adam von

2.4K posts

adam von

adam von

@capilya1964

Katılım Aralık 2016
108 Takip Edilen27 Takipçiler
adam von
adam von@capilya1964·
@lifeofmshaba Mzee sio 97% ya Raia wote Hapana ni 97% ya kura zilizopigwa... Mathematics ni tatizo Kwa taifa
HT
4
0
1
555
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Warioba amefanya interview nzuri sana, anasema kwa maoni yake uchaguzi 29 October 2026 ni Tume ya Uchaguzi ndio ilipiga kura Sio rahisi kupata hizo asilimia 97% kwa hali ile ya uchaguzi, Namna pekee ni kwamba Tume ya Uchaguzi ilitengeneza yale matokeo Sasa Mafwele ,Abdul, Makonda na Iddi Amini Mama tusikie huyu mzee amepata changamoto halafu mtuambiwa mambo ya yalipangwa, yakafadhiliwa na kutekelezwa Ameshauri vizuri fanyieni kazi maoni yake. Na kwa nini mnampa amri Mzee Warioba kuzima simu? makafundia Gazeti la Jamhuri kutokana na Mahojiano aliyofanya nao Mkazuia TDC na UDASA kufanya event aliyoharikwa kuzungumzia hii Tume ya Chande !!! Kwa hali ya sasa lazima mtuue nchi nzima hakuna anayewaelewa kabisa
Indonesia
18
212
811
20.8K
adam von
adam von@capilya1964·
@HecheJohn Kila siku huwa hivyo??
Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
0
0
14
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Yaani kutoka Ubalozi wa Ufaransa mpaka Oysterbay, tumechukua saa nzima na dakika kumi, sioni hata dalili za kufika Morocco!!! Alafu hawa ndio wanataka kutawala watu kwa nguvu kwa mtutu. Hakuna wanachoweza.
Indonesia
76
293
2.1K
34.7K
adam von
adam von@capilya1964·
Zilizopo hapa Mbagala Kizuiani stendi tofauti na sasa ambapo kimsingi tupo wengi na tunalazimika kufuata huduma ya ATM machine mbagala zakhem ni umbali mrefu na si salama hususani kwa suala la fedha
Indonesia
0
0
0
12
adam von
adam von@capilya1964·
@NMBTanzania Kuna idadi kubwa Sana ya wateja wenu hapa maeneo ya mbagala Kizuiani, Mbgl mangaya, Mbagl magenge ishirini, Mbgala Moringe, Mbagl kiburugwa na Magenge 20. Ikiwapendeza mnaweza kuturahisishia upatikanaji wa huduma kwa kutusogezea ATM Kati ya moja ya petrol stations
Filipino
1
0
0
8
adam von
adam von@capilya1964·
@MagoigaS @Jambotv_ Ccm wote huyo aliyefagiliwa kama uchafu chumbani kwenye system ya utawala na kuondolewa kwenye wizara
Filipino
0
0
1
3
FOT
FOT@MagoigaS·
@Jambotv_ Kumbe aliyepo amepwaya na ccm wote wanajua
Filipino
1
0
4
466
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
📍VIDEO: Aliyewai kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kipindi cha uongozi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Angelina Mabula amesema anatamani hayati Magufuli angekuwepo leo hii afanye kazi na Rais wa Burkina Faso, Kapteni Traore ili kuleta mageuzi katika Nchi zao na Bara la Afrika. Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanyika katika Mazabau ya Bikira Maria Malkia ya Kawekamo, Angelina Mabula amesema Hayati Magufuli alikuwa mzalendo, hakupenda wananchi waonewe na mtu mwenye msimamo. "Tunachoweza kusema ni kwamba alikuwa ni mzalendo, mtu anayesimamia maono yake, mtu anayependa Watanzania na alikuwa mzalendo wa kweli hakutaka kujinufaisha pekee yake na hakutaka utani katika nafasi anayokupa,” amesema Mabula Hata hivyo Mabula ameongeza kuwa “Kwa kweli tumepoteza, nilikuwa natamani wakati huu Traore ambaye yupo sasa wa Burkina Faso, pengine angeweza kuwa na Magufuli mambo yangeenda vizuri, lakini najua Tanzania hii itafanya vizuri,”
Indonesia
23
12
121
13.3K
adam von
adam von@capilya1964·
@OptimistTz @Jambotv_ Wakati aliyeanza kuijenga 2017 anakufa 2021 ilikua ni 50% Hiyo ni Dar >Moro>Dodoma miaka 4 so Hiyo Mwanza bado kama miaka 4 ilikamilishwa just 50% kipindi cha Jpm so Mwanza kuwa mradi haujakamilika ni normal tu
Indonesia
0
0
1
6
Osei Tutu
