clementc

34.8K posts

clementc banner
clementc

clementc

@cycleclement

Be yourself and keep it simple

Katılım Eylül 2021
4.6K Takip Edilen5.8K Takipçiler
clementc retweetledi
Martyn Ziegler
Martyn Ziegler@martynziegler·
Rio Ferdinand accused of sports washing after going on Tanzania govt visit hosted by minister - his "good friend" - who has been sanctioned by USA for gross violations of human rights. thetimes.com/sport/football…
English
193
488
1.6K
349.7K
clementc retweetledi
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Boss amesema uyu inabidi amalizwe leo. Je? Nani ni huyo Boss? MAFWELE, ABDUL au SAMIA? Asante Boda Boda Asanteni watanzania taratibu wauaji wanaona ukuu wa Mungu
Indonesia
3
43
166
1.6K
clementc retweetledi
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Boda Boda leo wameokoa Maisha ya mtanzania mwezao aliekua ametekwa Naomba Repost kama appreciation kwa boda boda wote
Dr Calipso tweet media
HT
12
248
1K
8K
clementc retweetledi
clementc retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Haji Omari Kheri anahusika moja kwa moja na Wazanzibar wanaouwa Watanganyika kwa kasi sana anashirikiana na Kamanda wa Jeshi Kigamboni kambi ya wana maji JWTZ Anashirikiana na Mafwele kuna mambo anafanye yeye kwa makubaliano na Samia na Abdul, kuna vifo vingi vinatokana na Haji Omari Kheri Matukio yenye wazanzibar yana mkono wa huyu mhuni na katili sana Haji hana Elimu yoyote, kwenye siasa amepanda kutokana na mauaji makubwa sana aliyofanya huko Zanzibar, kwa sasa ni mshauri wa Samia IKULU na alisimamia mauaji ya 29 October Aliyekuwa na amri ya Samia mkononi kuhusu mauaji ya October ni huyu Haji Omari Kheri akaweka wadunguaji kwenye majengo magomeni Hawa Wazanzibar wanaotembea ovyo na silaha mtaani wakiongozana na Polisi wamewekwa na Haji ni mazombi yanadamu nyingi sana Polisi mnaofanyakazi na hawa wahuni mtaingia kwenye matatizo makubwa sana huko mbele TUKIO la jana ni wazi kabisa, Polisi Bweni walikuwa wanajua na polisi Mapinga, Polisi wa Dar na Pwani walikuwa na taarifa ndio maana kwenye kuandika report wanaanza kuruka ruka na mwisho wakakwepa kuandika report kwamba kuna mtu ametekwa japo kulikuwa na ushahidi wa watu wengi walioshuhudia
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
2
61
253
16.1K
clementc retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Nimesikiliza vizuri hili tukio na kuna mambo yafuatayo -- Polisi wanakwepa kufungua file kama mtu ametekwa -- Polisi wanauliza maswali ya kazi gani unafanya badala ya kuangalia suala la utekaji -- Polisi hawakupotea muda hata kwenda kwenye eneo la tukio, walijua tukio -- Kufungua file kwa mtu aliyetekwa lazima kupiga SIMU kwa viongozi wa juu ndio waruhusu kufungua file , hii ina maana gani ? -- Polisi wana vita na wanaharakati RCO alimweleza huyo ni mwanaharakati huyo wewe nenda nyumbani uje kuchukua gari lako kesho -- RCO aliangaika kupata gari na kupotezea tukio la Jumbe labda alikuwa na taarifa nini kilitokea -- Watekaji wana ushirika na Polisi na usalama wa Taifa, wanajuana ndio maana walipofika kwenye gate za usalama wakaanza piga risasi ovyo kuua watu -- Watekaji walifanya matukio kama yaliyofanyika kwenye maandamano, walipiga wananchi risasi nyingi kuwamaliza, hawa ni wauaji wazoefu -- Polisi wana orodha ya watu wanaosakwa kuuwawa WANAHARAKATI , ukienda kureport wanakwepa kujaza file au form yoyote wanaanza kuzungushana na kupigiana simu kwa masaa -- Mwanajeshi alipotaka kutafuta msaada ili kuokoa maisha ya mtu aliyetekwa akazuiwa na polisi sababu polisi walijua huyo hatunaye tena Kwa kifupi, POLISI WANATUTEKA NA KUTUUA kisha wana tick orodha waliyopewa
SIR TIVA@Sativa255

DAAH.

