Clouds Media

80.6K posts

Clouds Media banner
Clouds Media

Clouds Media

@CloudsMediaLive

A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.

88.5 FM Dar es salaam Katılım Haziran 2015
44 Takip Edilen1.9M Takipçiler
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Kuelekea Popo Derby @FKihamu anazo za ndani ndani kuhusu mshambuliaji wa Popo Sports Club #PBCloudsFM
Indonesia
6
0
58
6.1K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Ni miaka 7 tangu Jasiri Muongoza Njia, Ruge Mutahaba atangulie mbele ya haki. Asante kwa kuifungua Dunia na kuchonga barabara za vijana wengi ambao kupitia maono yako wanaendelea kunyoosha. Daima utaishi ndani yetu, #Clouds26 tunaendelea kusherekea maisha yako RUGE MUTAHABA. #Miaka7YaJasiriMwongozaNjia
Clouds Media tweet media
Indonesia
1
1
22
2K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (@engmaryprisca) ameshiriki katika Jukwaa la Tisa la Biashara Barani Afrika, linalofanyika Addis Ababa, Ethiopia tarehe 16 hadi 17 Februari, 2026. Kaulimbiu ya Jukwaa hilo ni: Kugharamia Mustakabali wa Afrika: Ajira na Ubunifu kwa Mabadiliko Endelevu” (Financing the future of Afrika: Jobs and Innovation for Sustainable Transformation.) Jukwaa hili la kimkakati linawakutanisha Serikali, Wawekezaji, Wafanyabiashara, Taasisi za Fedha na Wadau wa Maendeleo kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kuimarisha ushirikiano na kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika biashara na uwekezaji. Kupitia ushiriki huu, Tanzania inaendelea kusisitiza dhamira yake ya kuchochea ajira, ubunifu, ukuaji wa viwanda, upatikanaji wa masoko na mitaji, na kuharakisha mabadiliko endelevu ya kiuchumi barani Afrika.
Indonesia
0
1
3
1.6K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Gen-Z wote wamekubali kuwa uzi ni mkali na unafaa sana kwa mitoko sio tu Damdam Marathon. #NyooshaLuv na uzi wako wa #Damdammarathon2026 ambao tayari umeanza kutolewa sambamba namba za kukimbilia wewe na yule DamDam wako mliojiandikisha. VITUO VYETU NI MLIMANI CITY KUNDUCHI MALL. Zimebaki siku 3 jihakikishie sasa nafasi yako na mwenzako ya kukimbia kwenye msimu wa sita wa #DamDamMarathon tarehe 14/2/2026 kwa kujisajili kwa kulipia 50,000 tu kwa watu wawili ambapo mtapata t-shirt,namba za kukimbilia na medali baada ya kumaliza kukimbia. Kujisajili fanya malipo kupitia SELCOM PAY kwa mtandao wowote wa simu kubonyeza *150*50*1#  kisha ingiza lipa namba  61 23 44 25 halafu weka kiasi 50,000 na jina litakuja Clouds Media Group. Baada ya kufanya malipo tuma meseji kwenda  namba 0779 888 839 ukiweka majina yenu,size za tshirt na umbali mtakao kimbia.
Clouds Media tweet mediaClouds Media tweet mediaClouds Media tweet mediaClouds Media tweet media
Filipino
1
2
22
4.2K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Uzi wa kibabe sana huu. Umethibitishwa kwa viwango vya juu sana vya ubunifu na hakuna doubt tunang’aa. Uzi wa Damdam unapatikana VITUO VYETU VYA -MLIMANI CITY -KUNDUCHI MALL ili uweze kuchukua KIT zako mara baada ya kujisajili. Zimebaki siku 3 jihakikishie sasa nafasi yako na mwenzako ya kukimbia kwenye msimu wa sita wa #DamDamMarathon tarehe 14/2/2026 kwa kujisajili kwa kulipia 50,000 tu kwa watu wawili ambapo mtapata t-shirt,namba za kukimbilia na medali baada ya kumaliza kukimbia.
Clouds Media tweet mediaClouds Media tweet mediaClouds Media tweet mediaClouds Media tweet media
हिन्दी
4
1
20
4.6K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Tumesalia hatua chache kabla ile button ya SOLD OUT kuweza kubonyezwa 🎬, nafasi zimebaki chache sana #KM 5,10 na 21, maandalizi ya kuelekea kilele cha #Damdammarathon2026 yakishika hatamu viunga vya 88.5 MHZ DAR ES SALAAM. Jihakikishie sasa nafasi yako na mwenzako ya kukimbia kwenye msimu wa sita wa #DamDamMarathon tarehe 14/2/2026 kwa kujisajili kwa kulipia 50,000 tu kwa watu wawili ambapo mtapata t-shirt,namba za kukimbilia na medali baada ya kumaliza kukimbia. Kujisajili fanya malipo kupitia SELCOM PAY kwa mtandao wowote wa simu kubonyeza *150*50*1# kisha ingiza lipa namba 61 23 44 25 halafu weka kiasi 50,000 na jina litakuja Clouds Media Group. Baada ya kufanya malipo tuma meseji kwenda namba 0779 888 839 ukiweka majina yenu,size za tshirt na umbali mtakao kimbia.