Osei Tutu@UmeingiaTarime·
@Jambotv_ Ni lugha rahisi na nyepesi ni kuwa samia ni wa hovyo na anaonea wananchi. Game over
Filipino
1
0
0
169
adam von
adam von@capilya1964·
@Jambotv_ Pia alikua anakupa shavu la uwaziri kipindi chake mbona unasahau hii huna shukrani eeeeeh 🤣🤣🤣. Dunia ni njia ukishapita hakunaga kurudi tena
Indonesia
0
0
0
18
adam von
adam von@capilya1964·
@godbless_lema Aaaaaaah nawewe sasa umemaliza kujua kila kitu unakosoa wenzio...
Indonesia
0
0
0
53
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kujiona unajua kila kitu ndiyo kizuizi kikubwa cha kujifunza. Mpumbavu hujaza pengo la maarifa kwa majivuno na tatizo la mpumbavu si ujinga wake, bali kuamini anajua kila kitu. UPUMBAVU huu hapa tena.
Godbless E.J. Lema tweet media
Suomi
51
105
1.1K
49.3K
adam von
adam von@capilya1964·
@Royal_Tv_Tz Watoto wa marehemu wachukiwe wa kazi gani sasa.... Hata kama Baba alikua Mbaya kiasi gani ukishavutwa tu kwenda zako kuzimu watoto wako kila wakipita mitaani lazima washangiliwe na ikiwezekana hata kuungiwa wanaungiwa kikubwa tu MUNGU AMESHAUAMUA UGOMVI BAHARI IMETULIA 😭😭😭😭😭
Indonesia
0
0
0
6
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kipindi cha uongozi wa Hayati Dk John Pombe Magufuli alipokuja na mawazo ya kuanzisha miradi mikubwa alionekana alipingwa na kukosolewa hadharani huku akionekana mshamba. Akizungumza leo kwenye Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanyika katika Mazabau ya Bikra Maria Malkia ya Kawekamo, Askofu Nkwande amesema kupitia ushamba wake leo taifa linamfurahia na kuzidi kumkumbuka. "Miradi yote sijui SGR sijui daraja yote ameyafanya akiwa anapingwa na anasemwa tena hadharani na wengine walikuwa wanasema huo ni ushamba huwezi ukanunua ndege kwa pesa tasilimu ni ushamba leo mipango ya kishamba kishamba inatufikisha Dar es Salaam, Mumbai tunge endeleza ushamba wa namna hii pengine leo tungekuwa mbali zaidi," amesema. Hata hivyo Askofu Nkwande amesema watoto na familia ya Hayati Rais wa Awamu ya tano, John Magufuli ikitembea mtaani inashangiliwa na wananchi kutokana na mambo mazuri aliyoifanyia Tanzania jambo ambalo ni tofauti kwa viongozi ama watoto wa wanasiasa wengine.
Indonesia
8
15
101
8K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Wiki kadhaa zilizopita Tume ya Jaji Othman Chande ilimpelekea Nduli Idd Amin report yao ya awali kuhusu Mauaji ya Oktoba 29. Nduli Idd Amin mama ameikataa Report ya awali kwasababu ya mambo kadhaa ila kubwa kuliko yote ni kwamba hakuna mahali Tume imeitaja CHADEMA kuhusika na mauaji ya Watanganyika siku ya Oktoba 29 wakati yeye alishawaelekeza Tume tangu siku ya kwanza kwamba wafanye kila linalowezekana lawama zote za Oktoba 29 wabebeshwe Viongozi wa CHADEMA. Jambo la pili Report ya awali ya Tume inaonyesha kwamba asilimia kubwa watu waliopigwa risasi na kuuwawa Oktoba 29 hawakuwa kwenye Maandamano bali walifuatwa majumbani kwao na kupigwa risasi sasa Idd Amin Mama amekikataa hiki kipengele anataka Tume iseme waliopigwa risasi asilimia kubwa walikuwa Waandamanaji na walikuwa wakichoma na kuharibu mali za umma na za watu binafsi. Jambo la tatu Report ya awali imegusia kuhusu makadirio ya watu waliouwawa na issue ya miili ya watu kuchukuliwa Mochwari na vyombo vya ulinzi na usalama hata hii Idd Amin ameikataa anasema itazua taharuki ni either waachane nayo au wapunguze idadi ya waliouwawa. Jambo la nne Report ya awali inaonyesha kwamba walioshiriki kupiga watu risasi na kuwauwa ni maofisa wa Jeshi la Polisi wakisaidiwa na maofisa wa TISS, KMKM na Wanajeshi kutoka njee ya mipaka ya Tanzania hata hii Idd Amin Mama ameikataa anataka baadhi ya wahusika waondolewe kwenye Report. Nduli Idd Amin mama kaiambia Tume Jaji Othman kwamba yeye hakuwapa kazi ya kuichunguza Serikali bali aliwapa kazi ya kuchunguza mambo ya Oktoba 29. Jambo la tano Report ya awali inasema chanzo cha Maandamano ya Oktoba 29 ni madai ya wananchi juu ya swala la Katiba Mpya na Tume huru ya Uchunguzi ila chakushangaza Idd Amin Mama anailazimisha Tume iseme kwamba chanzo ni CHADEMA kukataa kushiriki Uchaguzi na kwamba CHADEMA baada ya kukutaa kushiriki Uchaguzi iliitisha na kuhamasisha watu Waandamane mara sijui CHADEMA ilichochea Wananchi kuichukia Serikali.