CDF 👮

1.2K posts

CDF 👮 banner
CDF 👮

CDF 👮

@StewartMsamila

askari wa yesu📨

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2012
2.2K Takip Edilen822 Takipçiler
CDF 👮 retweetledi
Voice of Bongo
Voice of Bongo@voiceofbongo·
Natumia mdomo kuchora na kuandika, nafundishwa na watoto wenzangu…nimeshindwa kwenda shule kutokana na wazazi kukosa fedha za kununua baiskeli ya walemavu (kitimwendo)’’, ndivyo anavyosimulia Rose Mathias (16) mkazi wa Kijiji cha Kasoli wilayani Bariadi, mkoa wa Simiyu.
Filipino
0
3
8
380
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@Nindi_Jr oya hii picha ya kitambo au ndo alivyo hivi mpk sasa na umri huo
Indonesia
1
0
1
54
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ@Nindi_Jr·
Happy 59th Legendary Birthday Monica Anna Maria Bellucci
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ tweet media
English
2
0
15
1.7K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
HISTORIA imeandikwa! Hatimaye mwiko wa kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika umevunjwa, Yanga imetinga makundi ya CAFCL kwa mara ya kwanza tangu 1998. FT: YANGA SC 🇹🇿 1-0 🇸🇩 AL MERREIKH (Agg. 3-0) Yanga inakuwa timu ya 6 kutinga hatua ya makundi ya klabu Bingwa Afrika baada ya:- • Al Ahly 🇪🇬 • Pyramids 🇪🇬 • Jwaneng Galaxy 🇧🇼 • TP Mazembe 🇨🇩 • Petro Luanda 🇦🇴 • Young Africans SC 🇹🇿 ✍️ Unafurahia Yanga kutinga makundi kwa mara ya kwanza tangu 1998 ukiwa wapi? #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
35
52
1.6K
43.1K
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@MwananchiNews wanaume wa rombo wameshindwa kukabiliana na nyani akija simba je?
Filipino
1
0
0
44
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama wao.
Filipino
4
5
33
4.2K
CDF 👮 retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Bros. Mwanamke is meant to be controlled. Mwanaume is meant to be controller. Controller lazima awe stronger than controlled. Sasa look at you na mahusiano yako, kama unaongozwa au unaongoza. Kama hataki kuwa chini yako ABORT MISSION na NEXT HER Mathematically. Let her as letter X.. Simply yupo pekeyake so =1 Tafuta first derivative yake b'coz hana nidhamu. Then. f(X) = 1 Finding f' provided kwamba 1 ni constant f'(X) = 0 This means that, the rate of change of the function is zero at each point. Hautombadilisha mwanamke asiejishusha kwako. ABORT MISSION.
Filipino
30
48
378
33.5K
𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥
Benki za bongo unakuta madirisha ya kutoa huduma yapo matano ila yanahudumia mawili, moja lina mwanamke ana kiburi halafu anajisikia saana na la pili linakuwa na mwanaume ambae kazi yake ni kuingia na kutoka 😂😂🙌
Filipino
50
45
204
12.3K
KIRIKUU✏️
KIRIKUU✏️@Kirikuu20·
Wewe angali hadi mwisho. Uone uhuni wa refurb unavyofanywa Je utajuaje hii sio refurb?⬇️
Indonesia
7
15
39
6.1K
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@JoyceMwalimu hongera kwa kazi nzuri, leo tupo wote kwenye mahafali ingawa hunijui😂🙏
Indonesia
0
0
0
94
Joyce Kiango
Joyce Kiango@JoyceMwalimu·
Best of luck on your new beginnings. Uzuri wa Mahafali lazima kuwe na wali😎
Joyce Kiango tweet mediaJoyce Kiango tweet media
English
21
17
310
15.8K
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@msangijeff aisee jamaa kajua kunivhekesha😂
हिन्दी
0
0
0
74
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@CarolNdosi 🤓🤓🤓 siwezi kufanya hivyo
हिन्दी
0
0
0
10
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
nani mkali kwa kuchekesha😉?
CDF 👮 tweet media
Indonesia
0
0
1
31
wakuja
wakuja@Be_FrankSr·
Tanzania 🇹🇿 Nigeria 🇳🇬
wakuja tweet mediawakuja tweet media
Español
22
28
162
3.4K
CDF 👮 retweetledi
#GWIJI🔴
#GWIJI🔴@athanas_pius·
2/2
0
6
26
1.5K
CDF 👮 retweetledi
#GWIJI🔴
#GWIJI🔴@athanas_pius·
Kwa Wale Wanawake Wanaotaka Kulipwa na Mume Wake Majibu Yako Hapa Kwenye Hii Video 👇
Filipino
26
78
274
29.9K
CDF 👮
CDF 👮@StewartMsamila·
@fundimitamboGk imagination tu, hakuna fact hapo hata kama mm sio mwanasayansi
Filipino
0
0
1
4
Nipashe Tanzania
Nipashe Tanzania@Nipashetz·
#MICHEZO SHABIKI wa Manchester United mjini Eldoret, nchini Kenya, Thomas Kiptanui Kemboi, maarufu Kapkeno amekimbizwa hospitalini baada ya kujaribu kula trei la mayai ya kuchemsha, baada ya kuwekeana dau (ku-bet) na marafiki zake ambao ni mashabiki wa Arsenal. Kapkeno aliweka dau la kula trei nzima ya mayai ya kuchemsha iwapo Man United wangeshindwa na Arsenal, na waliposhindwa ilibidi atimize ahadi. Hata hivyo, alipofika yai la 15, Kapkeno alianguka, huku marafiki wakicheka, lakini mambo yaligeuka haraka walipogundua kuwa alikuwa amezidiwa. Walimkimbiza hospitalini ambako aligundulika kuwa na tatizo la kuvimbiwa alitibiwa na kuruhusiwa. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
Nipashe Tanzania tweet media
Indonesia
3
4
21
2K