Issa Khatibu

143 posts

Issa Khatibu

Issa Khatibu

@IssaKhatib49722

Katılım Aralık 2024
38 Takip Edilen3 Takipçiler
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimetoa tamko rasmi kuhusu matukio yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 hadi Novemba 4, 2025, kikisisitiza umuhimu wa kuheshimu utawala wa sheria, wajibu wa raia, na mipaka ya matumizi ya haki za binadamu nchini. Kupitia tamko lililotolewa leo Novemba 12, 2025, TPBA imesema kimechunguza kwa kina taarifa na tuhuma mbalimbali zilizotolewa na taasisi na mashirika ya haki za binadamu, kikieleza kuwa haki na uhuru wa mtu binafsi lazima vitumike bila kuathiri usalama wa taifa au kuvunja haki za wengine. “Kama ilivyoelezwa na Ibara ya 30(1) ya Katiba, haki na uhuru wa binadamu havitumiwi kwa namna inayosababisha kuingiliwa kati kwa haki na uhuru wa watu wengine au kuvuruga maslahi ya umma,” kimesema chama hicho katika taarifa yake. TPBA imefafanua kuwa maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025 hayakuwa halali kwa mujibu wa sheria, kwa kuwa yalikiuka zuio lililotolewa na Jeshi la Polisi kwa sababu za kiusalama, na kwamba ushahidi unaonesha baadhi ya maandamano hayo yaligeuka vurugu, yakiambatana na uharibifu wa mali, mashambulizi kwa askari, na uchomaji vituo vya kupigia kura. Kuhusu tuhuma za matumizi ya nguvu kupita kiasi na vifo vilivyotokea, TPBA imesisitiza kuwa matumizi ya silaha au risasi ni hatua ya mwisho (last resort) inayoruhusiwa kisheria pale tu mbinu nyingine zote zikishindikana. “Uwajibikaji wa vyombo vya dola ni sehemu ya utawala wa sheria, na uchunguzi wa haki unapaswa kufanyika pale panapotokea tuhuma za matumizi ya nguvu za ziada, kama alivyoagiza Mheshimiwa Rais wakati wa hotuba yake ya uapisho Novemba 3, 2025,” taarifa hiyo imeongeza. TPBA pia imezungumzia changamoto za upatikanaji wa huduma za intaneti wakati wa uchaguzi, ikieleza kuwa hatua ya kusitisha au kudhibiti mawasiliano kwa muda inaruhusiwa kisheria pale inapolenga kulinda usalama wa taifa au kuzuia uvunjifu wa amani. Aidha, chama hicho kimeonya vyama vya siasa na taasisi zinazohusishwa na vurugu kuwa, kwa mujibu wa Ibara ya 20(2) ya Katiba na Sheria ya Vyama vya Siasa, chama chochote kinachoshiriki au kushinikiza uvunjifu wa amani kinaweza kufutiwa usajili na viongozi wake kuwajibishwa kisheria, ikiwemo chini ya Sheria ya Kuzuia Ugaidi. Katika wito wake kwa taifa, TPBA imehimiza wadau wa haki za binadamu, asasi za kiraia, na taasisi za kitaaluma kushirikiana na Serikali kuhakikisha uchunguzi wa haki na usiokuwa na upendeleo unafanyika juu ya matukio yote ya uchaguzi.