Clouds Media tweet media
Indonesia
4
1
6
1.2K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
#NyooshaLuv na uzi wako wa #Damdammarathon2026 ambao umezinduliwa rasmi Leo na Kesho mpaka tarehe 13 utaanza kutolewa sambamba namba za kukimbilia wewe na yule DamDam wako mliojiandikisha. VITUO VYETU NI MLIMANI CITY KUNDUCHI MALL.
Clouds Media tweet media
Indonesia
0
1
4
1K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
#NyooshaLuv na uzi mpyaaaaaaaaaa wa #Damdammarathon2026 wewe na mwenzako kwenye zile #KM 21, 10 na 5 Jumamosi hii pale #LeadersClub Kinondoni. VITUO VYETU NI MLIMANI CITY KUNDUCHI MALL. Zimebaki siku 4 jihakikishie sasa nafasi yako na mwenzako ya kukimbia kwenye msimu wa sita wa #DamDamMarathon tarehe 14/2/2026 kwa kujisajili kwa kulipia 50,000 tu kwa watu wawili ambapo mtapata t-shirt,namba za kukimbilia na medali baada ya kumaliza kukimbia. Kujisajili fanya malipo kupitia SELCOM PAY kwa mtandao wowote wa simu kubonyeza *150*50*1 kisha ingiza lipa namba 61 23 44 25 halafu weka kiasi 50,000 na jina litakuja Clouds Media Group. Baada ya kufanya malipo tuma meseji kwenda namba 0779 888 839 ukiweka majina yenu,size za tshirt na umbali mtakao kimbia.
Clouds Media tweet media
Filipino
0
1
5
850
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
#NyooshaLuv na uzi mpyaaaaaaaaaa wa #Damdammarathon2026 wewe na mwenzako kwenye zile #KM 21, 10 na 5 Jumamosi hii pale #LeadersClub Kinondoni. VITUO VYETU NI MLIMANI CITY KUNDUCHI MALL. Zimebaki siku 4 jihakikishie sasa nafasi yako na mwenzako ya kukimbia kwenye msimu wa sita wa #DamDamMarathon tarehe 14/2/2026 kwa kujisajili kwa kulipia 50,000 tu kwa watu wawili ambapo mtapata t-shirt,namba za kukimbilia na medali baada ya kumaliza kukimbia. Kujisajili fanya malipo kupitia SELCOM PAY kwa mtandao wowote wa simu kubonyeza *150*50*1 kisha ingiza lipa namba 61 23 44 25 halafu weka kiasi 50,000 na jina litakuja Clouds Media Group. Baada ya kufanya malipo tuma meseji kwenda namba 0779 888 839 ukiweka majina yenu,size za tshirt na umbali mtakao kimbia.
Clouds Media tweet media
Filipino
0
1
5
762
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Malalamiko ya umeme kuisha haraka kwa baadhi ya watumiaji kulinganisha na zamani imekuwa ni kero ya muda mrefu, David Bondo - Mkurugenzi wa TEHAMA, Nyanda Busumabu - Meneja wa Mita kutoka TANESCO wamefika kutolea ufafanuzi changamoto hiyo #Clouds26Nyoosha
Indonesia
13
4
59
8.8K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Baada yakuwepo kwa Maswali kuhusu kwanini IshowSpeed hajafika Tanzania, Msemaji wa Serikali Greyson Msigwa amesema zimefanyika jitihada zakuhakikisha Streamer huyo anakuja Tanzania, sikiliza zaidi hapa kwenye #Whatspoppin
Indonesia
112
20
320
54.3K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Team Power Breakfast
English
43
65
496
76.7K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Ukimya umetawala
Filipino
63
47
465
100.7K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Dr. Saidi Kuganda - Daktari Bingwa Wa Afya Na Magonjwa Ya Akili, Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili ameshauri kwa watoto wanaoshuhudia matukio mabaya au kupitia ukatili wasaidiwe mapema ili isiwaletee shida wakiwa wakubwa. #TanzaniaIshiNaMimi #Naiaminia255
Indonesia
14
13
105
10K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Jumatatu ya Novemba 3,2025 Uongozi na wafanyakazi wa CLOUDS MEDIA GROUP pamoja na Familia ya Mtopa tulishirikiana na Ndugu ,Jamaa na Marafiki wa Master Tindwa Mtopa katika kukamilisha safari ya mwisho ya mpendwa wetu #MasterWaMchezo ambayo ni kumsindikiza katika makazi yake ya milele Makaburi ya Kwa Mama Kibonge Buza , Dar es Salaam. Master Tindwa Mtopa #MasterWaMchezo alifariki kwa kupigwa risasi siku ya Oktoba 30, 2025 akiwa nyumbani kwake Yombo Dovya Dar es Salaam. Clouds Media inawashukuru wote walioungana na familia katika kumsindikiza na kumhifadhi katika makazi yake ya milele. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Master Tindwa mahali pema peponi. Ungana na Sports Xtra leo saa tatu usiku kwa kipindi maalum kuhusu #MasterWaMchezo ambapo tutajadili mengi yaliyomhusu kipindi cha uhai wake.
Indonesia
166
89
549
62.5K