Samuel Sasali

2.2K posts

Samuel Sasali banner
Samuel Sasali

Samuel Sasali

@SamSasali

Tv and Radio Personality @ Clouds Media Group Life Coach Content Developer

Dar-es-salaam Katılım Şubat 2011
1.5K Takip Edilen3.8K Takipçiler
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
KWAHERI UJAMBAZINI....! Basi siku hiyo ya Ijumaa ya 20 September 2024 ndiyo siku niliyotolewa ujambazini na kupelekwa upande maalum (special wing) wanakoishi mahabusu ambao ni watoto chini ya umri wa miaka 18 ,mahabusu na Wafungwa wengine. Huko special wing tupo jumla ya wafungwa na mabahusu kama 67. Kati ya hao, mahabusu watoto ni kama 12 tu. Selo yangu namba mbili palikuwa na mahabusu 4 na wafungwa 3 jumla tulikuwa tunaishi watu 7. Kwanini wanaita special wing? Ni swali kila mtu anajiuliza ndani ya gereza na nje ya gereza lakini hakuna mwenye majibu kamili. Kwa sababu siku hizi hata Ujambazini kuna TV zenye ving'amuzi vya DSTV na AZAM kila Jengo. Ujambazini kula chakula cha gerezani (ugali maharage umejitakia tu) sababu watu wa Ujambazini wanaruhusiwa kuweka order ya chakula cha canteen. Ujambazini maji ya kuoga ni uhakika wakati wote. Ujambazini pia wanaishi mahabusu wazungu na mahabusu wa mataifa mbalimbali kama Nigeria, Ethiopia, na Uganda. Special Wing na ujambazini tofauti kubwa ya haraka ni idadi ya watu wanaoishi Jela hizo, kwa mfano selo zote 10 za ujambazini wanalala watu idadi ya wanaokadiriwa ni 600 wakati Selo 5 za Special wing zinakadiriwa kuwa na watu 60 Wakati ujambazini kuna selo inabeba watu 200 kwa pamoja, special wing selo kubwa ilikuwa ina watu 17 na inabeba hadi watu 23 tu. Selo ndogo kama niliyokuwa nalala mimi kule special wing inabeba watu 7 hadi 11. Kuhusu nani anatakiwa kuishi ujambazini na nani anatakiwa kuishi special wing ni swali hakuna mwenye majibu kwa kuwa vigezo vya nani awa wapi havipo wazi sana. Ujambazini kuna wazungu kama Robert Maitland rafiki yangu yeye ana miaka 14 Ujambazini, Segerea na cha ajabu analalamika yupo Jela miaka 10 bila kifungo wala hakuna kesi inayomkabili wala hajui atatoka lini. Duh! inatisha eeeh.. kua uyaone ndiyo hii sasa, nitakupa hii stori siku nyingine kwa kirefu zaidi. Ujambazini wameshawahi kuishi watu maarufu na matajiri kwa muda mrefu na maisha yakaenda sawa tu. Ndiyo sababu baadhi ya huduma kama za TV na ving'amuzi kuwepo ujambazini, ni baada ya mahabusu na wafungwa wakishua kupelekwa kule na kujinunulia mahitaji hayo au kuboresha sehemu zao za kuishi kama vile tiles vyooni na kadhalika. Basi shangwe. Upendo na heshima kutoka kwa mahabusu wa ujambazini ulifanya niondolewe ujambazini na kupelekwa kwenda kuishi special wing ndani ya selo namba 2. Washikaji wa Ujambazini wakawa wananifuata bado kuja kunipa hadithi za kesi zao na mambo mablimbali ambayo walikuwa wanahisi ningeweza kuwasaidia Hata hivyo baadae gereza likaweka ulinzi mkali wa askari zaidi ya watatu katika geti la kuingia special wing ili watu wa ujambazini wasikutane na mimi na mimi nilipigwa mkwara hakuna kutoka nje ya geti la special wing kwenda ujambazini bila ruhusa ya askari Magereza. Nilikuwa nikitoka special wing kwenda popote lazima niwe chini ya escort ya Askari au nyapara, yote kunizuia kukutana na watu wangu wa ujambazini SELO NAMBA 2, SPECIAL WING Kwa historia naambiwa alikuwa anaishi Mzee Rugemarila hata umaridadi wa kuweka wavu wa kuzuia mbu (mosquito net) na maboresho ya tiles choo cha selo namba 2 ni jitihada za Mzee Rugemarila kwa fedha zake binafsi. Ukienda selo namba nne special wing utaambiwa alikuwa anaishi Habinder Seth na Selo namba tano ni maarufu kama selo ya Freeman Mbowe. Selo namba mbili ndani tulikuwa na watu saba. Wanne wafungwa (Chi, Lee, Aboubakar na Sam na Watatu ni mahabusu Mimi, Reu na Kimaro, familia hii ya selo namba 2 nimeishi nayo kwa muda mfupi lakini nitaikumbuka daima kwa maisha yale ya furaha, upendo na faraja. Chi na Lee ni wafungwa tena manyapara lakini ni raia wa china. Lee anaongea kingereza na kiswahili kwa taabu sana, ni mtu mzima anajua mambo mengi sana na kila muda selo tulikuwa tunamskiliza kuhusu stori zake na masomo mbalimbali kuhusu,maisha,biashara na habari za fursa Duniani.huyu ni rafiki ambaye namsubiri kwa hamu nje akimaliza kifungo chake 2027 Wakati Chi ni mchina pia lakini kwa sasa anaongea kiswahili kama mndengereko wa Chumbi au Mzaramo wa Samvu la Chole au Homboza. Kwa mara ya kwanza nilikutana na Chi nilipopelekwa gereza