Jambo TV tweet media
Indonesia
139
15
211
38.8K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeapa lazima imkamate Mwanaharakati wa Mitandaoni Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Marekani, kutokana na kile kinachoelezwa kuhamamisha na kuchochea vurugu zilizotokea nchini kuanzia Oktoba 29 mwaka huu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Hamza Johari amesema hayo muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Novemba 05.2025 kuendelea kuongoza ofisi hiyo Amesema ni jambo ambalo halikubaliki kuona mtu mmoja tu anahamasisha uvunjifu wa amani nchini halafu baadaye tena anarudi kutamba na kujiapiza kuwa lazima arejee, jambo ambalo amelitafsiri kuwa ni dharau ya kiwango kikubwa kwa serikali na nchi na kwamba jambo hilo halikubaliki "Haiwezekani mtu mmoja amekaa nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dada tu hata ukimuangalia appearance yake, anawaambia watu wakafanye hivyo na wanaenda kufanya kweli, halafu halafu imetokea anaanza kutamba anasema bado nitakuja kivingine, lazima tumkamate" -Hamza Johari Amesema licha ya kwamba vyombo vya Ulinzi na Usalama linafuatilia suala hilo kwa namna yake na kama sehemu ya majukumu yao ya msingi, lakini ofisi yake pia ina wajibu wa makusudi wa kuhakikisha inashughulikia suala hilo Akizungumzia athari zilizotokana na vurugu hizo, Mwanasheria Mkuu huyo wa Serikali amesema mali za watu binafsi na za umma zimeharibiwa ikiwemo gari la ofisi yake mwenyewe ambalo limechomwa moto huku dereva akikimbia 'waandamanaji' "Tumeona mali za watu binafsi zimeharibiwa, tumeona mali za umma including gari la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, yaani gari la ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali libachomwa moto?, haiwezekani, nimeambiwa kwamba na gari yetu pia imechomwa moto dereva kakimbia, lakini Wanasheria sisi tuko mahiri, najuwa tu tutakuja na solution zuri, kule kwenye MTC kule tunataka tukafikiri namna fulani ili tuweze kuishauri serikali vizur, najuwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama watafikiri kivyao, wao wana sehemu yao, lakini sisi hatuwezi kusema eti lile ni suala la kiusalama tu hapana, lile pia ni suala la kisheria, yaani sheria zimepuuzwa, zimevunjwa" -Hamza Johari Amesema amelazimika kuzungumzia suala hilo kwakuwa muda mfupi baada ya kula kiapo chake, ameitwa na kuelekezwa majukumu ya kufanya moja wapo ikiwa ni hilo, akitakiwa kuliangalia kisheria na kidiplomasia, na kwamba anaamini jukumu hilo linatekelezeka kwakuwa ofisi hiyo ina watu makini na mahiri wanaohitaji muongozo na uongozi thabiti. CC: Radio 7
Indonesia
137
15
133
26.3K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika. Akizungumza Novemba 5, 2025, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, amesema chama chake hakitambui matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97.66 ya kura, akidai matokeo hayo ‘hayawakilishi uhalisia wa maamuzi ya wananchi’. Amesema hali ya usalama wakati wa uchaguzi ilikuwa ya kutisha, akitaja matukio ya mauaji na ukandamizaji wa raia, ambayo amesema yalizua hofu kubwa na kuondoa uhalali wa mchakato wa kidemokrasia. CUF imesisitiza kuwa Rais Samia alipaswa kukamilisha kwanza mchakato wa Katiba Mpya, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, na kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka huu. Kiujumla, maazimio ya CUF baada ya kufanya tathmini ya matokeo na mwenendo wa uchaguzi ni kukataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa msingi kuwa hayana uhalali wa kidemokrasia, kudai kuundwa kwa Serikali ya Mpito itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru, kuitaka Serikali kuunda Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ulioripotiwa siku ya uchaguzi, kuhimiza mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya maridhiano na umoja wa kitaifa, kuelekeza bendera za CUF kupandishwa nusu mlingoti kwa mwezi mmoja kama heshima kwa waliopoteza maisha na kuwataka Watanzania kufanya ibada maalum tarehe 10 Novemba 2025 kwa kufunga na kuomba dua au misa kwa ajili ya amani na haki nchini.
