Sabitlenmiş Tweet
CRDB Bank PLC
31.9K posts

CRDB Bank PLC
@CRDBBankPlc
Tumekuzingatia, tupo kurahisisha miamala yako na kukua pamoja. #tunakusikiliza
Tanzania Katılım Temmuz 2013
25 Takip Edilen72.7K Takipçiler

@mbarr0 @mbarr0 Habari, pole sana kwa changamoto hiyo, tafadhali tutumie majina yako kamili, akaunti namba yako, tarehe ya muamala, kiasi cha muamala na namba yako ya simu inayopatikana inbox kwa msaada zaidi. #SwahibaNaWeweUmo#CrdbBank #Tunakusikiliza^Love
Filipino

@CRDBBankPlc namepiga kutoa taarifa ya kutumia Mobile App ,hela imekatwa lakini haijafika sehemu husika!Customer service hampokei!Naomba kusaidiwa kwa haraka tatizo langu
Indonesia

@aziz_carter Hello, thank you for contacting CRDB Bank, What you truly deserve is excellent service, like a bank that listens to and cares for the customer very much. We have received your feedback for further improvement of our services. We are very grateful for this feedback #CrdbBank #Tunakusikiliza ^Amani
English

To, @CRDBBankPlc
On August 28, I visited the CRDB Bank Temeke branch (Western Union service). A service that normally takes me only 15–20 minutes ended up taking a full hour today. Please review and improve your systems.

English

@CRDBBankPlc Nimeshawatumia.Ila boresheni sana upande wa customer care yenu maana mambo ya pesa ni emergence suala la kupatiwa huduma haliwezi chukua muda mrefu ivo bila sababu ya msingi
Indonesia

Habari
Nimepata tatizo katika ATM
Nimetoa pesa kwa cardless na pesa haikutoka na meseji imesema pesa imetoka nawapigia mnakata tu simu @CRDBBankPlc mnajua usumbufu mnaosababisha?
Indonesia

@CRDBBankPlc Nimefanya hivo mara zote na bado mnakata kiasi chote . Hio option ipo lakini bado nikiweka kiasi fulani mnakata kiasi chote kinachodaiwa
Filipino

@CRDBBankPlc kwanini ikitoka bili ya maji ukaweka option ya kulipa kiasi inakata hela yote sio ile ya kiasi ulichoweka
Rwanda 🇷🇼 Indonesia

@mamito1111 @mamito1111,Habari pole sana kwa changamoto hiyo. Tafadhali tutumie majina ya akaunti, akaunti namba na namba yako ya simu inayopatikana kwa msaada zaidi.^Leticia L
Filipino

@CRDBBankPlc Mnashida gani nyie bank huduma zenu za kijinga haiwezekani mfunge account yangu tangu juzi kwa makosa yenu
Indonesia

Hakunaga tarehe ngumu
Ni wewe tu hujajiunga na akaunti ya Mshahara ya CRDB inayokupa Salary Advance muda wowote
Pata Salary Advance hadi 50% ya mshahara wako
Faidi Mkopo wa haraka hadi shilingi Milioni 200
Tumia SimBanking na TemboCard
#crdbsalaryaccount
#crdbbank
#tunakusikiliza

Indonesia

@Pdizaina05 @Pdizaina05 Habari, pole sana tafadhali tunaomba tutumie namba yako ya simu na majina yako kamili kwa msaada zaidi. ^Lucy
Filipino

@CRDBBankPlc nimekuwa nikipata hizi text kwani inakuwaje na ni mihamala ambayo sijafanya na hizo account wala sizijui.

Indonesia

@juliusmoshi3 @juliusmoshi3 Habari, pole sana kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe unapata changamoto kupata OTP kwenye huduma gani kwa msaada zaidi.#SwahibaNaWeweUmo#CrdbBank #Tunakusikiliza^Love
Filipino

@CRDBBankPlc Nashindwa kupata otp Kwa kuwa Niko njee ya nchi je ni njia gani naweza kutumia niweze kufanya maalipo
Indonesia

Kumbukumbu Adhimu
Mwaka 2008, Benki yetu iliandika historia kwa kuzindua matawi yanayotembea 'Mobile Branch' kusogeza huduma mahali ambapo hakukuwa na matawi ya kawaida.
Leo hii, Benki ina matawi haya yanayotembea 12 ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya dhati ya kuwafikia Watanzania popote pale walipo.
Hii si huduma tu ni safari ya ubunifu, fursa, na ujumuishi wa kifedha unaogusa maisha ya watu kila siku.
#CRDBBank
#CRDBAt30
#30YearsAnniversary

Indonesia

@Ten_august255 @Ten_august255 Habari, pole sana kwa changamoto hiyo. Tunapenda kukufahamisha kwamba hakuna changamoto katika huduma ya Simbanking App tunakushauri kusasisha (update) huduma ya Simbanking kisha utaendelea kutumia huduma. ^Lucy
Filipino

@CRDBBankPlc Nimefanya hayo yote still bado ipo kwenye matengenezo ama huduma imekufa?
Filipino

SimBank ya @CRDBBankPlc ipo kwenye matengenezo kwa mda gani ?? Mbona kila siku ipo kwenye matengenezo..
HT

