Collo
2.7K posts


Nyinyi muendelee kuibia watu kapsaa mkijiita sharp boys with your school mottos of “Kuomoka ndio goal”. Masaa ya kuingia jela ndio unaonanga kweli heri ningekaa kwetu kericho nichune kahawa. Kuenda jela in your twenties is the worst punishment you could possibly get. Unajua ukifungwa ata tuseme 9 years,utoke ukiwa 33,utaanzia wapi sasa? Warembo wote ulikua unatesa nao ukiwa juja unapata wameolewa, ama ni single mathas.
Kama ni kazi lazima ujipee miaka kama sita,upate expirience ujue nini utaezafanya. Kama ni nyumbani mzazi hataki ukae huko sana juu anajua unaeza iba ng’ombe yake,ni mbaya. Na ujue pia unaweza toka uko ukiwa gay. Kwanza pale kamiti wale jamaa wa Robbery with violence ukikaa mbaya usiku wanakusunda mbaya sana,inatakanga unawaambia uko na ukimwi. Otherwise utatoka huko ukiwa blunt,na uliingia ukiwa sharp,mkundu wameifanyia ile kitu Ruto anafanyia economy. Kwani unachesa wewe!
Indonesia
Collo retweetledi

Used only 2kgs to plant in a 1and a half acre na ikabaki... mind you the 1st bag nilimix na sawdust


Andrew k Rotich@andrewk3360
Wekeni order zenu za seeds. An acre takes around 6-8kgs and on a good harvest can give you 200+ bales 0703902390. We do delivery kila mahali
English

My Grandfather Obit...
Buried in Moiben..
#CaptainCWRKnight
Katyadelacrua@katyadelacrua
Sad article... @WillKnocker
Deutsch

@duchessoflelan Niko na shamba hapo lelan primary but baridi huko zii
Indonesia

@collo_dron Too much, you be on sweater,suits and jacket
English




