Indonesia
57
130
576
62.4K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI: Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza kusikitishwa na vifo vya Watanzania wakiwemo Wanahabari wakati wa vurugu zilizoanza siku ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika taarifa ya Jukwaa hilo ya leo Novemba 6, 2025, iliyosainiwa na Mwenyekiti wake Deodatus Balile, imetoa ushauri kwa mamlaka husika kuanza uchunguzi ili kutenda haki. "TEF, inawakumbuka kwa heshima Wanahabari na Watanzania waliouawa katika vurugu hizi kwani wameacha pengo kubwa katika tasnia ya Habari", imeeleza taarifa hiyo. Jukwaa hilo pia limeisihi Serikali kuanzisha upya na kwa haraka mchakato wa maridhiano ili kuponya majeraha kwa pande zote, huku likizitaka pande zote kuwa tayari kushiriki pindi mchakato utakapoanza. "Tunaisihi Serikali kuanzisha mchakato wa maridhiano haraka, ili kuponya majeraha kwa pande zote. Tunaomba kila upande mchakato ukianza uwe tayari kushiriki", imeeleza taarifa hiyo. Aidha, Jukwaa hilo limewasihi Watanzania kusimama pamoja kama Taifa na kujisahihisha katika makosa huku likisisitiza kurejea kwa utamaduni wa amani iliyozoeleka Nchini.
Jambo TV tweet media
Indonesia
108
21
265
31.8K
Issa Khatibu
Issa Khatibu@IssaKhatib49722·
@Jambotv_ Mlishiriki wenyewe kwa tamaa zenu leo mnatakawachunguzi wa kimataifa fyuuu
Indonesia
0
0
4
162
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ya ACT iliyotolewa leo Novemba 6, 2025 na kusainiwa na Kiongozi wa Chama hicho Dorothy Semu, imesema taarifa zimeonesha wananchi waliouawa kwa risasi, kujeruhiwa na wengine kutojulikana walipo. Chama hicho kupitia kikao chake cha Kamati ya Uongozi Taifa, kimeongeza kuwa kutokana na vifo vilivyotokea, Taifa limepoteza nguvu kazi huku kikitoa salamu za pole kwa familia zilizoondokewa na wapendwa wao. Zaidi ACT imebainisha kuwa uchunguzi huru wa kimataifa unahitajika ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua za kisheria wote waliohusika kwa namna yoyote katika mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata. Aidha, ACT imelaani zaidi kile ilichokiita ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wanachama na wagombea wake katika mchakato wa uchaguzi, kikimrejea mgombea Udiwani Kata ya Sirari mkoani Mara, Dafroza Jacob maarufu kwa jina la "Mama Frank" ambaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara jana Novemba 5, 2025 lilimtolea taarifa kuwa alifariki akiwa mikononi mwa Jeshi hilo. Polisi ilieleza kuwa aliugua ghafla na kulazimika kukimbizwa Hospitali kwa matibabu, hata hivyo alifariki dunia kiwa hospitalini hapo. Jeshi hilo limesema uchunguzi utafanyika kwa kushirikisha wataalamu wa uchunguzi wa vifo ili kubaini chanzo cha kifo chake.
