Azam FC

12.6K posts

Azam FC banner
Azam FC

Azam FC

@azamfc

⚽ The Official Account of Azam Football Club 🏆 2013-14 Tanzania Premier League Champions. 📅 Founded in July 23, 2004. 📱 #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2010
18 Takip Edilen327.8K Takipçiler
Azam FC
Azam FC@azamfc·
Week of action! 🔥 Jumapili hii tutacheza mechi yetu ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema ya DR Congo, mechi itakayoanza saa 10.00 jioni (saa za Afrika Mashariki). #cafconfederationcup #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC tweet media
Indonesia
4
2
12
4.6K
Azam FC
Azam FC@azamfc·
Beki wa kulia huyo, amecheza jumla ya mechi 24 hadi sasa, akiwa amefunga mabao saba na kuchangia pasi tatu zilizozaa mabao, takwimu zinazomfanya awe amehusika kwenye mabao yetu 10. #azamfcstats #weareazamfc #timuborabidhaabora
Indonesia
0
0
7
3.6K
Azam FC
Azam FC@azamfc·
🔝 DEFENDER! 🔥 Takwimu zinaongea! Nahodha msaidizi wetu, Lusajo Mwaikenda, amewapiku mabeki wote kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2024/25, baada ya kuandika rekodi ya kuwa beki aliyefunga mabao mengi zaidi hadi sasa. 👇👇👇
Azam FC tweet media
Indonesia
23
10
279
12.4K
Azam FC
Azam FC@azamfc·
🚨 M A T C H D A Y 🚨 🆚 Dodoma Jiji 🏆 NBC Premier League ®️ Round 28 🏟 Azam Complex 🕰 7.00 PM (E.A.T) #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC tweet media
English
7
17
228
5.1K
Azam FC
Azam FC@azamfc·
#TANZIA Azam FC tunatuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Charles Hilary, kilichotokea leo Jumapili Mei 11, 2025. #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC tweet media
Indonesia
2
6
152
3.4K