Sabitlenmiş Tweet
Francis Fares Maro
5.5K posts

Francis Fares Maro
@chiefmaro
#Realestate #Transportation #Agriculture #Mining #construction #Africa #Tanzania #kigamboni #Daressalaam #Bagamoyo #Pwani #Zanzibar #investment #industrial
Kigamboni Katılım Mayıs 2011
2.7K Takip Edilen3.5K Takipçiler

@yaseen1096 @nachocharuwa @KennedyMmari Una macho lakini huoni,una masikio lakini husikii,una miguu lakini hutembei una mikono ambayo haiwezi kushika chochote
हिन्दी

@nachocharuwa @KennedyMmari Mbona Yutong anauza sana ulaya wamekubali kutupiwa taka nao?
Indonesia

Kampuni za magari ya China ambazo zimefungua ofisi rasmi (dealership) hapa Tanzania;
1. Cherry
2. BYD
3. GWM
4. Changan
5. Omoda
6. JAECOO
7. JETOUR
8. MG (Morris Garages)
9. CMC Motors
10. BAIC
11. Foton
12. Haval
China global automotive takeover siyo hadithi tena. Siyo 'footnote'. Ndani ya miaka 10 ijayo tutawaona sana wakitawala mitaa kwenye magari mapya. Rwanda wameshashika sehemu kubwa. Na magari ya China ni kama ya Sci-Fi kwa technology na muonekano.
Filipino

@mbuya32444 Jk ndio rais wa mwisho akiyandaliwa na mfumo.
Filipino

@Zephania_Ndaki Hii nimefanya sana Nairobi/Kampala,Kampala/Juba ila route za Tanzania nilishindwa
Filipino

@The_PR0F3S0R @Nkya_motors Waache wanao puuzia technology hasa hii AI watu wengi sasa hivi tuna tumia AI kwenye vitu muhimu ambavyo hapo awali tulikua tuna pigwa pesa sasa hivi ni nafuu sana
Indonesia

@UlrickTumaini @MkulimaKante Puma kushare na gavo inaweza kuwa kweli ,maana taasisi nyingi na polisi wanachukua sana mafuta pale kwa card
Filipino

@Adventure_36 @LMwimbile Nina kiwanja changu 1607 SQM,Block 16 Barabara kuu hiyo ya Mivumoni na ni kiwanja Cha kona matumizi ni biashara (200 Millions Tsh)
Indonesia

@koku_shekya @BrilliantBoe @saynomorebruh @ElinaMeena2 koku una nyoa watu nywele kabla ya mambo yote
Indonesia

He was gay mahi, nilikuja kuambiwa mume wangu anagongwa, ungebaki?
Koku Shekya🇹🇿@koku_shekya
@ElinaMeena2 Kwanini ya kwanza ilikufa??
Filipino

@Maestrowafact @the_fortuna73 Mkali wade naona una toa Elimu hapa ya kimkakati sana hata hivyo ni wachache hawata kuelewa ina hitaji muda pia
Indonesia

iko hivi mkali Ubalozi hutoa taarifa rasmi (G2G), lakini Lobbyist anafanya Salesmanship ya miradi yetu ya kimkakati kama Madini kwa Maseneta. Washington ni soko la ushawishi, usipokuwa na Sales Agent wa kitaalamu, fursa zako zinachukuliwa na majirani zako unaachwa kwenye mataa.
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07
@Maestrowafact Kwani taasisi zetu za kidiplomasia kama Ubalozi/Wizara hazitoshi?
Indonesia

@MkulimaKante @CarlmaaAI Kutokana na wingi wa watu Kuna bidhaa ukiweka sokoni utauza ikiwa una team nzuri ya masoko na mauzo kwa bidhaa za GSM Bado sana kishindana sokoni na MO kama ilivyo kwa Jambo,Sayona,Afiya na Azam yenyewe Bado sana kumpiku MO
Indonesia

GSM mjanja sana anaplace kete zake kwa akili nyingi sana.
Picha linaanza kanunua hisa za kutosha pale mjini Jangwani automatic mashabiki wakamkubali kumbuka Yanga ina mashabiki kama 15+ milioni hata kashateka hisia
Mdogo mdogo akaanza kuwasogezea bidhaa mara gsm water, mara g boost which means ana uhakika wa wateja ambao ni Yanga supporters na wengine.
Hakika Pesa Inategwa🙌
Filipino
Francis Fares Maro retweetledi

Obugalo banange @KiiraMotors!!
🗺️ 7,125km from Kampala to Cape Town. One Made-in-Uganda electric bus.
📊 Proven world-class performance at 0.83 kWh/km, 3,240kg CO₂ avoided—powering clean regional travel, 🤝 cross-border connectivity, and people-to-people movement.
🌍 The Kayoola E-Coach moved freely across AfCFTA states as a tradable African good, 📈 expanded market access for African manufacturers, 🤝 secured a landmark 450 e-bus deal, and proved intra-African trade and harmonized operations at scale.
When a system begins producing its own data, capital, and contracts, external narration becomes a lagging indicator. Uganda and Africa have crossed that point. We scale.


English

Fanya unacho penda Zaidi,we went to school to work on our selves,our dreams are archived, Ardhi ni mali na mtaji #RealEstate #Construction #ujenzi #nyumbanamakazi #uwekezaji #landanddevelopment #northsonproperties #workyourdreams #kigamboni #kisaraweII #Daressalaam #Tanzania
English

Fursa haziji bila kuzitafuta,Fedha ni zao la Jasho na Damu isiyo Koma,njia zote ni ngumu na mbaya, kusafiri nchini Tanzania ni fursa adhimu Sana #karibukigoma #lakeTanganyika #kigomamwishowareli #kigomaport #migebuka #lakeview #bandariyakigoma #karibuTanzania


Maisha yetu ni safari hakikisha Una safiri,Maisha ni kazi hakikisha una ifanya,Maisha ni baraka hakikisha unazo #Transportation #oilandgas #Logistics #Tanzania #Investments #uwekezaji #maroresources #northsonproperties #scania #africa
हिन्दी

A visit at Mbutu kigamboni sea view Property #mbutukigamboni #investinkigamboni #beachview #landcruiserprado #toyota #daressalaam #investintanzania

English

In Bagamoyo for Bagamoyo Port #bagamoyo #bagamoyoport #investinginbagamoyo #industrialestates #industrialrevolution #bagamoyohistory #historicalsites
Indonesia