Indonesia
7
88
336
19.5K
clementc retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Here are details of Djumbe’s abduction and escape! This is a pattern! The criminals were definitely police and their “boss” didn’t want them to take him to a police station but take Djumbe to him and finish him! Guess who the boss is if the gang leader had a zanzibari accent? Abdul I say! A proxy for “Mummy dearest” 🙄 #Tanzania is a lawless country! Police are complicit of course as Mafwele knows everything! #EnforcedDisappearance Mi nasema huyo bosi ni Abdul - ila Mungu ataenda kuwaumbua zaidi! Ww waache! #TutaelewanaTu
English
12
108
242
5.1K
clementc retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Maelekezo kwamba “boss kasema [Djumbe] asipelekwe kituo cha polisi, huyu ni wa kummaliza leo,” obviously yametoka kwa genge la wauwaji wa Samia. Kuna mtu anatoka nyumbani anaenda kazini, kazi yake ni kuteka watu na kuwauwa. Wangapi wako kwenye hiyo orodha ya kutekwa kuuwawa?
Filipino
9
147
848
14.8K
clementc retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wakati natekwa kulikuwa na Azizi ( Mzanzibar na mkuu wa msafara wa watekaji) Leo Jumbe anatekwa kuna mzanzibar kiongozi wa msafara Nadhani ni muda sasa kutangaza askari wote wa kizanzibar warudi Zanzibar wakafanye kazi huko Wakiendelea kufanya kazi Tanganyika tusiwakubali mtaani maana inaonekana wamekuja au wanatumika kwa maelekezo ya Boss wao ambaye hataki mtu apelekwe kituo cha polisi ana kwenda malizana nao mtaani Mwisho, Polisi wamefikia hatua kwa sasa wanamalizana na watu kimtaa mtaa, sisi wananchi tunaanza jilinda lini dhidi ya polisi wasiofuata taratibu ? Wao wanatufundisha kufanyakazi kihuni
Indonesia
21
88
247
9.7K
clementc retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Bodaboda in Ke and Tz have saved lives during abduction ordeals Special shoutout to Bodaboda riders 👊🏽🔥
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
11
179
1.3K
14K
clementc retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Leo #MariaSpaces tunajadili: Vikwazo vitazuia utekaji, mauaji na ukatili? #FreeTunduLissu Utekaji umeendelea mara baada ya Bunge la Marekani kutangaza kuanza utaratibu wa kuwekea vikwazo viongozi wauaji na watekaji? Je inatosha kuzuia au bado tuna kazi kubwa? Leo saa 2 uck
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
3
56
110
3.6K
clementc retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Jeshi la Polisi lilifika Makao Makuu ya Chama na kumtaka David Djumbe kwa mahojiano. #Picha Jumbe akishuka kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es salaam. Badala wampeleke hospitali wao wanataka wakamhoji, ikumbukwe Djumbe anapingu mkononi Baada ya kuwakimbuka watekaji usiku wa leo.
Twaha Mwaipaya tweet mediaTwaha Mwaipaya tweet mediaTwaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
10
103
505
27.6K
clementc retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hongera sana Bodaboda kwa kupambana sana na watekaji Jana mlipambana sana mpaka ku block barabara japo mlikuwa mnarushiwa RISASI za moto hili tukio hakuna namna Polisi mnaweza ruka maana na pingu ni zenu
Think Different tweet media
Indonesia
5
65
261
3.3K
clementc retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
