CapitalSpace_Tz

603 posts

CapitalSpace_Tz banner
CapitalSpace_Tz

CapitalSpace_Tz

@CapitalSpace_Tz

Innovation & Entrepreneurship Space| Aim to Empower Dodoma Community through Innovation, Entrepreneurship & Skills development | Join our community link👇🏽

Dodoma Katılım Haziran 2019
155 Takip Edilen638 Takipçiler
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@mshambuliaji yan utoke marekani uende mexico kufanya upasuaji😂 hao walikuwa na dili zao sio bure kuna kitu kinafichwa
Indonesia
3
0
10
1.8K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Raia wawili wa Marekani kati ya wanne waliotekwa Ijumaa iliyopita nchini Mexico, wamepatikana wakiwa wamekufa. Marafiki hao waliokuwa wakienda Mexico kwa ajili ya upasuaji wa kupunguza tumbo, walitokea katika jimbo la North Carolina wakapita Texas na baadae kuingia Mexico.Walipofika mji wa Matamoros walitekwa na watu wenye silaha. Kupatikana kwao kumekuja baada ya ushirikiano mkubwa kati ya maafisa wa Marekani na Mexico. Matamoros ni moja ya miji hatari sana nchini Mexico inayofahamika kwa uhalifu unaoongozwa na makundi ya wadau wa dawa za kulevya. Makundi hayo yana nguvu kubwa wakati mwingi kuizidi mamlaka. Ni moja kati ya miji 6 ya Mexico ambayo raia wa Marekani wamekuwa wakishauriwa kutokwenda kwa sababu za kiusalama. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
9
10
451
31.6K
Raymond Nyamwihula
Raymond Nyamwihula@Nyamwihularay·
@RCAofficiel hawa jamaa wametuongezea madini kwenye madawati ya vijana wetu wa ubunifu kwa hizi timu zetu kubwa kutengeneza kitu cha kuitangaza mechi husika. Kongole 👍
Indonesia
3
2
51
5.4K
Raja Club Athletic
Raja Club Athletic@RCAofficiel·
Tupo tayari kwa safari yetu ya Dar es Salaam🇹🇿🦅👊🏻
Indonesia
701
763
6.6K
706.8K
CapitalSpace_Tz retweetledi
Katubuka Community Consult
Katubuka Community Consult@katubuka_tz·
We are grateful to introduce #4IRSkills2023 that in 2023 we will be collaborating with Dodoma Municipal in bridging the 4th industrial revolution skills in both primary and secondary schools. We are grateful to invite all stakeholders on STEM and Innovation ecosystem at large,
Katubuka Community Consult tweet media
English
0
4
5
324
CapitalSpace_Tz
CapitalSpace_Tz@CapitalSpace_Tz·
Together with Institute of Rural Development planning (IRDP) Entreneurship and Innovation Centre (MEI) we co-hosted a @Funguo_Tz Call for Funding infosession, eligible SMEs and Startups will have an opportunity to geant fund btn 50m to 200m.
CapitalSpace_Tz tweet mediaCapitalSpace_Tz tweet mediaCapitalSpace_Tz tweet media
English
0
3
3
0
CapitalSpace_Tz retweetledi
Funguo Tanzania
Funguo Tanzania@Funguo_Tz·
IRDP jointly hosted an info session with @CapitalSpace_Tz on the @Funguo_Tz Call for Funding with Startups and innovative SMEs. Up to TZS 1.5 billion will be disbursed to eligible impact-driven startups and scalable Innovative SMEs. Apply here: bit.ly/3aXYk8g
Funguo Tanzania tweet mediaFunguo Tanzania tweet mediaFunguo Tanzania tweet media
English
0
1
5
0
CapitalSpace_Tz
CapitalSpace_Tz@CapitalSpace_Tz·
wewe ni mbunifu na unauhitaji wa kifedha kwa kuendeleza kampuni yako ya kibunifu? Mradi wa FUNGUO kutoka UNDP una lengo la kuwezesha kampuni na biashara changa kujipatia ufadhili wa kifedha kati ya shilingi za kitanzania mil 50 mpaka mil 200. Jisajili kushiriki semina, link Bio.
CapitalSpace_Tz tweet mediaCapitalSpace_Tz tweet media
Indonesia
0
1
3
0
CapitalSpace_Tz retweetledi
Katubuka Community Consult
Katubuka Community Consult@katubuka_tz·
Leo katika kuadhimisha Siku ya mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na @CapitalSpace_Tz tulikua Shule ya Sekondari Sechelela ya mjini Dodoma ambapo wanafunzi walifanya mazoezi ya kukuza ufikiri wa kibunifu (Design Thinking Session) yaliyokua imejikita hasa katika kutafuta njia za...
Katubuka Community Consult tweet media
Indonesia
1
4
7
0
CapitalSpace_Tz retweetledi
Lai Marketing Agency
Lai Marketing Agency@Lai_Agency·
Tunafurahi kuwa moja ya taasisi kutoka jijini Dodoma ambao tumeshiriki katika Wiki ya Ubunifu. Maada yetu iliigusia namna wabunifu wazawa wanashiriki kwenye kupanga na kutekeleza mipango miji kwa kuzingatia tekinolojia na mitindo ya majiji ya kisasa? #UbunifuKwaMaendeleoEndelevu
Indonesia
0
4
10
0
CapitalSpace_Tz retweetledi
Funguo Tanzania
Funguo Tanzania@Funguo_Tz·
Are you in Dodoma and interested in connecting with innovation stakeholders? Do not miss the opening ceremony of the #IWTz2022 tomorrow at 10 a.m. at the Jamhuri Grounds. For more information on registration for other sessions bityl.co/CDPW @undptz @VodacomTanzania
Funguo Tanzania tweet media
English
1
12
34
0
CapitalSpace_Tz retweetledi
UNDP Tanzania
UNDP Tanzania@undptz·
How can innovation be pushed in the direction of Sustainable Development? Don’t miss out on such enthralling discussions through physical events, online platforms, and social media. 2 Days left!! Register: bityl.co/CD3b
UNDP Tanzania tweet media
English
0
5
14
0
CapitalSpace_Tz retweetledi
Funguo Tanzania
Funguo Tanzania@Funguo_Tz·
#IWTz2022 is finally here!! We are calling on all innovation stakeholders to engage in informative discussions and workshops at JKCC Hall Dodoma and exhibitions taking place at the Jamhuri Grounds. Register Now bityl.co/CCKB
Funguo Tanzania tweet media
English
0
5
12
0