la Keko kwa wiki 3 mwaka 2014 wakati nilkiwa na kesi Kisutu ambayo hata hivyo kesi hiyo ilikuja kufutwa baadae Mimi na Chi tulikuwa tunaishi wote special wing, Gereza la Keko, wakati huo alikuwa hajui Kiswahili kabisa. Miaka 10 baadae tumekutana tena Gereza la Segerea. Safari hii yeye ndiye alinikumbuka na kuniambia tulikuwa wote Keko. Chi anasema hakunikumbuka kwa Jina wala sura yangu, anasema amenikumba kwa stori ndani ya gereza. Mtu anayeweza kukusanya kiringi cha wafungwa na mahabusu gerezani akaanza kupiga nao stori kama anafahamiana nao au kuishi nao miaka 20 iliyopita. Hadi watu ndani ya Jela wanasahau kwenda kula sababu ya stori, akawaza ashawahi kuonana na mtu kama mimi Keko kisha akaniuliza kama ndiye mimi, nikamjibu ndiyo nilikuwa ni mimi na washtakiwa wenzangu Sabula na Mramba lakini mimi ndiyo nilikuwa mtengeneza genge la hadithi na stori maarufu pale special wing ya Keko 2014. Ndani ya Selo namba 2, special wing sikuwahi kuwa na huzuni, majuto au upweke.Tuliishi kwa amani na furaha sana kama ndugu wa damu. Ingekuwa inaruhusiwa kisheria kurudi gerezani basi ningeweka ratiba angalau kwa mwaka niende mwezi mmoja au miwili niishi na wale watu wangu wa nguvu. Mungu wetu awatunze sana.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
142
351
2.3K
196.5K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Mara zote kila una hamu nacho ni Kitamu
Indonesia
2
2
10
645
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Kweli Duniani Wawili Wawili....Ghafla nimekutana na Sanamu Yangu.....
Samuel Sasali tweet media
Indonesia
10
1
24
1.1K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Ukialikwa Coffee Meeting.....Usiagize "Jagimasta"
Samuel Sasali tweet media
Indonesia
1
1
13
1.3K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Hivi Viatu huwa viatwajwe?Viheshimiwe sana hv...
Samuel Sasali tweet media
हिन्दी
4
0
7
1.2K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Ukitaka Usiumwe Tete Kuwanga Maishani basi Umwa Tete Kuwanga.... Baadhi Ya Mambo ili uweze kuyakabili basi Suluhu ni Kuyapitia.
Samuel Sasali tweet media
Filipino
1
2
22
1.3K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Sometimes it's the journey that teaches you a lot about your destination. Nyakati Zingine Mchakato unakufunza Sana kule unakoelekea maishani
Samuel Sasali tweet media
English
2
5
45
2.1K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
10 Years Ago Ukipata Nafasi ya Kumtia mtu moyo fanya hivyo ungali hai....ukipata Nafasi ya kumshukuru Mtu ama Kumu appreciate mtu fanya hivyo hujui nani atatangulia...utatamani kuandika akiwa ameondoka then kwake haina maana sana inawezekana ungemwambia akiwa hai ungemtia moyo.
Samuel Sasali tweet media
Indonesia
2
2
6
1.4K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Kesho Muhimbili Tuna Jambo Letu.....Hitsong iliyopo mjini kwa sasa ni Ujio wa Wasudani nchini! Ma hitmaker wako wa Taifa #Clouds360 hatuna Jambo Dogo.
Indonesia
0
0
6
1.2K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Zamani nilikuwa najua Mtu akiwa analielezea jambo halafu akachomekea Neno la Kiingereza nilikuwa najuaga huyo Jamaa ana maakili sana......aah Kumbeee
Samuel Sasali tweet media
Filipino
0
0
24
1.1K
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Maeneo muhimu ya Kibajeti. 1. Matumizi Ya Internet Katika ku download magazeti 2. Gharama za fedha Kwa ajili ya kuimarisha Mahusiano na Makapuni ya Uchapaji magazeti 3. Tozo mpya za Kuwasomea watu magazeti ili yanunuliwe 4. Bajeti ya kuajiri Graduates Political Analysts.
Samuel Sasali tweet media
Indonesia
0
0
13
746
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Mambo ya bandari hayo 🤣🤣
Indonesia
0
0
5
668
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Wanasheria Ile "Legitimate Expectation" ya kwenye Administrative Law huwa hai apply kwenye Marriage Law?
Filipino
0
1
0
544
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Enzi hizo zamani mkorofi mkorofi marafiki zake Baba walikuwa Wananiita "Kijana wa Sasali" hawakutaka kabisa kujihusianiasha na Mimi Ila siku hz wananiita "Kijana Wetu" #Andika Jina Lako Vizuri...
Indonesia
0
0
6
558
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Ukiona Gari kama hili kwenye movie basi Jua...Adhana haiko mbaliiiii
Samuel Sasali tweet media
Indonesia
2
0
7
637
Samuel Sasali
Samuel Sasali@SamSasali·
Hapa lazima upotee maboya
Samuel Sasali tweet media
Filipino
1
0
10
741