Jambo TV tweet media
Indonesia
14
11
103
12.2K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
“Mimi ni shabiki wa Simba. Lakini nikiitazama Yanga siion kama kuna Brand ambayo inavutia kiuwekezaji na kibiashara kuliko brand nyingine zozote. Brand ya Yanga SC imepenyeza CAF na sasa ni FIFA. Nadhani hakuna mjadala kwamba hakuna klabu ambayo inaikaribia chapa ya Yanga” Gerald Hando. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
25
14
469
29.3K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
“Kama una mpango wa kumnyima kura Dr Samia basi usiende hospital, usitumie barabara zetu, usipande SGR na uwaambia Tanesco waje wanyofoe umeme maana hatuwezi kuishi kwa matunda ambayo Dr Samia ameyaleta halafu tukamsaliti kwenye kura” - Mheshimiwa Richard Kasesela, MNEC CCM.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
358
26
510
67.1K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Yanga SC ndio timu pekee Afrika Mashariki na kati ambayo inaweza kukataa zaidi ya Bilion 3 za kumuuza mchezaji. Jeuri hii inaambatana na malengo ya klabu kufanya vizuri kimataifa. Kumbuka Mzize hajabaki kwa bahati mbaya, La Hasha, ni matokeo chanya ya tofali la UBINGWA Jisajili na lipa ada Mwanachama @CRDBBankPlc kupitia SIMBanking
Indonesia
29
2
124
9.8K
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Mkuje tujenge taifa sisi sio toilet paper🤝
ROSALINE🦋 tweet mediaROSALINE🦋 tweet media
97
190
1.5K
116.1K
Issa Khatibu
Issa Khatibu@IssaKhatib49722·
@Jambotv_ Nibusara kukaa kimya kama huna chakungumza maana tayari jamii inaheshimu weledi ulionao ilakwakuwa tasnia ya habari imebakwa kwasasa hayo ndio matokeo
Indonesia
0
0
0
171
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na kuheshimu matendo mema ya baadhi ya viongozi na wananchi wenzao. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika mdahalo wa kiuchumi ulioandaliwa na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) na kuhudhuriwa na wachambuzi wa masuala ya uchumi, Kamwaga amesema tabia hiyo imekuwa ikidhihirika hata katika matukio makubwa ya kitaifa. Akitoa mfano, Kamwaga alirejelea tukio la mwaka 2017 ambapo mwanasiasa Tundu Lissu alipigwa risasi na kujeruhiwa vibaya. Amesema wakati huo kulikuwa na viongozi waliokwenda Nairobi kumjulia hali Lissu alipokuwa akipokea matibabu, akiwemo aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye sasa ndiye Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye aliruhusu picha ichukuliwe licha ya kuwepo mashaka kutoka kwa baadhi ya watu. Hata hivyo amedai pamoja na yote aliyofanya Dkt. Samia kwa Lissu bado kuna watu wanasema kwamba hampendi Lissu. Amesisitiza kuwa ili taifa lisonge mbele, ni muhimu Watanzania wakajenga tabia ya kuheshimu na kukumbuka mambo mazuri yaliyofanywa na viongozi na wananchi, badala ya kusahau au kuyapuuza.
Indonesia
265
6
102
92K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
"Uamuzi wa Rais @SuluhuSamia kuwanyang'anya leseni wachimbaji 2600 wakubwa na kuwapa wachimbaji wadogo ni kielelezo cha uongozi unaothamini sio tu wanyonge bali unaojenga uchumi unaobeba watu wengi, ndio sababu mchango wa wachimbaji wadogo umeongezeka kufikia asilimia 40 kutoka asilimia 20 ya mapato ya madini" David Kafulila. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC)
Jambo TV tweet media
Indonesia
18
1
26
11.5K
Issa Khatibu
Issa Khatibu@IssaKhatib49722·
@CRDBBankPlc @kabaga04 Sijajua gharama ya bima ya chombo nishingapi kama nilivyukueleza mwanzo uwezo wakutoa asilimia 20% ya fedha ya manunuzi ya guta hvo nieleweshe kwenye suala zima la hiyo bima
Indonesia
0
0
0
5
Carlos
Carlos@kabaga04·
@CRDBBankPlc Hello nataka kujua masharti ya kuomba mkopo
Indonesia
2
0
0
0
Issa Khatibu
Issa Khatibu@IssaKhatib49722·
@CRDBBankPlc @kabaga04 Sasa nikiwa nakiasi chafedha kama milioni mbili kama kianzio lakini nikawa sipo kwenye kikundi chochote nikajidhamini mwenyewe
Indonesia
0
0
0
13
CRDB Bank PLC
CRDB Bank PLC@CRDBBankPlc·
@IssaKhatib49722 Habari,ili uweze kupata mkopo wa/Bajaji, unatakiwa uwe na uzoefu wa kuendesha biashara ya bajaji,uwe na umri wa miaka 21 au zaidi,ujidhamini mwenyewe kwa mali zako au udhaminiwe na kikundi za bajaji kilichosajiliwa au mfanyakazi/mfanyabiashara anaetambulika na benki,uwe na TIN na leseni ya kuendesha bajaji.
