Sabitlenmiş Tweet
X-Factor
16.4K posts

X-Factor
@bornapril20
Hakikisha Unaishi
Mwanza down Town Katılım Mart 2012
3.5K Takip Edilen5.3K Takipçiler

“Msimamo wa mwanadamu haupaswi kuwa gereza la dhamira yake.
Kuna nyakati ambapo ukimya huwa mzigo kuliko maneno.
Sidai kuwa mimi ni mkamilifu, lakini nimeamua kutii dhamira yangu kuliko kuigiza consistency isiyo na ukweli. Si busara kushinikizwa kuonyesha “uanaume wa kisiasa” kwa kubaki sehemu ambayo dhamira yako haiwezi tena kutulia”
Filipino

@Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Uje bongo Simba na Yanga mtu kafungwa watu wakimbie na charger
Polski

Unaambiwajee.....
Mpira wa Kombe la Dunia 2026, utakuwa na sensors na utakuwa unachargiwa baada ya kutoka nje.
Mambo ya kujua kuhusu Motion Sensors hizo
1. Sensors hizo zinahesabu pass zilizopigwa, miguso, na uelekeo
2. Sensors hizo zinaruka mara 500 ndani ya sekunde moja na zinatuma data za VAR mpira unaporuka. Na kugeuza movement hizo kuwa 3D
3. Operators wanaoangalia offside pia watakuwa wanapata signals kutoka kwenye mpira. Kwani system yake itakuwa inajua nani wa kwanza kugusa mpira huo.
4. Charger ya mpira ni part ya mchezo kwani mpira utakuwa unachargiwa kila mara unapotoka uwanjani na wa uwanjani watakuwa wanapewa mpira mwingine kama huo.

Filipino

Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imewataka Wafanyabiashara wenye vibanda vilivyopo pembezoni mwa barabara kuanza kuondoka ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea mashindano ya AFCON 2027 yatakayofanyika Afrika Mashariki
Akizungumza wakati wa zoezi la usafi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (@mpogoloe amesema, “wanaofanya biashara katika maeneo ya barabara tumeendelea kuwashauri waondoke wasiendelee kuweka vibanda vyao na sisi kama Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam tumeendelea kuwatengea maeneo mbalimbali ambayo watafanyia biashara,” amesema Mpogolo.
Mpogolo ameongeza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha Jiji la Dar es salaam linakuwa safi na pia kujiandaa ipasavyo kwa mapokezi ya AFCON 2027.#MillardAyoUPDATES
Indonesia

@millardayo Hakuna uhusiano wowote kati ya Kiwanda cha Rolex na Rio Ferdinand🤣
Indonesia

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema ujio wa Rio Ferdinand Nchini una faida kubwa ikiwemo upande wa uwekezaji ambapo Mchezaji huyo ameahidi kuishawishi Kampuni ya Rolex waweke madini ya Tanzanite kwenye Saa zao ili kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Akizungumza leo Mei 22, 2026, Jijini Dar es salaam, Makonda amesema “nitakupa mfano mmoja, wanaotengeneza saa za Rolex ni rafiki zake Rio, juzi ndoto yake kuwashawishi Watengenezaji wa Rolex duniani waweke Tanzanite kwenye Rolex iuzwe duniani na Tanzanite yetu ipande thamani, wewe unataka kupost? Huwa nasema hivi Majenerali wakiwa wanajadiliana jambo wewe Kuruta kaa kimya”
“Wizara yetu tuna ndoto ya kuhakikisha tunatumia kila connection tuliyonayo kutoa mchango chanya kwa faida ya Vijana wetu Tanzania, ana ndoto kubwa ya kuwafanya Wachezaji wakubwa Ma-legend kuja Tanzania, sisi hatutoacha kuwaleta Watu wenye ushawishi Duniani, maisha ni kupambana na kujaribu, nawaomba Vijana wenzangu mmeshawahi kufikiria kama Mlima Kilimanjaro ni Mlima mrefu Afrika na kwa Dunia wa pili tujiulize tumeshawahi kupost?, tumeutangaza?” Amesema Makonda
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

@Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Eti kamwambia Rio asiposti nyie hii nchi ina vituko🤣🤣
Indonesia

Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, (@judith__kapinga ), amesema katika kipindi cha mwaka 2025/2026 jumla ya Viwanda vipya Vikubwa na vya Kati 25 katika sekta mbalimbali vimejengwa na kuanza uzalishaji ambapo vimetoa ajira 39,250 huku ajira za moja kwa moja ni 7,635 na zisizo za moja kwa moja ni 31,615.
Akizungumza leo Mei 22, 20206, Bungeni Jijini Dodoma wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Kapinga amesema:
“Wizara imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya Biashara ili kuchochea mageuzi ya Uchumi fungamanishi, Jumuishi na Shindani unaojengwa katika msingi wa kuongeza thamani ya rasilimali zinazozalishwa Nchini na kuimarisha Viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa wingi kwa kutumia malighafi za ndani.”
“Jitihada hizo ni utekelezaji wa malengo ya Dira 2025 ambayo yamejielekeza katika kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa muhimu, kuzalisha bidhaa bora, kutoa ajira kwa wingi na kuongeza mauzo nje ya Nchi, kupitia mwelekeo huo, Viwanda vipya vimejengwa na vingine vimefanyiwa upanuzi.”
#MillardAyoUPDATES
Filipino

@millardayo Tunashoboka na Ferdinand alafu yeye social media zake zote hajaposti kuhusu Tz
Slovenščina

