bongo5.com

96.3K posts

bongo5.com banner
bongo5.com

bongo5.com

@bongofive

East Africa's most read Entertainment website. 10+ years delivering the best news in the best ways possible.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2010
2.4K Takip Edilen449.5K Takipçiler
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Mheshimiwa Mgore Miraji Kigera, ameadhimisha sikukuu ya Eid Al Fitri kwa kugusa maisha ya watoto yatima zaidi ya 120 kwa kuwakaribisha katika hafla ya chai ya asubuhi mara baada ya Swala ya Eid.
Filipino
0
0
1
583
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Msanii wa Filamu Stanley Msungu amefunguka kueleza sababu ya kubadili jina lake.
Indonesia
0
0
14
3.5K
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Pia amewasihi wanafunzi wa shule ya Sekondari Christon kuendelea kuwa na nidhamu bora kwenye maisha kwa sababu ni hatma ya maisha yao.
Indonesia
0
0
0
170
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Mchungaji wa Usharika wa Kijitonyama Dk. Eliano Kimaro amesema serikali yoyote duniani haiwezi kuajira wahitimu wote katika nchi husika lazima kuwe na miradi ya familia ambayo itaweza kujiajiri na kuajiri.
Indonesia
1
0
2
969
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Mbunge wa Musoma mjini Mh. Mgore Miraji amesema katika siku 100 za Rais Dkt. Samia Musoma imepokea wauguzi wa afya zaidi ya 70, walimu 34 wa sekondari pamoja katika sekta zingine mbalimbali ikiwa baraka za Rais Dkt. Samia.
Indonesia
1
0
0
527
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
hususan wanawake, kushiriki kikamilifu katika miradi mikubwa ya maendeleo.
Filipino
0
0
0
132
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Utekelezaji wa mradi huo umefikia asilimia 10.4 ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais Samia, huku makandarasi hao wanawake tayari wakilipwa malipo ya awali yenye jumla ya shilingi bilioni 6.818, hatua inayodhihirisha dhamira ya serikali ya kuwawezesha wazawa,
Indonesia
1
0
0
141
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Katika siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, sekta ya ujenzi imeyapatia kampuni nne za makandarasi wanawake wazawa mradi maalum wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Luwanda–Igiwili yenye urefu wa kilometa 20 mkoani Songwe.
Indonesia
1
0
3
250
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
youtu.be/TmKNmPidEi0?si… BongoFive imekuletea matukio 10 makubwa ya kitaifa ya mwaka 2025 ambayo yalitawala vyombo vya habari na kujadiliwa sana na Watanzania. Video hii inalenga kurejea matukio hayo kwa muktadha, kumbukumbu na uelewa mpana, bila upendeleo wala uchochezi.
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
0
3
813
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
BongoFive imekuletea matukio 10 makubwa ya kitaifa ya mwaka 2025 ambayo yalitawala vyombo vya habari na kujadiliwa sana na Watanzania. Video hii inalenga kurejea matukio hayo kwa muktadha, kumbukumbu na uelewa mpana, bila upendeleo wala uchochezi. youtu.be/TmKNmPidEi0?si…
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
0
2
657
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
Nkoba Mabula, akiambatana na uongozi wa TANAPA akiwemo Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, CPA(T) Hadija Ramadhani, Kamishna wa Uhifadhi, CPA Musa Nassoro Kuji, pamoja na watumishi wa TANAPA.
Indonesia
0
0
0
226
bongo5.com
bongo5.com@bongofive·
ambapo TANAPA ilitambuliwa miongoni mwa taasisi 49 kutoka nchi 41 duniani, jambo linalothibitisha ubora wake katika utoaji wa huduma za uhifadhi na utalii kwa viwango vya kimataifa. Hafla ya kupokea tuzo hiyo iliongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,
Filipino
1
0
0
242