kelvin@ 📈📈
137 posts

kelvin@ 📈📈
@croto_
Success lives in https://t.co/9Jk1JjlH73 trader on /BTCUSD/EURUSD .
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2024
57 Takip Edilen19 Takipçiler


@FaradayMtz01 Tuna neodymium ambayoisha pata muwekezaji pale pandahill
Indonesia

@the_animal99 @waziri3wa_wapwa Other condition are constant(negligible)
English

@croto_ @waziri3wa_wapwa Yasipoingia maji basi ujue hakiwezi kuzama kama hivo na lazima kitarudi juu ili ile nafasi ipate maji. Kiufupi hapo wametupiga maana nguvu ya bahari ingewarudisha juu hao
Indonesia

Waambieni wana ambao wako chuo this time. Mabadiliko ya mazingira na maendeleo ya Teknolojia yamebadilisha mifumo ya utafutaji fedha. Wabadilishe mindset zao, mitaa inakaza na Ajira hakuna na zikiwepo watu wana unganishana, wanarogana, wanahongana ilimradi ipatikane nafasi ya upendeleo.
Degree ina thamani kwenye mawanda ya kielimu na sio kwenye utafutaji wa fedha. Kiwango chako cha elimu haki determine ukubwa wa Balance ya account yako ya benki.
Ukimaliza shule usikimbilie kuuza PC na Smartphone yako..
PC ni nyenzo ya msingi sana kwenye utafutaji wa kisasa usiotegemea Ajira.
Sahii kuna issue nyingi sana, unaweza fanya online ukapata hela ya sabuni, Hela ya kusogeza siku na HATA KUBADILISHA MAISHA. Ukiwa na PC unaweza jifunza Freelancing, Kutengeneza Posta za matangazo, Kufanya Airdrops, Kutrade Crypto, kutengeneza Content, Kuuza Bidhaa online, Ai automation, kuandika tafiti (kuwaandikia wanafunzi research), kujifunza Copyrighting skills, Social media management na makorokoro mengine yanayoweza kuleta Ugali.
Ukikaa kusubiri Ajira utaozea kwenu, watu hawatakuwa wanapokea simu zako kwasababu watadhani unataka kuwakopa, utasuffer na Depression, madeni, utakonda na kupauka.
Usipopanga maisha yako leo ukiwa chuoni ukidhani bado umri wako ni mdogo, Maisha yatakupangia namna bora ya kuyaishi. NIMEMALIZA.
Indonesia

@Tweener003 Hapana,ila kwenye microscope huonesha rangitatu ukiwa unaizungusha.violet,purple and blue

Filipino

@chapo255 Kwenye dunia ya fizikia na hesabu mwamba apewe heshima yake.
Indonesia

@ExautUnbroken Simple test ni kugonga ukuta iki toka salama basi upo sahih
Filipino

Don’t be ashamed of:
Working a 9 to 5
Living with your parents
Not having a car
When you’re learning how to trade
Don’t try to rush the process by going full-time and getting these luxuries before you’re truly ready
I was doing $50k payout months consistently and still worked in a supermarket for a few months until I felt like I was truly ready to trade full-time
English


























