Bibi Shamba 🇹🇿

1.8K posts

Bibi Shamba 🇹🇿 banner
Bibi Shamba 🇹🇿

Bibi Shamba 🇹🇿

@bibishamba

Jembe la mkono lisilotambua kisiki, 👨‍🌾🚜🌽🐄🐐🐑🐓🐖🐤🐮🐷

Katılım Ocak 2020
4.4K Takip Edilen5.1K Takipçiler
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Ukimlisha kipande cha nyama iliyokaa siku 7 kwa 🍑 hachomoki
Filipino
185
54
909
0
Bibi Shamba 🇹🇿
Bibi Shamba 🇹🇿@bibishamba·
#mjukuu wangu wa kiume ameambiwa anapendwa kwenye simu ame mute akaanza kucheka, vibaya sana.
Filipino
0
0
2
0
Bibi Shamba 🇹🇿
Bibi Shamba 🇹🇿@bibishamba·
"Ayemu klasi", wakimbie. #mjukuu hamna shule humo. Kama ana vyeti au mwanachuo, hafai kabisaaaa.
Indonesia
0
0
1
0
Bibi Shamba 🇹🇿
Bibi Shamba 🇹🇿@bibishamba·
#mjukuu ukiona anaimba mipasho ya , "ayi no huayemu", ujue hajielewi, akiimba, "ayi gati no stlesi", pasua kichwa ana ,"stress", kibao achana nae.
Indonesia
1
0
1
0
Bibi Shamba 🇹🇿
Bibi Shamba 🇹🇿@bibishamba·
#mjukuu hela unazotumia kujipamba ndo usupawimeni. kwanini usitumie sehemu ya hizo pesa kwenda kwenye sherehe za ujasiriamali.
Indonesia
0
0
3
0
Bibi Shamba 🇹🇿
Bibi Shamba 🇹🇿@bibishamba·
#mjukuu mnaliwa hela zenu bure, msiwalishe wajukuu zangu wakiume nywele muwape apendiktisi tu.
Indonesia
0
0
2
0
Bibi Shamba 🇹🇿
Bibi Shamba 🇹🇿@bibishamba·
#mjukuu wangu wa kike anadai hawezi kutoka naye hata wabaki wawili duniANI. Nimemuuliza umetongozwa? Anasema hapana. Nimemuuliza sasa kwanini unajitongoza na kujijibu mwenyewe anadai anajua tu anamtaka. Acheni uduanzi, jibidiisheni kwenye shughuli za kujikwamua kiuchumi.
Indonesia
0
0
2
0