COTWU TANZANIA

61 posts

COTWU TANZANIA

COTWU TANZANIA

@cotwu

Trade Union, Affiliated to Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA), and International Transport Workers' Federation (ITF).

Katılım Mart 2021
0 Takip Edilen17 Takipçiler
COTWU TANZANIA
COTWU TANZANIA@cotwu·
Je unahitaji kujua zaidi juu ya Elimu ya kazi ulimwenguni? Kumbuka masuala ya Wsfanyakazi ni taaruma. COTWU (T) inakuleta fursa tajwa hapo juu. COTWU (T) - Mwanachama kwanza. instagram.com/p/ClgI3AYt1wh/…
Indonesia
0
0
0
0
COTWU TANZANIA
COTWU TANZANIA@cotwu·
Je wewe ni Mfanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi (Usafirishajia) Tanzania? Jiunge na Chama Cha COTWU(T) Kwa huduma bora na maisha yenye Staha Kazini. Wasiliana nasi Kwa ushauri na Maelezo ya Ziada. instagram.com/p/CjvlUWOovcJ/…
Indonesia
0
0
1
0
COTWU TANZANIA
COTWU TANZANIA@cotwu·
COTWU (T) inaendelea na VIKAO VYAKE VYA KIKATIBA JIJINI DODOMA yaani Kamati ya Utendaji na Baraza Kuu Katika Hotel ya FOUR POINTS DODOMA, Dondoo za Vikao hivyo zitakujia baadaye katika kurasa hizi cha Chama. instagram.com/p/ChHeZ3nDV3c/…
Indonesia
1
1
1
0
COTWU TANZANIA
COTWU TANZANIA@cotwu·
COTWU (T) Imeshiriki Semina ya Vijana iliyoandaliwa na SHIRIKISHO LA VYAMA vya Wafanyakazi TUCTA iliyofanyika katika Ukumbi wa MAMLAKA YA AFYA NA USALAMA KAZINI (OSHA) - Dar es Salaam. instagram.com/p/CeyKJKLjN1n/…
Indonesia
0
0
0
0
COTWU TANZANIA
COTWU TANZANIA@cotwu·
Katika Picha ni baadhi ya Wanachama wa COTWU (T) katika Kikao maalumu cha Tathimini juu ya Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi katika Hotel ya Golden Turip Jijini Dar es Salaam. instagram.com/p/CenyhtGjkUP/…
Indonesia
0
0
0
0