
Tarehe 08 Aprili, 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Rais Samia alitangaza kupunguza msafara wake ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa mafuta nchini.
Tazama Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10 Aprili, 2026 akiwasili kwenye hafla ya Uzinduzi wa minara 758, maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na kukabidhi Mkongo wa Mawasiliano Serikalini kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.
Indonesia

















