CMFUKWE

53.2K posts

CMFUKWE banner
CMFUKWE

CMFUKWE

@cmfukwe_tz

@Arsenal Fc🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 die hard fan || Digital solution expert || GOD FIRST 🙏

Tanzania Katılım Mayıs 2019
5.1K Takip Edilen6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
CMFUKWE
CMFUKWE@cmfukwe_tz·
MLISEMA HAPA NI WAPI?
CMFUKWE tweet media
Indonesia
114
48
1.2K
124.5K
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
@MsigwaPeter @chadema1damuni Wewe ni mtu makini Msingwa sijui ilikuaje tu ukaugua ugonjwa ya Kideli? Nilishangaa sana nikawaza unataka Cheo CCM? umekua mbunge miaka naamini uliwekeza bado unataka vyeo vya njaa njaa vya CCM? Vyeo vya kihuni? Ulitukosea sana ila tumekusamehe
Indonesia
5
2
69
4.4K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA. Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli. Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki. Asanteni Sana.
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
869
653
3.3K
252.2K
CMFUKWE retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
⚪️ 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛𝘿𝘼𝙔 🔴 🆚 Crystal Palace 🕓 4pm (UK) 🏆 Premier League 🏟️ Selhurst Park 🤝 @airwallex
Arsenal tweet media
English
1.1K
6.1K
35.2K
845.5K
CMFUKWE retweetledi
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Drake is a Music Genius.
English
13
4
17
647
CMFUKWE retweetledi
MUDI AMOUR.🤎🖤
MUDI AMOUR.🤎🖤@AmourMudi·
Kama kawaida yetu tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu. Good Morning X Family.
Filipino
24
29
43
352
CMFUKWE retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe. 🤲
Indonesia
31
46
119
1.1K
CMFUKWE retweetledi
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
24
152
168
8.5K
CMFUKWE retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Ahsante Mungu kwa siku nyingine, leo tukumbushe kwamba sio kwasababu sisi tupo juu kwenye aidha uchumi, elimu basi mawazo yetu ni bora kuliko wengine. ...tuonyeshe dhamani ya wengine na fikara zao 🙏 Good morning🖐
Filipino
66
83
126
4K
CMFUKWE retweetledi
Kunta Kinte
Kunta Kinte@lumixha·
Deals zetu zikaivane 🙏 Good morning strugglers 👋
27
14
34
439
CMFUKWE retweetledi
Nonobanks ❤️
Nonobanks ❤️@lifeof_nono·
Ni asubuhi na mapema, tayari nimeokota 3k siku imeanza vema 😂😍
Filipino
23
24
167
4.4K
CMFUKWE retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe 🤲
Indonesia
24
51
116
2K
CMFUKWE retweetledi
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
Filipino
24
162
180
7.1K