@McinikaWaLamar @INFLUENCERjr @McinikaWaLamar CRDB Albarakah sukuk ni kwa watu wote na sio lazima uwe muislamu, wote mnakaribishwa.^Nasra
Indonesia

Waislamu na wote mnaotafuta uwekezaji salama hii ni nafasi yako!
CRDB Al-Barakah Sukuk hii hatifungani inayofuata Shariah, bila riba, na inalipa faida mara 4 kila mwaka.
12% Faida Halal (TZS)
6% Faida Halal (USD)
Miaka 5 Hakuna kodi wala riba
Changamkia fursa
Kiwango cha chini TZS 500,000 au USD 1,000
Fungua SimBanking > Miniapps > Uwekezaji > Sukuk
#CrdbAlbarakah
#Sukuk

Indonesia

@McinikaWaLamar Kiwango cha chini cha uwekezaji ni TZS 500,000 au 1,000 USD (Dola za Kimarekani) na kuendelea, hakuna kiwango cha mwisho cha juu cha uwekezaji.Kiwango cha faida kwa TZS ni 12% kwa mwaka na Kiwango cha faida kwa USD ni 6% kwa mwaka, kitalipwa kila robo mwaka (mara 4 kwa mwaka) kwa muda wa miaka 5.
Polski

@McinikaWaLamar @INFLUENCERjr @McinikaWaLamar Habari, CRDB Al Barakah Sukuk ni aina ya uwekezaji wa hati fungani (au bond) iliyoundwa chini ya kanuni na utaratibu unaozingatia utaratibu wa uwekezaji unaofata misingi ya shariah (halal) ambapo muwekezaji atalipwa faida na sio riba.
Indonesia

@INFLUENCERjr ndio inaruhusiwa kabisa ,Sukuk ni neno la kiarabu linalomaanisha hati fungani zinazozingatia misingi ya sharia za miamala ya kifedha ya kiislam. CRDB Al Barakah Sukuk ni aina ya uwekezaji wa hati fungani (au bond) iliyoundwa chini ya kanuni na utaratibu unaozingatia utaratibu wa uwekezaji unaofata misingi ya shariah (halal) ambapo muwekezaji atalupwa faida na sio riba. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni TZS 500,000 au 1,000 USD (Dola za Kimarekani) na kuendelea, hakuna kiwango cha mwisho cha juu cha uwekezaji.Kiwango cha faida kwa TZS ni 12% kwa mwaka na Kiwango cha faida kwa USD ni 6% kwa mwaka, kitalipwa kila robo mwaka (mara 4 kwa mwaka) kwa muda wa miaka 5. CRDB Albarakah sukuk ni kwa watu wote na sio lazima uwe muislamu, wote mnakaribishwa. ^Glady
Indonesia

@McinikaWaLamar @CRDBBankPlc Hata mimi mkristo ambaye nataka uwekezaji salama si naruhusiwa??
Indonesia

@ArnoldMajura @ArnoldMajura, salama, asante kwa kuwasiliana na CRDB Benki karibu tukuhudumie. #Swahiba#heriyasikuyawakulima2025#CRDBBank#^Love
Filipino

@IssaKhatib49722 @kabaga04 @IssaKhatib49722 Uwezo wa kuchangia gharama za manunuzi ya pikipiki kwa 20% na uwe na uwezo wa kulipia bima ya chombo cha moto na bima ya mkopo.^Nasra
Indonesia

@IssaKhatib49722 Habari,ili uweze kupata mkopo wa/Bajaji, unatakiwa uwe na uzoefu wa kuendesha biashara ya bajaji,uwe na umri wa miaka 21 au zaidi,ujidhamini mwenyewe kwa mali zako au udhaminiwe na kikundi za bajaji kilichosajiliwa au mfanyakazi/mfanyabiashara anaetambulika na benki,uwe na TIN na leseni ya kuendesha bajaji.
Indonesia

@mpelelezi_mkuu,Jinasue ni huduma ya mkopo unaopatikana kwenye simu, ambayo mteja anakopa kulingana na mzunguko wa miamala ya kwenye akaunti kwa riba ya 5% ndani ya siku thelathini. Huduma hii ipo kwenye maboresho kwasasa inatolewa kwa waajiriwa ambao mshahara wao unapita CRDB. #SwahibaNaWeweUmo#CrdbBank #Tunakusikiliza. ^Leticia L
Filipino

@CRDBBankPlc kwa unyenyekevu mkubwa naomba kusaidiwa....huwa mnatuma sms za JINASUE lakini tukiingia simbanking app hatuoni chochote hii ipoje??? Ni kwamba hamjaanza hiyo huduma au sijaqualify???
Indonesia

@askariwahovyo @askariwahovyo Habari,tafadhali tupatie akaunti namba yako,majina yako kamili,kiasi cha makato uliyokatwa na tarehe katika kisanduku cha jumbe kwa msaada zaidi.^Nasra
Filipino

@CRDBBankPlc hivi hizi hela mnazokata bila maelezo mnajua tunazipataje nyie watu mbona mnataka tutende jinai aisee acheni huu upumbavu

