka sasa🙄
Indonesia
72
24
189
8.4K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Zamani uko Vijiweni tulikuwa tunasikia mtu akiwa anafanya ile kazi Baba yako na Mama yako hawawezi kujua pia hata mkeo na watoto wako hawawezi kujua. Ikitoa umefariki siku ya msiba wako watakuja watu wamevaa kaunda suti ndo watu watajua. Hii nayo ilikuwa kamba sana
Indonesia
10
21
326
16.3K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
MR BEN tweet media
Filipino
325
31
151
81.7K
Samuel
Samuel@asiyefaa·
@Samskills_tz Hiyo sasa tunaita chuma piru lazma idodoshe maji yaani jiko swaaafii
Indonesia
1
0
1
64
FUND🔧Samwel
FUND🔧Samwel@Samskills_tz·
Unaelewa nini gari ikitoa/kudondosha maji kwenye Exhaust(Bomba la moshi)? 🚘
FUND🔧Samwel tweet media
Indonesia
14
5
67
12.6K
Samuel
Samuel@asiyefaa·
@IziGadafi @Maestrowafact Mihimili ni mitatu.. rais,bunge na mahakama. Huyo kingwendu wa singida hakutakiwa kukaa hapo kwasababu mkuu wake yupo
Filipino
0
0
0
918
mfunguaCodeX
mfunguaCodeX@IziGadafi·
Mzee wa itifaki mkali wade @Maestrowafact kiitifaki huu mkao upo sawa kweli ? Kwamba mwigulu ni senior kwa joji?
mfunguaCodeX tweet media
Indonesia
1
1
6
582
Samuel
Samuel@asiyefaa·
@ponjoro23 @ALugandu Dom-Tunduma ni more than 695km, na ukitaka kutumia masaa 4 inabidi utembee 170kph muda wote kwenye straight line. Sasa geography ya hiyo mikoa inaruhusu? Na masaa ya kutembea hiyo route kwa private car ni masaa 8,10 mpaka 12.
Filipino
0
0
0
19
Samuel
Samuel@asiyefaa·
@ponjoro23 @ALugandu Masaa manne tunduma dom, hakukuwa na foleni,Barabara ilikuwa imenyooka tu? Sawa aud zinafika 300 kph lakin siioni barabara ya kutembea katika hii nchi.
Indonesia
1
0
1
16
Samuel
Samuel@asiyefaa·
@MayengoDr @NMBTanzania Ila waja humu ndani, dkt kutoa 50k kwa mama mnaona hoji tena wakati kuna wengine humu hata kutoa buku hamjawahi na hamuwezi.. this is just a motivation kama unaweza fanya.
Indonesia
0
0
1
32
Dr. Ranya
Dr. Ranya@MayengoDr·
Mwaka 2022 niliandika “standing instruction” kuielekeza ⁦@NMBTanzania⁩ kukata kiasi cha pesa kila mwezi kwenye account yangu na kumuwekea mama yangu kama “parents allowance”. Leo ni mwaka wa nne, bado naamini ni mojawapo ya maamuzi sahihi niliyofanya!
Dr. Ranya tweet media
Filipino
67
49
444
51.3K