Indonesia
1
0
0
66
CRDB Bank PLC
CRDB Bank PLC@CRDBBankPlc·
@Festo_Mapanga Ili uweze kupata mkopo wa Pikipiki/Bajaji, unatakiwa uwe na uzoefu wa kuendesha biashara ya pikipiki/bajaj,uwe na umri wa miaka 21 au zaidi,Ujidhamini mwenyewe kwa mali zako au,
Indonesia
1
1
2
0
CRDB Bank PLC
CRDB Bank PLC@CRDBBankPlc·
@kabaga04 Habari, asante kwa kuchagua CRDB,tunapenda kukufahamisha kuwa tunatoa huduma za mikopo, tunaoma kufahamu unahitaji mkopo wa aina gani, tunatoa mikopo kama wakaulima, wafanyakazi ,wafanyabiashara, jijenge, bodaboda au bajaji,
Indonesia
2
0
0
0
Fatema Dewji
Fatema Dewji@fgdewji·
Nimefanya kazi na Bajaj na kujenga biashara ya Boxer Bike kwa zaidi ya miaka 10 — na tumeona mafanikio makubwa. Maelfu ya waendesha pikipiki kote nchini wamejenga maisha yao kupitia Boxer. Tumejenga pamoja, tumewezesha jamii, na tumekuwa sehemu ya mabadiliko makubwa. Lakini mwaka mmoja uliopita, tuliona kitu kingine — pengo. Kulikuwa na vijana wengi wenye ndoto, bidii, na uwezo lakini walikosa mtaji wa kuanzia. Ndipo tukaanzisha Mo Finance — kusaidia kizazi kipya cha waendesha bajaji na wajasiriamali kwa kuwapa nafasi ya kupata pikipiki kwa mpango wa malipo rahisi. Mfano hai ni Salum kutoka Kibaha. Kijana mchapa kazi ambaye siku zote alitamani kumiliki Boxer yake mwenyewe na kuanzisha biashara ya huduma za kusafirisha mizigo. Lakini kulipia pikipiki yote mara moja lilikuwa jambo gumu. Kupitia Mo Finance, Salum alipata Boxer yake ya kwanza kwa mpango rahisi wa kulipa kidogo kidogo. Mwaka mmoja baadaye, sasa anamiliki pikipiki tatu, ameajiri waendesha wawili, na sasa anaihudumia familia yake na timu yake. Huu ndiyo mnyororo wa mabadiliko tunaouamini. Mo Finance haikubadilisha tulichokuwa tukifanya — iliimarisha. Imefanya fursa iweze kufikiwa kwa urahisi zaidi. Imetusaidia kufanya kile tumekuwa tukifanya siku zote — lakini kwa kasi zaidi, kwa undani zaidi, na kwa watu wengi zaidi. Katika Boxer na Mo Finance, lengo letu ni moja: Tunagusa Maisha Yako. Na tutaendelea kugusa maisha, mtu mmoja baada ya mwingine, biashara moja baada ya nyingine, na pikipiki moja baada ya nyingine. 🛵🇹🇿 // I’ve worked with Bajaj and built the Boxer Bike business for over 10 years — and we’ve seen incredible impact. Thousands of riders across the country have built their livelihoods through Boxer. We’ve grown together, empowered communities, and built something powerful. But a year ago, we saw something else — a gap. There were still so many ambitious, capable people who couldn’t afford that first step. That’s why we introduced Mo Finance — to support the next generation of riders and entrepreneurs by giving them access to financing that works for them.
Fatema Dewji tweet mediaFatema Dewji tweet mediaFatema Dewji tweet mediaFatema Dewji tweet media
Indonesia
17
7
82
3.7K