David Djumbe anatakiwa kuwa hospotali apate matibabu. Lakini wauwaji, baada ya jaribio lao kufeli, wamemkamata kwenda kumhoji polisi Oysterbay. Hawa watu ni wajinga na makatili kiwango gani? Mnamhoji nini wakati mnajua mlikusudia kumuuwa? Justice For David Djumbe!
Indonesia
7
157
826
9.7K
clementc retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Labda mimi nikuukiza wewe Kikwete, Samia na Abdul Haya mnayofanya mnaona kabisa ni sawa na mko na furaha? Kwamba mna vikosi vya kuteka na kuua watu !? Mmefanya ufisadi wa shillingi ngapi kwa Taifa hili na mmepata furaha gani? Mmeshateka watu wangapi ? Kikwete wewe ni sehemu ya hii serikali ya Samia na mdau wake wa karibu sana, kiasi kwamba hata kazi za makamu wa Rais au Waziri Mkuu tunakuona unakwenda wewe na usijitenge kwa vyovyote na uovu wa Samia kama inavyosema huko Ulaya kwamba akusikilizi @daviddjumbe ana familia, ana ndugu leo wanamuona namna hii, halafu baadaye mnatafuta sababu za Watanzania kuandamana? Kwamba Watanzania hawaoni hizi damu za ndugu zao mna mwaga kila siku? Mtoto wa Jumbe, mjomba wa Jumbe , rafiki zake na watu wa karibu wanataka ushawishi gani au malipo gani kuandamana baada ya kuona huu ushenzi wenu ? Mwigulu huyu Jumbe ni Msingida mwenzio ? Uwa unajifanya una huruma wewe !! Sasa kama jamaa zao wa Singida haya ndio mambo wanafanyiwa unategemea utashindwa uchaguzi wa ubunge kwa haki? Kama sio hayo mafekeshe mnafanya kila Siku? Maana watu wanaona mlivyo watu hatari, japo kwa akili yako siwezi shangaa umehusika na huu ushenzi maana hata Lissu yuko ndani kwa siasa zenu za kikatili Sasa endeleeni lakini kila siku mnawapa watu sababu ya kupambana na nyie Hongera sana kwa Bodaboda wote mliopambana jana kwenye hili tukio la utekaji , nyie ni wakombozi
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
8
56
202
7.9K
clementc retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Mungu wetu na Baba yetu uketiye mahali pa juu, ninakuja kwako kwa unyenyekevu mkubwa nikiuliza: Je, tunastahili haya tunayotendewa katika ardhi yetu? Umekubali tuaibike, tuwe dhalili kwa kiasi hiki? Umekubali tuwe raia wa daraja la pili, na wao daraja la kwanza? 🙏🏽😭
Tito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet media
Indonesia
22
155
545
7.5K
clementc retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Handcuffs are finally off - they had cut off circulation completely at David Djumbe’s wrist! The kind of cruel and violent sh*t we endure under @SuluhuSamia 🚮 #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
English
16
189
401
25.9K
clementc retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
My concern sio Chadema kufungiwa ila the safety ya hao mashuhuda. Hao waathirika watakao kua wanaongea. Wakimaliza usalama wao kwa hawa wauaji utakuwa mashakani sana. Maana hao watu ni mashahidi wa ICC wakati ujao. Na dikteta Samia knows that. So, wamaweza wasiwafungie CDM, ila ikawapa muda waendelee kuwaleta hao mashuhuda kisha wawateke na kuwamaliza kabisa.
Indonesia
2
9
32
2.1K
clementc retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hiyo geti na nyumba /compound walipompeleka Djumbe tungekuwa na 2nd amendment ya US, wananchi wangeshaenda kumwokoa! Hawa tunachukulia ni majambazi! Nchi inaendeshwa na maharamia 🚮 Human garbage! Tutakapovuka hapa hawa washenzi wote wawajibishwe to the maximum!
Indonesia
7
93
414
8.2K