😂 Idd Amin Mama anailazimisha Tume kwenye mapendekezo yao pamoja na mambo mengine waseme CHADEMA ifutiwe usajili, Tume wamemwambia kuifutia CHADEMA usajili kutasabanisha nchi ikose utulivu hali ambayo inaweza kusababisha nchi iingie kwenye machafuko kwa mara nyingine. Ngoja tuone, Je Tume itakubaliana na maujinga ya Nduli Idd Amin Mama au watasimamia ukweli.
Hilda Newton tweet media
Filipino
76
244
1.1K
77.7K
adam von
adam von@capilya1964·
@Jambotv_ Si ulijengwa kule chato unaokosa ndege za kutua na kuota majani tu
0
0
1
222
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Musukuma ameihoji serikali kwanini mradi huo umekuwa "stori" kwa miaka 15 sasa, huku viwanja kama vya Arusha na Musoma vikikamilika na kupendeza. Musukuma ametoaa hoja hiyo siku ya Jumanne wakati akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (2026/27–2050/51), Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31) pamoja na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2026/27. “Sasa hivi mmeng'oa tena mabati na mkandarasi hayumo. Hivi jamani mnatuonaje? Eh mpaka tuongee nini sasa ili mjue kama mnatukera? Hivi kweli sisi Mwanza ni watu wa kuzidiwa na airport ya Arusha mjini, ndogo ile, airport ndogo... mnaweka vioo mnaweka manini, sisi mnatuzungushia mabati, hapana! niwaombe tufike mwisho”, ameeleza Musukuma.
Filipino
6
10
119
9.9K
adam von
adam von@capilya1964·
@tanpol hii barabara ya magari ya mwendokasi mbagala imekua inatumika Sana na bodaboda pamoja na magari yasiyo ya mwendokasi.. Imagine unataka kuvuka barabara ya mwendokasi na Hakuna basi la mwendokasi linalopita lakini inakuchukua zaidi ya Dakika 5 kupisha bodaboda zipite kwanza
Filipino
0
0
0
5
adam von
adam von@capilya1964·
Naona mmeturudisha hapa sekunde 40 zilizopita @Tanescoyetu 👍👍
0
0
0
6
adam von
adam von@capilya1964·
@Tanescoyetu Acheni vitimbi mnajua fika kuwa saa 1:00 usiku Kuna game kali ya Afcon Kati ya Tunisia vs Tanzania na umeme mmeukata hapa Mbagala kipati... Hebu acheni vitimbi turudishieni jmn. Mna vitimbi Sana nyie 🤣aiseeee sasa kwanza kwanini Leo ndo muukate hamjui ratiba ya game
Indonesia
0
0
0
23
adam von
adam von@capilya1964·
@RITATanzania inachukua muda gani toka mteja kuambatanisha upya kiambatanisho alichorekebisha hadi status ya maombi yake kubadika toka "CORRECTION SUBMITTED RITA OFFICE" na kuwa verified na watu wa mfumo ni siku ya 5 Leo toka nitume maombi but sioni status kubadilika. Tuelekezeni
Indonesia
0
0
0
4
adam von
adam von@capilya1964·
@PolepoleHumph 1.Nani alimpa maelekezo mkurugenzi wa uchaguzi wa manispaa ya kinondoni amnyime fomu ya kugombea ubunge mgombea wa chadema na Walivyoandamana kudai haki yao ya kupatiwa fomu ya kugombea risasi zikafyatuliwa Aqwelina akauawa.. 2.Nani alimuua AQWELINA?
Indonesia
0
0
11
3K
Hasta La Victoria Siempre
Babu Rama was murdered. The first problem was for his adherence to Islamic beliefs, not giving a bribe or accept if. #kataawahuni
Hasta La Victoria Siempre tweet media
English
18
82
820
60.1K
adam von
adam von@capilya1964·
@DARTMwendokasi leo ni Agosti 19 huduma ya magari yenu mbagala - Gerezani vipi mbona kama bado hatuoni basi lolote likitoa huduma kwenye route hyo?
Filipino
0
0
0
2