Dario
130 posts


#TajiriLaKihaya
Wasichana watakufanya ujiulize walikuwa wanaishije kabla hujakutana nao💔
Indonesia

@francismtey @Bilantanyetae Mushi lipo kitabu cha Kutoka sio cha mwanzo
Filipino

1. MAJINA YA KICHAGA YENYE ELI MWISHO;
Sifaeli, Aikaeli, Wangaeli, Shafuraeli, Apaeli, Aikaeli, Rumishaeli, Pendaeli, Anaeli n.k.
2. MAJINA YA KICHAGA YENYE ELI MWANZONI;
Elinganya, Eliufoo, Elisaria, Elibariki, Elinaja, Eliakimu, Elisante, Eliatosha, Elinawinga, n.k.
3. MAJINA YA KIISRAELI YENYE ELI MWISHO;
Israeli, Panueli, Mishaeli, Magodieli, Gamalieli, Malikieli, Nethanaeli,
Shelumieli, Surieli, Uzieli, Laeli, Yaleeli, Deueli, Pagieli, Reueli, Amieli,n.k.
4. MAJINA YA KIISRAELI YENYE ELI MWANZO;
Eliasafu, Elia, Elimeleki, Elisha, Elisuri, Elishama, Eliabu, Eliudi, Elisafani n.k.
5. UKOO WA MUSHI UPO NDANI YA BIBLIA
Nilipoliona jina la Mushi kwenye Biblia, nilirudia mara mbilimbili kusoma
nikiwa siamini. Watanzania wengi tunajua Mushi ni jina la ukoo Uchagani, tena ni ukoo unaotokea Machame.
Soma Mwanzo 6:18-19...
6. Utamaduni Wa Kwenda Kuzika Makwao;
7. Utamaduni Wa Kurudi Uchagani Kila Mwaka (Kuhesabiwa)
8. Utaratibu Wa Kuoa Mdogo Mtu Kabla Ya Dada Yake
9. Wachaga Wanapenda Kusaidiana
10. Wachaga Wanakaa Upande Mmoja (Kimara,Mbezi) N.K
TABIA ZOTE HIZI WAYAHUDI
WANAZIFUATA MPAKA LEO..
Na nyingine sijaziandika.
Fuatilia
Indonesia

Li kocha letu linamiliki pisi kali sana ndo maana Man U kila siku tunashinda 😅
𝐊𝐞𝐬𝐡@tweetcunha
Michael Carrick winning on and off the pitch
Indonesia
Dario retweetledi
Dario retweetledi

Atukuzwe baba na mwana na roho mtakatifu………..😁🫵
Narrowbeefly@Narrowbeeflying
Single Mother mmoja atuongoze sala ya usiku tulale.🙏
Polski
Dario retweetledi
