Waziri wa Maliasili na Utalii Ashatu Kijaji ametangaza kumpa Ubalozi wa hiari wa Utalii wa Tanzania Mchezaji wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza Rio Ferdinand.
Ubalozi huo umetangazwa Mei 21, 2026 Jijini Arusha ambapo Dkt. Ashatu amesema Sekta ya Utalii Nchini inaingiza kiasi cha shilingi bilioni 4.4 kwa mwaka.
“Rio ana Wafuasi wengi katika mitandao ya kijamii, ambapo yeye kuitaja Tanzania kufuatia ziara aliyoifanya kutawashawishi Wafuasi hao kuja kutalii hapa Tanzania,” amesema Dkt. Ashatu.
Aidha, Dkt. Ashatu ameongeza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo imeelekeza kufikia watalii milioni nane kwa mwaka.
Pamoja na hayo, amempongeza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kumleta Mchezaji huyo Nchini, akisema ni moja ya njia za kuitangaza Tanzania pamoja na vivutio vyake kimataifa.
Kwa upande wake, Rio ameshukuru kwa ukarimu na heshima aliyoipata Nchini, huku akiahidi kuitangaza Tanzania na kurejea tena kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii. #MillardAyoUPDATES
Indonesia

@millardayo Mama anataka SGR wapiga kura wanataka maji na umeme🤣
Filipino

Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Kikwete ameishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kuwepo kwa usafiri mbadala katika Mikoa ya Kusini, ikiwemo Reli ya Kisasa ya SGR kutoka Kibiti hadi Lindi, kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara ya Lindi–Kibiti.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/27, Salma amesema barabara hiyo ndiyo tegemeo kuu la usafiri na uchumi kwa Wananchi wa Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma, hivyo kunahitajika kuwa na njia mbadala ili kuepusha athari endapo kutatokea hitilafu katika miundombinu hiyo.
“Barabara ya Lindi - Kibiti ndiyo barabara pekee ya tumaini na ndiyo barabara ya uchumi na sisi hatuna njia yoyote ya kusafiri zaidi ya barabara hii ya Lindi - Kibiti, daraja moja likiharibika hatufiki Lindi na haufiki sehemu yoyote ya Mkoa wa Lindi, Mtwara hata Mkoa wa Ruvuma, hata huko Msumbiji huwezi kufika, ninachohitaji kuwe na njia mbadala, tusiwe na barabara moja tu, tunahitaji hata isipokuwa kesho au kesho kutwa, tunachohitaji Lindi na mikoa yetu ya Kusini kuwe na SGR, mtengeneze mazingira ama sivyo,” amesema Salma Kikwete. #MillardAyoUPDATES
Indonesia

@Ayodimejitz Kazi yoyote kuanzia kariakoo mpaka posta umeisha..
Indonesia

@thatsjoems Wabongo hatujui kiingerza sababu tunaamini kiingereza ni cha watu waliosoma🤣
Indonesia

@millardayo Hata Fernand mwenyewe anashangaa kaja kufanya nini😄
Indonesia

Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand, amesafiri kwa SGR leo May 20, 2026 kuelekea Jijini Dodoma ambako anatarajia kushuhudia shughuli za Bunge la Tanzania.
Rio amewasili Nchini jana kwa mwaliko wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na amesafiri leo akiwa ameambatana na Viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gerson Msigwa.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

@Sincerelyrahma7 Hata hio kande ya mahindi na maharage ni ugali na maharage🤣🤣
Filipino

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemuendesha Nahodha wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand kutokea Airport kuelekea Hoteli anayofikia baada ya kuwasili Jijini Dar es saalaam.
Rio amewasili Nchini leo May 19, 2026 kwa mwaliko wa Makonda ambapo kesho anatarajia kwenda Bungeni Jijini Dodoma.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia


"Kwa kipindi cha takribani miaka 90, klabu hii imeendelea kubeba ndoto na dhamira ya dhati ya kuwa na uwanja wake binafsi. Sisi, kama Wananchi tunajivunia mno maono, juhudi na uzalendo wa viongozi waliotutangulia. Viongozi hao walijitolea kwa hali na mali kuhakikisha wanatuachia msingi imara unaobeba historia, heshima na utambulisho wa klabu yetu. Kupitia juhudi zao, klabu ilifanikiwa kumiliki eneo la ardhi lenye ukubwa wa mita za mraba 35,000 hazina ambayo imehifadhiwa kwa zaidi ya miaka 50. Leo hii, kwa fahari kubwa Wananchi tunaelekea kutimiza ndoto hiyo ya kihistoria kwa kuanza safari ya kujenga uwanja wetu wenyewe." Eng. Hersi Ally Said

Indonesia

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwa Mchezaji namba moja wa CCM zimeisha akisema Watanzania sio Mabwege na kwamba tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia.
Kupitia andiko lake la leo May 14, 2026 kwenye ukurasa wa X, Zitto amesema “Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa Mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha, Dola isome alama za nyakati, the writing is on the walls! Msajili stop this nonsense ya kutaka kufuta CHADEMA, utafutwa wewe, no doubt about this!”
“Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa taarifa inayosema Wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za Vyama vya Siasa, badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Octoba 29”
“Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo Msajili ameituhumu CHADEMA, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili, Ofisi ya Msajili ijue Watanzania sio mabwege tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia, an attack to one is an attack to all”
“Iacheni CCM ifanye Siasa za ushindani dhidi yetu, nasi tufanye Siasa za ushindani dhidi yao, acheni kuwa mbeleko ya CCM, mtaanguka nayo, ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa Vyombo vya Usalama pia kaeni pembeni acheni Vyama vya Siasa vifanye Siasa, mnataka Watu wangapi wafe ili mpate somo?”
#MillardAyoUPDATES

Indonesia


























